Michepuko hii, kuna muda unajikuta umemkosea mwanaume mwenzako bila kujua

Kitu nlichogundua kwako una huruma na una utu. Japo wengine watakulaumu na kukuona hufai kisa hiyo michepuko. Ongea na binti msaidie asimpoteze huyo kijana.....asije akajuta baadae
Wameshabwagana tayar kimtaa mtaa hata kabla sijafanya chochote mkuu
 
Umeandika ukweli mchungu,
Sema kwa sasa washaachana tayar
(Kisa cha wao kuachana inaonekana kijana alimchanganya na shoga yake)
 
Umeandika ukweli mchungu,
Sema kwa sasa washaachana tayar
(Kisa cha wao kuachana inaonekana kijana alimchanganya na shoga yake)
Shida ya sisi wanaume hatujui n nn tunataka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shida ya sisi wanaume hatujui n nn tunataka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli aisee,
Nilikuta sms kwny Simu ya binti akimporomoshea kijana matus kwa kumchanganya na shoga ake.
Nikaona kijana nae ndezi tu,hajui nn anataka
 
Story ndefu ila ina la kujifunza hawa mademu wa kupita usiwachunguze ukiwa nao mim ninao wengi napokua nao Lodge hata akiongea na bwana yake au kuchat sihoji mim nakula mzigo nikitoka nafata yangu
 
Kumwambia hapana .. wanaume nyie mna pride
Kwa nini usimpange huyu mchepuko mdogo ?

Usikute na yeye kafall in love kwako ndo maana hamuelewi huyo kijana [emoji23].
Sio kwamba huyo binti (mdogo wake mama j)anafuata pesa tu kwa deeppond Tinsley
Deep pond njoo utupe mrejesho kuhusu huyu kijana Aliemlilia mchepuko wako, mliishia wapi DeepPond
 
Sio kwamba huyo binti (mdogo wake mama j)anafuata pesa tu kwa deeppond Tinsley
Deep pond njoo utupe mrejesho kuhusu huyu kijana Aliemlilia mchepuko wako, mliishia wapi DeepPond
Kijana nae alikua mpuuzi TU,
Hao Mbona walilbwagana MDA TU,

Kuna siku Nilipitia Simu ya binti nikakuta anamrushia Maneno ya shombo kijana wameshaachana ila anamfatilia,

Binti anafoka sn kumchanganya na shoga yake pale pale chuoni.

Bila kujua Mimi pia alieniamini ni fisi tu Maana namchanganya yeye na dada ake (mamaJ)

Akili za wanawake sometimes sizilelewagi[emoji1787]

Sent using JamiiForums mobile app
 
Kweli aisee,
Nilikuta sms kwny Simu ya binti akimporomoshea kijana matus kwa kumchanganya na shoga ake.
Nikaona kijana nae ndezi tu,hajui nn anataka
Nadhani hajakua bdo pia,angekua serious na mahusiano asingeweza kufanya jambo hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…