Michepuko iheshimiwe

Michepuko iheshimiwe

kwa sasa hivi michepuko ndio tiba ya stress za kutoka njia kuu.
Michepuko inaongeza uhai wa wanaume wengi.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huwa hawabakishii
Wanakupa yote. 😀

Na sisi wanaume tuna kasumba moja ukipewa shoo nzuri huyo mwanamke hautamsahau atabaki akilini mwako sikuzote.

Ndo maana utasikia tukisema yule mwanamke fundi aisee kitandani.
 
Unaweza ukawa umemtokea kwa zile tamaa za uanaume upige usepe, ila ukishaingia huko anataka akuteke maana tayari anajua una mke

Kuna vingine anakupa anajua hivi kwa mkeo hupati kwa hiyo wengi wanakupa mautundu kama yote ili akupagawishe unajikuta unampa cheo cha mchepuko
Ndio mnakojifunzia yale mambo yenu na mzabzab eeh🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom