Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujengewe sanamu, iwekwe juu ya mlima Kilimanjaro au tumpumzishe yule askari wa mchongo pale posta mpya tukuweke weweWanawake wa ndoa ifike mahali mkubali kwamba wanaume wenu wana fantasies nyingi sana ambazo only a single woman won't fulfill. Kubalini msaidiwe tu
Kikubwa mpewe heshma yenu na pia wawe makini na maradh
Lazima atakuwepo wa kukuondoa genye na anaweza akawa mume wa mtu. Nawaza tu lakini 🤔Sawa mkuu
Amina 🙏🙏🙏Lazima atakuwepo wa kukuondoa genye na anaweza akawa mume wa mtu. Nawaza tu lakini 🤔
Yesu.....🙆♂️Anaijua ile micheps yako miwili?
Nakadori unaongea point sana leo 😀Wanawake wa ndoa ifike mahali mkubali kwamba wanaume wenu wana fantasies nyingi sana ambazo only a single woman won't fulfill. Kubalini msaidiwe tu
Kikubwa mpewe heshma yenu na pia wawe makini na maradh
Nimeamua kukusagia kunguni ili shemeji ajue kabisa hali sio shwari. 🤣Yesu.....🙆♂️
Umesha haribu tayari..😥
Kuna wakati wanatumika vibaya mkuu, hayo mafantasy wallah ni kuwaumiza wanawake wa watu tu...sema nao wameamua kujitoa sadaka...!
Mbele kwa mbele maisha ni mapambanoMaisha yamebadilika mume Ana michepuko sehemu anabembeleza tunguvu twake twa kiume ili akafanye show ya kibabe kwa michepuko huku ndani bi mkubwa naye anakosa wa kumtuliza mwisho uzalendo naye unamshinda naye anaamua kutafuta kidumu chake mwisho mnaingiza maradhi ndani kila mtu anamsingizia mwenzake kila mtu Siri yake moyoni
Leo nimepatikana kabisa hapa jamvini...😥 ila kwakua waifu anajua aiam boni ageni basi shwari..😜😜Nimeamua kukusagia kunguni ili shemeji ajue kabisa hali sio shwari. 🤣
Changia cement basiii maana sanamu tunajengajeUjengewe sanamu, iwekwe juu ya mlima Kilimanjaro au tumpumzishe yule askari wa mchongo pale posta mpya tukuweke wewe
Unaweza ukawa umemtokea kwa zile tamaa za uanaume upige usepe, ila ukishaingia huko anataka akuteke maana tayari anajua una mkeKuna wakati wanatumika vibaya mkuu, hayo mafantasy wallah ni kuwaumiza wanawake wa watu tu...sema nao wameamua kujitoa sadaka...!
Hahaha pale mtu anapoambia aliwe wakat amekamata bulb 🤣🤣
Usikonde, nita fund project yote. Nakadori kama NakadoriChangia cement basiii maana sanamu tunajengaje
Tena kuna michepuko mingine imepewa nafasi ya kuendesha familia kuu kwa namna ilivyopewa kipaumbele. Sio kila mchepuko anadharaulika jamanUnaweza ukawa umemtokea kwa zile tamaa za uanaume upige usepe, ila ukishaingia huko anataka akuteke maana tayari anajua una mke
Kuna vingine anakupa anajua hivi kwa mkeo hupati kwa hiyo wengi wanakupa mautundu kama yote ili akupagawishe unajikuta unampa cheo cha mchepuko
🤣🤣🤣 wale wanafanyaga kuwakomoa wake za ndoa yaani utapewa mavituz yaani ukifika nyumbani mke unaishia kumwangalia tuHahaha pale mtu anapoambia aliwe wakat amekamata bulb 🤣🤣
mkuu ebu weka hivi basi 'Michepuko iheshimiwe mbinguni na duniani'Wasalaam wana JF,
Hakika kuchepuka ni kukosa maadili, ni kinyume na mpango wa Mungu. Mtu anapaswa kukaa njia kuu, kukaa na familia moja kama mkristu na zisizozidi nne kama Muislam.
Lakini, kuna wakati tunajikwaa na kuchepuka au tuna lazimika kuchepuka kutokana na mikingamo ya ndani.
Sasa basi, lazima tukiri michepuko ipo na inafaa na kusaidia wakati wa dhiki na pengine raha. Hivyo basi, tuiheshimu.
Naomba kutoa heshima zangu za dhati kwa michepuko iliyopo JF, mna umuhimu mkubwa kwetu. ASANTENI
Kuna wengine wakishikwa na michepuko hata familia zao hawazikumbuki.Tena kuna michepuko mingine imepewa nafasi ya kuendesha familia kuu kwa namna ilivyopewa kipaumbele. Sio kila mchepuko anadharaulika jaman
Kama hamuamini nendeni mkasome shuhuda kwa rosemary mallya yule anayefundisha mahusiano wakat yeye mwenyewe kaachika