Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karafuu mbili na mzaituni mbili..... Over.unahitaji mingapi?
Hii inakubali mkoa kama dodoma?Mche wa apple sh 2000. Matunda baada ya mwaka 1
Ooh ok dear.Inakubali boss ila kwasasa tunaandaa miche mingine sababu iliyokuwepo imetuishia
Lily miche ya apple ikiwa tayari nijulishe tafadhali. Asante kwa ile minginewateja wangu fahari yangu.
Asanteni na karibuni
Oh sawa dear.Asante kwa support yako.Tukiwa tunasubiri miche ya apple iwe tayari,naomba kuna namba nikutumie inbox uwasiliane nae.Nina amini atakuwa na miche ya apple iliyo tayari kuuzaLily miche ya apple ikiwa tayari nijulishe tafadhali. Asante kwa ile mingine
Hii William haiwezi kuiva na kutumika kama tunda?Migomba ambayo ndizi zake ni kwa ajili ya chakula ni hii ifuatayo
1.William
2.Uganda green
3.Mzuzu
4.Mshale
5.Mkono wa tembo
6.Jamaica
Nisaidie kidogo aina ya hizi papai? Na vipi nikinunua mche nitahakikishiwa kuwa sio mipapai dume maana nimeambiwa mipapai dume ni mingi sanaZipo aina mbili za papai
1.Calfornia
2.Malkia F1