Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,628
- 3,535
Aisee...mi ni speshalisti wa Jukwaa la MMU katika idara ya Wajukuu. Simpotezi hata mmoja.
Aisee kajukuu nshazeeka....hivi ulizaliwa Birmingham au Stoke?
Hicho kiinglishi hakikuwa kwenye silabasi yetu wakati tunasome enzi za mkoloni.
Nakumbuka tuliishie kwenye topic ya...Gudimong ticha, faini senkyu tichaa, wii aaa sitting daun senkyu ticha. Nakumbuka nilipata A ya kiinglishi. Ila hichi cha kwako ulikuwa unamaanisha Hosni Mubaraka kaingia mitini au?
Hiyo ni master's ya HARVARD babu,kazi uliifanya nzuri!!!najua Babu aelewa kidhungu,nilipomleta yule mjukuu mbona uliongea nae? au kuna kauchokozi unatafuta wajukuu maana nimeona multi-quote wajukuu wawili? Babu........huko unakoelekea Babu.........:laugh::laugh:😛opcorn: