Michepuko mnazingua!!!

Jana mchepuko kaniangusha sana,nilimwambia girlfriend wangu yupo maeneo leo usije,usiku wa manane nipo na girlfriend wangu anapiga simu,sikupokea nikamtumia msg kwamba nipo naye niache sahizi.
Duh akaja ule ule upande chumba cha kulala kilipo akaanza kugonga dirisha....kilichotokea sina hamu kueleza
 
Mchepuko king'ang'a huyo hatari kwa mahusiano, mpige chini
 
Mi sihitaji mchepuko navyokunjwa na G hata hamu ya michepuko sina
 
Ila michepuko inafaidi kuliko wa ndoani...kuanzia pesa...matunzo...alafu inakiburi maana inaambiwa mapungufu ya wa ndani...na inayatumia mapungufu hayo kama fursa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…