Michepuko iheshimiwe

I mean it bro....mi alikuja na mahari alitoa nikagundua anamke na watoto ....nilirudisha mahari mkuu.Nami ndo msimamo wangu....kufa bila ndoa si shida ila kuibanza Kwa mtu kwangu ni shida
Upo vizuri wenzio wakishatanguliziwa ndoa hao mbio mbio hawaachi hata kama ana mke.
 
 
Anapenda michepuko
Na anawaona na diggers
Wacha wamdig mpk ubongo
 
Aliyetoa fedha bandia na yeye ameuziwa cheni bandia
Na vya bafuni vya chap chap maeneo tata vilivyo vitamuuu😍😍😍
Ngoma droo
Ewaaaa
Ngoma droo na hakika vilio vipungue sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…