Michepuko iheshimiwe

Michepuko iheshimiwe

I mean it bro....mi alikuja na mahari alitoa nikagundua anamke na watoto ....nilirudisha mahari mkuu.Nami ndo msimamo wangu....kufa bila ndoa si shida ila kuibanza Kwa mtu kwangu ni shida
Upo vizuri wenzio wakishatanguliziwa ndoa hao mbio mbio hawaachi hata kama ana mke.
 
 
Anapenda michepuko
Na anawaona na diggers
Wacha wamdig mpk ubongo
 
Back
Top Bottom