Michepuko mnazingua!!!

Michepuko mnazingua!!!

Duuuh hivi yule mbwa amepatikana? [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Nilishakataa kuwa mchepuko.. ila napenda sigo maza sana na ova thaties..
 
Ujue we ni kikosi cha uokoaji, ujue we ni kidumu ndoo ikianguka maji yakamwagika utatumika kunawia, we ni sub alieko ndani akizidiwa utachukuliwa wewe, nyinyi ni pain killers, mnatuondolea stress kwa kiwango cha lami, ni power bank zetu kwa kifupi mnaokoa sana jahazi sema nini mnazingua kutaka kujilinganisha na ze owner, kuchimba chimba mambo ya ze owner tafadhali tafadhalini sana michepuko kaeni kwenye nafasi tulizowapa.

Mambo ya kujilinganisha na owner inakera "anakufanya vizuri" "anakufanya kama mimi " tena muda huo umenikunja kama Manda ya sambusa shwain!!!! We piga miti inatosha awe anajua hajui niachie mie hayo, nikikujibu we ndo hujui si itasinyaa hapo kama mimosa pudica!!!!

Povu nitaloekea bikini msijali, halafu nimewamiss alamsik....
mke wa mtu nimegonga mmoja tu na mimba juu sema tu mtoto bahati mbaya so sina experience kabisaaaa na kuitwa mchepuko ila nilikua namsaidia jamaa akisafiri tu huku mie bize kupunguza genye za mkewe full kuosha rungu.....ila statembea tena na mke wa mtu huyu mmoja atosha
 
Ushalamba asali weyeee
 
Vile ma owner wakiumia uwanjani hukaa nje kwa kipindi kirefu..hapo michepuko hucheza kwa nidhamu na ufundi Wa hali yajuu[emoji23]
 
Back
Top Bottom