Michele iko bei tofauti kwa kilo sasa mbona mnamlaumu Rais Magufuli?

Michele iko bei tofauti kwa kilo sasa mbona mnamlaumu Rais Magufuli?

Kijana kijana

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2018
Posts
2,546
Reaction score
2,621
Wakuu,

Hivi inakuwaje mtu anakurupuka tu anasema mchele 2500 wakati zamani ilikuwa chini ya hapo kwa hvyo mkuu kafanya mfumuko wa bei uzidi.

Mimi nauliza jamani mbona kuna michele tangu hapo kilo 3500 au alfu tatu na hiyo buku niliko kuna mpaka wa kilo 2000 na 1500.

Sasa wanazungumzia mchele upi ambao umepata wakati inafahamika kwamba michele inatofautiana bei? Nbona watu wana lawama za kipuuzi sana? Si mlaumu kwa mengine tu lakini sio hili la mchele jamani.

Kuna mchele wa basmat kilo karibia 4000 na ni tangu enzi za mzee Kikwete.
 
Wewe mchele wa 1500 na chenga zitakuwa bei gani

inaposemwa mchele (kiwango cha kati) ni 2500 huo ni wastani yaani 1500 (chenga ) + 4000 ule wa maana unapata wastani wa 2750

hakuna mchele wa buku jero ila kuna chenga za buku jero.
 
wakuu hivi inakuwaje mtu anakurupuka tu anasema mchele 2500 wakati zamani ilikuwa chini ya hapo kwa hvyo mkuu kafanya mfumuko wa bei uzidi.

mimi nauliza jamani mbona kuna michele tangu hapo kilo 3500 au alfu tatu.na hYbku niliko kuna mpaka wa kilo 2000 na 1500 sasa wanazungumzia mchele upi ambao umepata wakati inafahamika kwamba michele inatofautiana bei??

mbona watu wana lawama za kipuuzi sana?si mlaumu kwa mengine tu lakini sio hUKli la mchele jamani.

kuna mchele wa basmat kilo karibia 4000 na ni tangu enzi za mzee kikwete
Mkuu utakuwa umetumwa si bure.
 
Hao ni wafuasi wa Mangi Kimambi, kuanzia Lowasa, Mbowe mpka chini wote wanashikiliwa akili na Mangi Kimambi hivyo akisema kushoto wanafwata, kulia hivyo hivyo.
 
una kichaa wewe mchele wa 1500 na chenga zitakuwa bei gani

inaposemwa mchele (kiwango cha kati) ni 2500 huo ni wastani yaani 1500 (chenga ) + 4000 ule wa maana unapata wastani wa 2750

hakuna mchele wa buku jero ila kuna chenga za buku jero.
mkuu mbona mOKmi nanunua mchele wa2200 mpaka 2000 kilo au nazo ni chenga??
 
mkuu mbona mOKmi nanunua mchele wa2200 mpaka 2000 kilo au nazo ni chenga??
mkuu mchele kuanzia 2000-2700 unaweza kuupata kutegemea na maeneo huwezi pata mchele wa 1500 hata mm nilipo mchele grade ya mwisho ni 1800 wakati huu mzuri ni 2300
 
mkuu mimi ni mmwera wa lindi huko nimeandika kwa maoni yangu.

wafanya bishara wanachukua advantage kuuza vitu bei kali
Halafu wengi hawaelewi maana ya ''kupungua kwa mfumuko wa bei''. Watu wanadhani maana yake ni bei kuwa chini kuliko mwanzoni! Siyo hivyo. Kupungua kwa mfumuko wa bei ni ile hali ya bei za vitu kutopanda tena kwa kasi sana na mara kwa mara. Na inachukuliwa average na siyo bidhaa moja moja.
 
mkuu mimi ni mmwera wa lindi huko nimeandika kwa maoni yangu.

wafanya bishara wanachukua advantage kuuza vitu bei kali
Usipende kuongea vitu visivyo vya ukweli. Kwa sasa hata Mbeya mchele mzuri si chini ya 2,500. Huo mnaonunua huko chini ya 2,000 ni wa kupikia vitumbua. Kiufupi maisha yako juu sana na kama hilo hulioni basi hakuna msaada. Miaka michache tu nyuma tulikuwa tunanunua mchele wa Rukwa kwa elfu 25-27 kwa ndoo ambayo ni kama kilo 20 au zaidi kidogo. kwa sasa ni kama imedouble. Sukari balaa, mafuta ya kula usiseme.
 
Unazungumzia mchele wa kufanyia vitumbua sio wa kupika.
Hizi ni lugha tu tokana na mazingira tuliyokulia, wengine wanasema kuchoma vitumbua. Kwa lugha ya kimombo hizo zote ni cooking methods. Iwe kukaanga, kuoka, kuchoma n.k
 
Unazungumzia mchele wa kufanyia vitumbua sio wa kupika.
kufanyia ni neno la juma mkuu kwa mtu ambae tajiri wa lugha hawezi kutumia sehemu ambae sio yake.

UNAWEZA KUSEMA NAENDA KUFANYA NGUO?
yani ukisudie kufua,?

kufua ni kitendo yaani kufanya.

au useme naenda kufanya wali ukusudie kupika?

WEWE UTAKUWA NI MZENJI MPUUZI FULANI AMBAE UNAONA LUGHA YAKO NI BORA KUKLIKO WENZIO WAKATI HIZO NI KUTOKANA NA MAZINGIRA TU.

ESHIMU WENZIO
 
mkuu mbona mOKmi nanunua mchele wa2200 mpaka 2000 kilo au nazo ni chenga??
Mchele kupanda bei miezi hii si jambo la kushangaza!
Tusubiri kuanzia mwezi wa 6+ utashuka mpaka 700 per kg.
Arafu watakuja tena kulalamika kwamba serikali inawaumiza wakulima wa mpunga.
 
Mie sijawahi ona miezi hii mchele unakua umeshuka bei.
Kawaida miezi hii mpaka wakati wa mavuno mchele huwa unapanda sana bei na kwa wafanyabiashara kama ukihifadhi mpunga miezi hii ndio ya kupiga hela mpaka msimu wa mavuno.
Kwa hiyo kuna mtu anataka mchele sasa hivi uwe kilo 1000 atakua anatatizo huyo.
 
Back
Top Bottom