Michelle wetu kunani jaman!

Michelle wetu kunani jaman!

inawezekana sijasoma kanuni zote. Pengine tupendekeze taratibu Kama zile za BBA ambapo washiriki wanaweza kupiga kura kumuokoa mwenzao kutoka Ban. Hii sympathy na solidarity kwa huyu mdada imenigusa kidogo.
 
I dont like the new Michelle who is angry and bitter can i have my old friend back ? please Michelle the sweet,caring one who made us laugh.
 
Wala am not bitter nor angry,not anymore!!You have your old Michelle back Uporoto,karibu chai ya mdalasini na asali my dear!!
 
Nice to hear that,thanks for the chai ya mdalasini na asali lakini nikinywa hiyo huwa inaamsha hisia flani hivi am scared buddy lol!
 
I will take care of that hisia.....l.o.l
acha uoga Uporoto!!!:laugh::laugh:
 
Lizzy i like you alot lakini ile comment ya 'sijui katumwa ananifata kila sehemu' iliniuma sana nikaamua kukupa space.

Jamani,Lizzy alisema hivyo?msamehe Uporoto,she is such an angel.....tema mate nimchape yaishe....l.o.l
 
Lizzy i like you alot lakini ile comment ya 'sijui katumwa ananifata kila sehemu' iliniuma sana nikaamua kukupa space.
Jamani mbona mi hata kusahau nilishasahau!Pole na samahani bwana...hata sikumaanisha!
 
Back
Top Bottom