Michepuko iheshimiwe

Michepuko iheshimiwe

Nilikua na mchepuko mmoja unatembea kwenye hizo lines zako, kesi kama zote
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Me najua giza likishaingia au akitoka job si muda wangu tena ...unless yeye mwenyewe a nitafute...
Halafu wachepukaji waliofuzu huwa hawaruhusu mke au mume aguse simu... never. Yake ni yake na ya mume ni ya mume. Yani ugomvi wao wa kulazimisha kushika cm unaweza kuvunja hadi ndoa
 
Ha ha ha, kuna ile ya kuchepuka kibabe, mchepukiwa anajua
 
Yesu.....🙆‍♂️
Taifa lina angamia kwakweli, zaidi nimekua nawawazia vijana wangu wa kiume kuliko wakike
Kuna dareDevil moja aliituma sisee hata sekunde kumi kuiangalia inahitaji uwe na roho ya kikatili mno.

Ianzishwe program maalum yabkisaikolojia kwa vijana maana wanazidi kupotea kwa kasi ya 4G
 
Back
Top Bottom