INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

IMG_20210112_231059_438.jpg
 
Asante kwa wote niliopata bahati ya kuwahudumia katika kipindi chote cha mwaka 2021,Kupitia platform na uzi huu nimepata wateja wengi ambao wamekuwa marafiki pia

Asante kwa wale walio na wanao endelea kuniamini,hakika mmekuwa baraka sana.

Mniwie radhi pale ambapo nilishindwa kumridhisha mmoja au wawili kati yenu katika kupata kile alichotaraji.


Ninawaahidi kuendelea kuwahudumia kwa furaha,upendo na uaminifu zaidi.

Karibuni sana SUA,kuja kuona vitalu vyetu hakika nitafurahi sana kuwaona na kuwahudumia pia,karibu ukutane na good customer care ya viwango kutoka kwa Lily😊😊

Happy new year of 2022 my valuable customers
 
still available.
location:Sua(horticulture)
contacts:0719527062/0757056472
 
wakuu shukrani kwa kuendelea kutuamini.
karibuni sana
 
Hii ndiyo hiyo minazi chotara? Mimi nataka mbegu fupi kwa ajili ya madafu tu.
hii ni ya muda mrefu boss.
mbegu fupi kwasasa tumeacha kuzalisha,kumekuwa na changamoto kadhaa hivyo mpaka tutakapo zitatua tutaanza kuzalisha tena
 
Back
Top Bottom