Michepuko inaokoa😂😂

Michepuko inaokoa😂😂

GeoMex

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
5,431
Reaction score
19,913
Screenshot_20210607-131623.png
Screenshot_20210607-131635.png


Sio michepuko stress😂😂
 
Nimeshindwa kushangaa aliposema amekumbuka alipokulia udogoni duuuu!!!!!
 
Hiyo ndio michepuko ya kuwa nayo sasa (michepuko lami), sio michepuko kila siku vurugu tu, ukiamka, ukimpigia simu, ukimuuliza hali, ye kila wakati anataka hela tu!!
 
Mnawatoa wapi? Maana sisi wengine ata waliopo kwenye njia kuu.. hawana tabia ya kutusaidia tuki kwama
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Anakukopa laki tano unafurahi, ila kibomu kitakachofuata unapigwa mil 3 ili ukamsimulie na mkeo - dadadeq - nyumba ndogo hainaga urafiki wa kweli.
 
anakukopa laki tano unafurahi, ila kibomu kitakachofuata unapigwa mil 3 ili ukamsimulie na mkeo - dadadeq - nyumba ndogo hainaga urafiki wa kweli.
Nyie mko mbali.....mnakopeshana mpaka laki 5?
Mimi hiyo ten tu hatokaa aone simu yangu kwake tena!!![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom