Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
...............
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imelala saa hizi imenuna balaa,.chezea kujifunika na mangumi na hiki kibaridi,.watasoma kukikucha...!!!Michepuko mkuje uku kuna ujumbe wenu
Imelala saa hizi imenuna balaa,.chezea kujifunika na mangumi na hiki kibaridi,.watasoma kukikucha...!!!
Alamsik!!![emoji124][emoji124][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alamsik!!![emoji124][emoji124]
Uwiiiii ni bora kumpiga mtu rungu la kichwa azimie masaa 12 kuliko akutane na haya manenoUjue we ni kikosi cha uokoaji, ujue we ni kidumu ndoo ikianguka maji yakamwagika utatumika kunawia, we ni sub alieko ndani akizidiwa utachukuliwa wewe, kwa kifupi mnaokoa sana jahazi sema nini mnazingua kutaka kujilinganisha na ze owner, kuchimba chimba mambo ya ze owner tafadhali tafadhalini sana michepuko kaeni kwenye nafasi tulizowapa.
Mambo ya kujilinganisha na owner inakera "anakufanya vizuri" "anakufanya kama mimi " tena muda huo umenikunja kama Manda ya sambusa shwain!!!! We piga miti inatosha awe anajua hajui niachie mie hayo, nikikujibu we ndo hujui si itasinyaa hapo kama mimosa pudica!!!!
Povu nitaloekea bikini msijali, halafu nimewamiss alamsik....
Usiwanange hivi mama, mchepuko anauma ujue anauma kwakweli 😀Imelala saa hizi imenuna balaa,.chezea kujifunika na mangumi na hiki kibaridi,.watasoma kukikucha...!!!
Mie bado sijalala,nawakilisha kundi.Imelala saa hizi imenuna balaa,.chezea kujifunika na mangumi na hiki kibaridi,.watasoma kukikucha...!!!
Maneno yapi mtumishiUwiiiii ni bora kumpiga mtu rungu la kichwa azimie masaa 12 kuliko akutane na haya maneno
Mwambien shoga yenu atuheshimuUsiwanange hivi mama, mchepuko anauma ujue anauma kwakweli 😀
Hahahahaa.....hawanaga adabu wengine ujue...wanajikutaga ",hai-,tebo" wenyeweeUsiwanange hivi mama, mchepuko anauma ujue anauma kwakweli 😀
Namuombea msamaha inawezekana haujui uchungu wa mchepuko, tafadhali naomba umsameheMwambien shoga yenu atuheshimu
Kuwa watende kazi tu wasiulizie utendaji kazi wao na wa wamiliki[emoji2] [emoji2]Maneno yapi mtumishi
Naww mchupuko,.??mchepuko wa kiume??...[emoji275]Mie bado sijalala,nawakilisha kundi.
Tumeupata ujumbe
Hao hai tebo hawana sifa za kuwa michepuko, wakafie mbaliHahahahaa.....hawanaga adabu wengine ujue...wanajikutaga ",hai-,tebo" wenyewee