Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aina zote mbili ziko sawa,hakuna ambayo ina kiwango/idadi kubwa ya mbegu dume kuliko nyingine.Na mipapai au mbegu dume zinashauriwa kuwepo ila kwa uchache ili kuwezesha zoezi la uchavushaji.Nisaidie kidogo aina ya hizi papai? Na vipi nikinunua mche nitahakikishiwa kuwa sio mipapai dume maana nimeambiwa mipapai dume ni mingi sana
Muda wa kuanza kupata matunda;Mna miche ya migomba ya ndizi za kuiva aina ya Williamson? Miche ya mipapai na mipera ya muda mfupi? Ni muda gani inaweza kuanza kuzaa kwa kila aina ya matunda niliyotaja hapo juu
Hiyo embe iliyozaa hapo ni embe gani? Ya muda mfupi zaidi naweza pata ya muda gani?
Unaweza niunganisha?Boss mbegu za nyanya kwenye vitalu vyetu hatuna.Kuna kitengo maalum kinachohusika na mbogamboga
Hii Germany tea ni ipi?Aina ya viungo tulivyo navyo kitaluni kwetu
*Tangawizi
*Mdalasini
*Karafuu
*mchaichai
*German tea
mkuu nazipateje maana ndo muda wa mvua huu unapunguza gharama za umwagiliaji!Hilo ni embe aina ya kent.
Embe hizo pamoja na nyingine za kisasa,huanza kutoa maua baada ya miezi 6 na uzao wa kwanza miezi 7-8
Mkuu tunasafirisha parcels kwenye mabasi. Karibu uweke odder nikuhudumiemkuu nazipateje maana ndo muda wa mvua huu unapunguza gharama za umwagiliaji!
Mkuu tunasafirisha parcels kwenye mabasi. Karibu uweke odder yako nikuhudumiemkuu nazipateje maana ndo muda wa mvua huu unapunguza gharama za umwagiliaji!