Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wow!!! Huyu mama mzuri kuliko wanawake wote duniani....
Michelle ni first lady wa Ki-gangstar flani hivi...ni tofauti na waliomtangulia kwa namna anavyovaa, anavaa kama anashiriki video ya mziki wa hip hop...au ulimbwende,angali hivyo vivazi kama yupo debe vile...aibu! ukitazama enzi za akina Laura, Hilary n.k utakuta first lady huyu nidhamu yake kimavazi haipendezi kiviile!
Wow!!! Huyu mama mzuri kuliko wanawake wote duniani....
Tuwekee za JK alienda msikitini na wake zake na watoto zaidi ya wanane mzee.....:becky::becky:
Tuwekee za JK alienda msikitini na wake zake na watoto zaidi ya wanane mzee.....:becky::becky: