Michelle Obama; America's Most Photographed 1st Lady!

..........Obama BAND WAGON...................
 
Taso;1014404... I tell you I'am sickened by this wanton obsession with US presidency. Its time to exalt ours

Nakubaliana na wewe na hasa hizo picha namba moja na mbili amependeza hasaaaa! Michelle Obama haoni ndani hapo.
 
article-1300240-0AB0369C000005DC-40_468x424.jpg

Kuwa mlinzi wa huyu mama ni shughuli pevu, huo urefu tu sijui ni ft ngapi.

She is the 2nd tallest first lady in American history at 5'11" nyuma ya Eleanor Roosevelt aliye simama 5'11.5"
 
Hela ya wananchi...

Official reports zinasema ameenda holiday kwa gharama zake mwenyewe na siyo hela ya walipa kodi. Ameongozana na jamaa na rafiki zake kwa gharama zao. Gharama hizo hata hivyo hazihusishi kuwepo kwa agents wanaomlinda na usafiri wa ndege iliyompeleka.
 
That's what I mean, still, hela ya wananchi.
 
Tatizo langu na salma ni kwamba....nikimwona leo nahisi nilimuona hivyo hivyo jana!! nguo mtindo mmoja, rangi tofauti tu! na yale mavilemba yake basi tabu!!
 
Official reports zinasema ameenda holiday kwa gharama zake mwenyewe na siyo hela ya walipa kodi. Ameongozana na jamaa na rafiki zake kwa gharama zao. Gharama hizo hata hivyo hazihusishi kuwepo kwa agents wanaomlinda na usafiri wa ndege iliyompeleka.

Gharama binafsi kwa AIRFORCE2?
 
Akibania tabasamu hapendezi ila akiliachia anatoka vizuri sana. Ningepata nafasi ya kumshauri, ningemwambia awe ana achia tabasamu mpaka vijino nionekane.
 
Back
Top Bottom