Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana Lily Tony kwa kumpoteza mama yako mzazi. Bila shaka wadau wamekuelewa.Habarini wakuu.
Kwanza wakuu niombe radhi kwa wale ambao walinitafuta na hawakuweza kunipa au nilishindwa kuwahudumia kwa wakati.
Nilipata msiba wa mama yangu mzazi tar 31/1 hivyo sikuwa sawa kwa siku kadhaa.
Kwasasa nimerudi,kazi iendelee
Poleni aseeAsante mkuu,nina mshukuru Mungu ananitia nguvu ingawa sio rahisi.
niko mbali mkuuBoss kama uko Morogoro mjini,basi unaweza kufika SUA kampusi kuu,hapo kuna duka linauzwa vegetable mbalimbali.Nina amini unaweza kuzipata
Unakaribia kuja dar lini?Zaituni na karafuu zipo
Mshock shock hatuna
Zaituni sh 7000,karafuu 2000
Usafirishaji wa bidhaa upoje kwa kiwango kidogo kama hiki cha miche!?kwasasa bado sijajua mkuu.Labda wakati wa Pasaka