Michepuko mnazingua!!!

Michepuko mnazingua!!!

Hahaa umenikumbusha hicho kimmea cha ajabu Momisa pudica
 
Mambo ya kujilinganisha na owner inakera "anakufanya vizuri" "anakufanya kama mimi " tena muda huo umenikunja kama Manda ya sambusa shwain!!!! We piga miti inatosha awe anajua hajui niachie mie hayo.
Hapo umeangalia kwa upande wa michepuko ME peke yake lakini hata KE mna hiyo tabia hasa ukikutana na mchepuko ME anayejua kupiga mashine to that extent utasikia tu"Bby mkeo anafaidi", "bby mimi na mkeo nani anajua"??, Mkeo naye huwa anakupaga na huku"???
Damn questions!! Hata unipe tundu la pua utabaki mchepuko tu.
 
Hahahaha wamekusikiaaa.....

Putin akiwambiaga wanasema anawatukana mpaka mtu wawatu kapewa ban ya maisha.

NAKWANN MWANAMKE UKUBALI KUA MCHEPUKO?? UJINGA MTUPU.
 
Do! hii umechomoka kivingine kabisa! yapi yamekukuta!
 
Hapo umeangalia kwa upande wa michepuko ME peke yake lakini hata KE mna hiyo tabia hasa ukikutana na mchepuko ME anayejua kupiga mashine to that extent utasikia tu"Bby mkeo anafaidi", "bby mimi na mkeo nani anajua"??, Mkeo naye huwa anakupaga na huku"???
Damn questions!! Hata unipe tundu la pua utabaki mchepuko tu.
Nasema hivi michepuko wabaki kwenye nafasi zao....Haifai kujilinganisha na ze owner
 
Uzuri ni kuwa at one point 75% ya wanawake alikuwa mchepuko.
Ko mnajuana tu
 
Ujue we ni kikosi cha uokoaji, ujue we ni kidumu ndoo ikianguka maji yakamwagika utatumika kunawia, we ni sub alieko ndani akizidiwa utachukuliwa wewe, nyinyi ni pain killers, mnatuondolea stress kwa kiwango cha lami, ni power bank zetu kwa kifupi mnaokoa sana jahazi sema nini mnazingua kutaka kujilinganisha na ze owner, kuchimba chimba mambo ya ze owner tafadhali tafadhalini sana michepuko kaeni kwenye nafasi tulizowapa.

Mambo ya kujilinganisha na owner inakera "anakufanya vizuri" "anakufanya kama mimi " tena muda huo umenikunja kama Manda ya sambusa shwain!!!! We piga miti inatosha awe anajua hajui niachie mie hayo, nikikujibu we ndo hujui si itasinyaa hapo kama mimosa pudica!!!!

Povu nitaloekea bikini msijali, halafu nimewamiss alamsik....
Mchepuko nikitulizo ndio maana mnawatafuta
 
Ila na nyie wabovu tu maana mke wa mtu ukimpata ni rough sex tu

Hata hujaulizwa unaanza kumkandia aliyekuweka mpaka ukaheshimika kuwa mke wa mtu


Acheni kubwabwaja tunapowakaza kaza kaza kaza
Aki ya Nani mpaka nimedindisha
 
Back
Top Bottom