Michelle Obama; America's Most Photographed 1st Lady!

Michelle Obama; America's Most Photographed 1st Lady!

slide_7160_94512_large.jpg

They look good kwa kweli. Muishi kwa amani na furaha, adui zenu kama familia wasiwakaribie kamwe​
 
Namsubiri kwa hamu JK atoke na familia yake...
Sijui wako wangapi...
kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi
Hat hivyo dini inaruhusu
 
Namsubiri kwa hamu JK atoke na familia yake...
Sijui wako wangapi...
kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi
Hat hivyo dini inaruhusu

Hivi kweli mbona binafsi sijasikia Rais wetu yuko likizo na familia? Wanatakiwa watuonyeshe mfano ati. Au kwa vile da sijui niseme nini!!! Wacha nimeze nisichafue hali ya hewa!

Namsubiri kwa hamu JK atoke na familia yake...
Sijui wako wangapi...
kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi
Hat hivyo dini inaruhusu

Kwa mtazamo huu basi unajua wako wangapi...:brick:
 
Lakini mtoto wa Obama huyu Malia! Du! napata kigugumizi Atakuwa binti mzuri mwenye Mvuto wa kimahaba. Tatizo nitakalolipata wenzetu wanakula kwa vipimo sisi tunashambulia kila kinachopatikana. Anyway itabidi nikusanye nguvu.
Ila vyovyote itakavyokuwa Mzee Obama karibu anapata Mkwe.

Kuhusu JK kutoka na familia yake Du! sijui lakini kama huwa anaangalia JF aanze sasa kutoka na familia.
 
Nice pic jamni Ab itabidi nimwambie Obama awe makini zaidi hahha hahhahha
 
Huyu mama amebarikiwa sana na muumba halafu kikubwa zaidi she is charismatic
 
The first lady got all glitzy for a taping of 'America Celebrates 4th of July' at Ford's Theatre in Washington on Sunday night. The theater is where Abraham Lincoln was assassinated in 1865. South African Justice Albie Sachs and Archbishop Emeritus Desmond Tutu were honored with the 2010 Lincoln Medal. The annual event also featured Dick Van Dyke, Kelly Clarkson, George Lopez and other performances and will be aired on July 2.
Mrs. Obama wore a strapless silver metallic gown with draping in the back, a bold necklace and and a small clutch.

2010-06-07-michelleobama.jpg
 
kwa kweli kabinti kameshapevuka kabisa nadhani ndani ya miaka miwili ijayo atakuwa ni msichana wa maana, nadhani anaweza kufata nyayo za baba au condolezza rice kurudi hapo mjengoni

Ahh wajina wangu Maria she is cute like me lol:behindsofa:
 
Lakini mtoto wa Obama huyu Malia! Du! napata kigugumizi Atakuwa binti mzuri mwenye Mvuto wa kimahaba. Tatizo nitakalolipata wenzetu wanakula kwa vipimo sisi tunashambulia kila kinachopatikana. Anyway itabidi nikusanye nguvu.
Ila vyovyote itakavyokuwa Mzee Obama karibu anapata Mkwe.

Kuhusu JK kutoka na familia yake Du! sijui lakini kama huwa anaangalia JF aanze sasa kutoka na familia.

mhhh mwenye kaya ana mitoto lukuki si itajaza hata kamera yaani wengine watakatwa kwenye picha...teeeeeehhhhhh
 
Ab,

Swali la kizushi:

Kuna kitu moyoni unacho na huyu Mama Obama?[SIZE]
 
Lovely stuff nyingine Ab au zimeisha???
 
Safi sana mama, you look great! Ab-T some more pics please! Huyu mama huwa namheshimu sana, si Ab-T, tupo wengi!
 
Hii ya leo kali wakuu.Wanasema eti kamachisha na mkewe Rais JF Kennedy

2010-06-11-michelleobamaanacostiaco.jpg
 
Back
Top Bottom