Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,621
Wakuu,
Hivi inakuwaje mtu anakurupuka tu anasema mchele 2500 wakati zamani ilikuwa chini ya hapo kwa hvyo mkuu kafanya mfumuko wa bei uzidi.
Mimi nauliza jamani mbona kuna michele tangu hapo kilo 3500 au alfu tatu na hiyo buku niliko kuna mpaka wa kilo 2000 na 1500.
Sasa wanazungumzia mchele upi ambao umepata wakati inafahamika kwamba michele inatofautiana bei? Nbona watu wana lawama za kipuuzi sana? Si mlaumu kwa mengine tu lakini sio hili la mchele jamani.
Kuna mchele wa basmat kilo karibia 4000 na ni tangu enzi za mzee Kikwete.