The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Naona uporoto01 hadi kwenye kupiga penati na kwenyewe anakabaMuache,amemtafuta mno Lizzy sasa leo kampata hapatoshi,wewe nitakupa wa kukupa kampan iliyo salama na isiyodhuru ulipofika:laugh::laugh:
uporoto01 kaka naona unanitoa kwenye reli l.o.lEasy rafiki you are looking for a ring remember ? FOCUS TF FOCUS lol!
Hahahah mbona kama vile unakata tamaa, mimi mwenye tokea ulivyokuwa haupo hapa naona naye ilimuathiri kidogo akawa anakuja lakini hakai kama kawaida yakeYule mtu humuwezi,yaani ni kama CIA fulani,anaweza toweka katika mazingira ya kutatanisha,kanikaribisha home then katimua.....
unanishauri vipi? nakata tamaa nduguyo! wewe unamuelewa?najua kuna men talk,sijui waga anasema anaenda wapi?:twitch::twitch:
uporoto01, Michelle, Lizzy this song goes to you all guys
YouTube - I'D GIVE ANYTHING - GERALD LEVERT (1994)
Hahahah mbona kama vile unakata tamaa, mimi mwenye tokea ulivyokuwa haupo hapa naona naye ilimuathiri kidogo akawa anakuja lakini hakai kama kawaida yake
Hahahah mbona kama vile unakata tamaa, mimi mwenye tokea ulivyokuwa haupo hapa naona naye ilimuathiri kidogo akawa anakuja lakini hakai kama kawaida yake
Hahaha!!! Loh!! Ungechelewa kurudi ningekuanzishia thread
Jamani you are making me sad now,as long as lizzy is there i don't mind you coming with us,pleeease.Inauma ila ndo siwezi mlazimisha.....ila am happy for you two,enjoy your date!!!:laugh::laugh:
Lizzy una akili sana,sikuliwaza hilo,nafikiri kwa kuwa alikuwa na usongo na wewe,nyie muende tu,mimi nitakuwa nang'aa macho na yeyote hapa JF,hadi hiyo Valentine iishe!!:laugh::laugh:
:laugh::laugh::laugh: Kama ulivyosema huwa anaibuka ghafla from nowhere akiona haya maneno nafikiri anaweza akaweka kambi kabisa hapaNikiwa sipo ndo anapata uhuru wa kufanya atakalo,mi waga nakaba haswa,so akitoka anakuwa kama kachanganyikiwa.....kuna bibi anampa ubize,ila ntamuweka sawa tu,mtoto wa kitanga+mngoni mimi!!! L.O.L:laugh::laugh:
Ukimpiga BAN mbona ndio utamuongezea matatizo mimi sitaki kesi za SUICIDENa nimekata tamaa kweli,nampa siku tatu kama asipojirekebisha nampiga BAN!!:laugh::laugh:
The Following User Says Thank You to Lizzy For This Useful Post:Jamani utakua unambania na Fynest!Tukienda wote kila mtu anafaidi!
Karibu Michelle, thread ndefu inakukaribisha, so surely ur presence or lack of it was felt,
Am glad u r back wakwetu
Eng Nsia
Jamani utakua unambania na Fynest!Tukienda wote kila mtu anafaidi!
uporoto01, Michelle, Lizzy this song goes to you all guys
YouTube - I'D GIVE ANYTHING - GERALD LEVERT (1994)
:laugh::laugh::laugh: Kama ulivyosema huwa anaibuka ghafla from nowhere akiona haya maneno nafikiri anaweza akaweka kambi kabisa hapa
We'll behave:laugh::laugh::laugh:Haya nendeni wote,ila mjiheshimu huko,sitaki kesi baadaye!! goodluck!!
Atazunguka bucha zote ataishia kurudi kununua nyama kwenye bucha yako l.o.lHana uoga yule,nilishamuonyesha nampenda sana so he knows he can always come back!!