Nisikilize nikupige ukweli mchungu.
Kiukweli demu anampenda dogo sio ww maana unavyompa hata pisi hapa zinakili mtumbad unalea sana,pili wanawake huona raha penzi la wizi kuliko serious ,ushahidi kuwa hupendwi
1.Ameanzisha mahusiano serious nje yako ukiwepo.
2. Hakuchukulii serious ndo maana kaenda Tanga kimya kimya
3.Alimfungulia dogo mlango na kukaa ndan baada ya ww kuchelewa kufanya anachokupendea(hela) akaenda anakopendwa
4.Ingekuwa kuliwa tu 1 time asingemleta rafikiye ajue ,ukimuuliza mwanachuo yeyote anajua penzi hilo.
USHAURI
-Mchane demu kuwa unajua hayo mahusiano na msihi ayaendeleze ,na kiume chukua namba ya dogo ongea naye mueleze wewe ni mume wa dada yake na huyu ni shemeji yako ,kibabe watoe hata out umpe dogo amani.
KIBAHARIA
Mwambie demu aendelee na dogo na ww awe anakupa kimya kimya ,japo endelea kumlia malodge .
ANGALIZO
Mkuu yajayo ya mola ,hujui dogo atakuwa nani badae na yy mwanaume hujui atakufaa lini baharini ,isitoshe penzi laweza fikia stage wakaoana dogo kamaliza chuo kapata kazi TRA mwaka kaoa kaka utaishije na muoaji mwenzio ?? Hunauhakika hatarevenge kwa namna usojua??? Babu alisema gombana na yeyote kupata liziki ,ukiipata patana na wote ulowaumiza.