Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
- Thread starter
- #61
jamani inavutia nimependa na nimevutiwa zaidi na huyo baba obama alivyokuwa anacheza na watoto wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani inavutia nimependa na nimevutiwa zaidi na huyo baba obama alivyokuwa anacheza na watoto wake
Asante kwa pic nzuri kweli jamni inapendeza sna kwa wababa kuwa karibu na watoto
Umeniwahi, I was about to post those pics too!Karibu sana. Mwenzio nimeimaindi hii familia maana they are just awesome
no matter what. Hebu cheki za leo....
Picha zimetulia , namfagilia sana
duh! Berlesconi na hamu zake zote za kum-hug Michelle ziliambulia patupu 😀
shika sana ulichonachoduuuh Michelle kiwango sana...mi namzimia sana asante AbT
Familia zote ingekuwa hivi jamni Mbona Ukimwi ungeisha mapema! Nice pic..and they still keep coming. Mama Michelle ameweka standards za fashion
mpaka inabidi ma-first lady wengine waige...Pouwa kabisa!!!!
Haya cheki mkulu anakula chabo na design yake mwenyewe. Kweli Obama
una haki ya kuringa maana Michelle anavutia kinoma!!!
![]()
Asante sna endelea kutuvumishia mapicha yao uenda wababa wa kibongo wakaiga mfano huu jamni niya kipekee duhKaribu sana. Mwenzio nimeimaindi hii familia maana they are just awesome
no matter what. Hebu cheki za leo....
Love is in the air....
![]()
![]()
Usafiri jamani!!!!!....Mama kajaaliwa kweli.
![]()