Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,621
Mkuu utakuwa umetumwa si bure.wakuu hivi inakuwaje mtu anakurupuka tu anasema mchele 2500 wakati zamani ilikuwa chini ya hapo kwa hvyo mkuu kafanya mfumuko wa bei uzidi.
mimi nauliza jamani mbona kuna michele tangu hapo kilo 3500 au alfu tatu.na hYbku niliko kuna mpaka wa kilo 2000 na 1500 sasa wanazungumzia mchele upi ambao umepata wakati inafahamika kwamba michele inatofautiana bei??
mbona watu wana lawama za kipuuzi sana?si mlaumu kwa mengine tu lakini sio hUKli la mchele jamani.
kuna mchele wa basmat kilo karibia 4000 na ni tangu enzi za mzee kikwete
wakuu hivi inakuwaje mtu anakurupuka tu anasema mchele 2500 wakati zamani ilikuwa chini ya hapo kwa hvyo mkuu kafanya mfumuko wa bei uzidi.
mimi nauliza jamani mbona kuna michele tangu hapo kilo 3500 au alfu tatu.na hYbku niliko kuna mpaka wa kilo 2000 na 1500 sasa wanazungumzia mchele upi ambao umepata wakati inafahamika kwamba michele inatofautiana bei??
mbona watu wana lawama za kipuuzi sana?si mlaumu kwa mengine tu lakini sio hUKli la mchele jamani.
kuna mchele wa basmat kilo karibia 4000 na ni tangu enzi za mzee kikwete
mkuu mbona mOKmi nanunua mchele wa2200 mpaka 2000 kilo au nazo ni chenga??una kichaa wewe mchele wa 1500 na chenga zitakuwa bei gani
inaposemwa mchele (kiwango cha kati) ni 2500 huo ni wastani yaani 1500 (chenga ) + 4000 ule wa maana unapata wastani wa 2750
hakuna mchele wa buku jero ila kuna chenga za buku jero.
Naam akili yangu imenituma bila shakaMkuu utakuwa umetumwa si bure.
mkuu mchele kuanzia 2000-2700 unaweza kuupata kutegemea na maeneo huwezi pata mchele wa 1500 hata mm nilipo mchele grade ya mwisho ni 1800 wakati huu mzuri ni 2300mkuu mbona mOKmi nanunua mchele wa2200 mpaka 2000 kilo au nazo ni chenga??
Halafu wengi hawaelewi maana ya ''kupungua kwa mfumuko wa bei''. Watu wanadhani maana yake ni bei kuwa chini kuliko mwanzoni! Siyo hivyo. Kupungua kwa mfumuko wa bei ni ile hali ya bei za vitu kutopanda tena kwa kasi sana na mara kwa mara. Na inachukuliwa average na siyo bidhaa moja moja.mkuu mimi ni mmwera wa lindi huko nimeandika kwa maoni yangu.
wafanya bishara wanachukua advantage kuuza vitu bei kali
Usipende kuongea vitu visivyo vya ukweli. Kwa sasa hata Mbeya mchele mzuri si chini ya 2,500. Huo mnaonunua huko chini ya 2,000 ni wa kupikia vitumbua. Kiufupi maisha yako juu sana na kama hilo hulioni basi hakuna msaada. Miaka michache tu nyuma tulikuwa tunanunua mchele wa Rukwa kwa elfu 25-27 kwa ndoo ambayo ni kama kilo 20 au zaidi kidogo. kwa sasa ni kama imedouble. Sukari balaa, mafuta ya kula usiseme.mkuu mimi ni mmwera wa lindi huko nimeandika kwa maoni yangu.
wafanya bishara wanachukua advantage kuuza vitu bei kali
Hizi ni lugha tu tokana na mazingira tuliyokulia, wengine wanasema kuchoma vitumbua. Kwa lugha ya kimombo hizo zote ni cooking methods. Iwe kukaanga, kuoka, kuchoma n.kUnazungumzia mchele wa kufanyia vitumbua sio wa kupika.
kufanyia ni neno la juma mkuu kwa mtu ambae tajiri wa lugha hawezi kutumia sehemu ambae sio yake.Unazungumzia mchele wa kufanyia vitumbua sio wa kupika.
Mchele kupanda bei miezi hii si jambo la kushangaza!mkuu mbona mOKmi nanunua mchele wa2200 mpaka 2000 kilo au nazo ni chenga??