mbona sijamuona mama Salma Kikwete au hajaenda huko
asante kiongozi nimechanganya vitu hapo.tehhhh teeehhh.hivi na sisi hatumo katika nchi vigogo(iam kidding) hahaaaaMkuu nadhani hao ni wake wa nchi 20 vigogo duniani, wale wanacontrol hali yangu na yako ya maisha na kila kitu!
Salma nadhani yeye ameishia tu NY
.....Astaghafirullahiiii.....
Nikisema sana naona kana kwamba nitakufuru vile...LOL!!!Abby
Mkuu mambo hayo si mchezo babake