Michepuko hii, kuna muda unajikuta umemkosea mwanaume mwenzako bila kujua

[emoji16][emoji16] aisee

Jamaa alifeli sana anashindwa kuongea na mke wake huko anakufata wewe kukupiga biti unahusika vipi sasa? Au anaona wivu kwa namna unavyohudumia kina mama J yeye huduma zinamshinda anaona utamuibia [emoji23] pole kwake
Kuna Watu wanaEgo za ajabu Sana,
Ndo ile unakuta mtu anakuchukia hata hakufahamu
 
Duh! Kumbe mpo wengi Sana humu[emoji848]
 
Hii kitu imeniuma sana,,,,vijana tutafute sana hela aisee.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Usimuongeleshe kijana. Achana na binti.

Simple
 
Una balaa ww [emoji23][emoji23][emoji2095] [emoji2095]
 
Mchepuko naona atakua kajisahau km yy n mchepuko..em jaribu kumkumbusha kuwa we n mpitaji tu kisha aweke mambo sawa n hyo kijana
 
Kabla ya yooote.

Umepitia mtu na dada yake mkuu?
 
Nisikilize nikupige ukweli mchungu.
Kiukweli demu anampenda dogo sio ww maana unavyompa hata pisi hapa zinakili mtumbad unalea sana,pili wanawake huona raha penzi la wizi kuliko serious ,ushahidi kuwa hupendwi
1.Ameanzisha mahusiano serious nje yako ukiwepo.
2. Hakuchukulii serious ndo maana kaenda Tanga kimya kimya
3.Alimfungulia dogo mlango na kukaa ndan baada ya ww kuchelewa kufanya anachokupendea(hela) akaenda anakopendwa
4.Ingekuwa kuliwa tu 1 time asingemleta rafikiye ajue ,ukimuuliza mwanachuo yeyote anajua penzi hilo.
USHAURI
-Mchane demu kuwa unajua hayo mahusiano na msihi ayaendeleze ,na kiume chukua namba ya dogo ongea naye mueleze wewe ni mume wa dada yake na huyu ni shemeji yako ,kibabe watoe hata out umpe dogo amani.
KIBAHARIA
Mwambie demu aendelee na dogo na ww awe anakupa kimya kimya ,japo endelea kumlia malodge .
ANGALIZO

Mkuu yajayo ya mola ,hujui dogo atakuwa nani badae na yy mwanaume hujui atakufaa lini baharini ,isitoshe penzi laweza fikia stage wakaoana dogo kamaliza chuo kapata kazi TRA mwaka kaoa kaka utaishije na muoaji mwenzio ?? Hunauhakika hatarevenge kwa namna usojua??? Babu alisema gombana na yeyote kupata liziki ,ukiipata patana na wote ulowaumiza.
 
Kitu nlichogundua kwako una huruma na una utu. Japo wengine watakulaumu na kukuona hufai kisa hiyo michepuko. Ongea na binti msaidie asimpoteze huyo kijana.....asije akajuta baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…