Asante dearest!Hehehe ile ishu tuachane nayo tu!Thanks dearest,i missed you more! Niaje mambo yetu ile?
I dont like the new Michelle who is angry and bitter can i have my old friend back ? please Michelle the sweet,caring one who made us laugh.
Welkum back lovely sis.
Missed you too my lovely sisThank you my dear brother! you were missed!!
Nice to hear that,thanks for the chai ya mdalasini na asali lakini nikinywa hiyo huwa inaamsha hisia flani hivi am scared buddy lol!Wala am not bitter nor angry,not anymore!!You have your old Michelle back Uporoto,karibu chai ya mdalasini na asali my dear!!
Missed you too my lovely sis
Nice to hear that,thanks for the chai ya mdalasini na asali lakini nikinywa hiyo huwa inaamsha hisia flani hivi am scared buddy lol!
Hahaha! Now your scaring me,tukianza hivyo am afraid to loose you as a friend.I will take care of that hisia.....l.o.l
acha uoga Uporoto!!!:laugh::laugh:
Hahaha! Now your scaring me,tukianza hivyo am afraid to loose you as a friend.
Uporoto siku hizi naambulia vikumbo tu eh?
Okay count me in Michelle.ha ha ha ha ,no strings attached!!!
i can handle that,au una ubaya gani hadi nikupoteze?
Lizzy i like you alot lakini ile comment ya 'sijui katumwa ananifata kila sehemu' iliniuma sana nikaamua kukupa space.Uporoto siku hizi naambulia vikumbo tu eh?
Okay count me in Michelle.
muoga Lizzy,au ulimpa chai ya mdalasini?
mambo yakawa si mambo ndo ana ku-avoid!!!:laugh::laugh:
Lizzy i like you alot lakini ile comment ya 'sijui katumwa ananifata kila sehemu' iliniuma sana nikaamua kukupa space.
Jamani mbona mi hata kusahau nilishasahau!Pole na samahani bwana...hata sikumaanisha!Lizzy i like you alot lakini ile comment ya 'sijui katumwa ananifata kila sehemu' iliniuma sana nikaamua kukupa space.