Michelle wetu kunani jaman!

ha ha ha ha ha ha ha,ndo unaambiwa usiache mbachao kwa msala upitao,kwani ungepita kwangu ukanywa chai nguvu zitakuishia?
haya,kwa kuwa nakujali na furaha yako ni yangu,nakuruhusu!!:laugh::laugh:
Don't worry another day,thanks kunipatanisha na Lizzy means alot to me,you are a true friend.
 
Am good friend,as you can see two potential dates not complaining at all lol!

mmmmhhhh,halafu ulivyo na bahati,valentine EVE utakuwa hauko peke yako!!! you are so lucky!!....l.o.l
:laugh::laugh:
 
Michelle your tea will have to wait lol! i wont miss a date with lizzy for the world lol!
Hehehe Dearest Uporoto is blowing u off for me..!Yani nimechekelea ila tukitoka kwenye kidate tutapita kwako
!
 
Hiyo kitu kaka yangu,nitakuagizia duka fulani DUBAI, naomba usafiri na EMIRATES,utachagua mpaka utachoka.....na nitakupa wa kukusaidia!!!!
Sasa naona mwanga,kaka yangu amedhamiria,go go my brother,mi proud of you!!!
Nashukuru sana will du the nidful maana miaka ndiyo hiyo inayoyoma by they way shem yuko wapi??? Sijamuona leo
 
Sasa two dates utaziweza zote si u know sharing is caring acha uchoyo bana tugawane l.o.l!!!!

Mi naona hivyo kaka,kwa kuwa mi ni dada yako,basi inabidi uende na Lizzy na mimi niende na Uporoto!!!:laugh::laugh:
 
Hehehe Dearest Uporoto is blowing u off for me..!Yani nimechekelea ila tukitoka kwenye kidate tutapita kwako
!

Inauma ila ndo siwezi mlazimisha.....ila am happy for you two,enjoy your date!!!:laugh::laugh:
 
Nashukuru sana will du the nidful maana miaka ndiyo hiyo inayoyoma by they way shem yuko wapi??? Sijamuona leo

Yule mtu humuwezi,yaani ni kama CIA fulani,anaweza toweka katika mazingira ya kutatanisha,kanikaribisha home then katimua.....
unanishauri vipi? nakata tamaa nduguyo! wewe unamuelewa?najua kuna men talk,sijui waga anasema anaenda wapi?:twitch::twitch:
 
Mi naona hivyo kaka,kwa kuwa mi ni dada yako,basi inabidi uende na Lizzy na mimi niende na Uporoto!!!:laugh::laugh:
Nami naona hivyo hivyo kwasababu uporoto01 vitu vizuri vyote anataka kula peke yake:laugh::laugh:
 
How about a double date dearest?

Lizzy una akili sana,sikuliwaza hilo,nafikiri kwa kuwa alikuwa na usongo na wewe,nyie muende tu,mimi nitakuwa nang'aa macho na yeyote hapa JF,hadi hiyo Valentine iishe!!:laugh::laugh:
 
Nami naona hivyo hivyo kwasababu uporoto01 vitu vizuri vyote anataka kula peke yake:laugh::laugh:

Muache,amemtafuta mno Lizzy sasa leo kampata hapatoshi,wewe nitakupa wa kukupa kampan iliyo salama na isiyodhuru ulipofika:laugh::laugh:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…