mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Natumaini hujamjibu ili ajisute mwenyewe.....mwanamke anaomba bila hata haibu, ana wazazi na ndugu zake kwanini asiende kuwaomba wao? Mazezeta kama hawa mimi uwa siwapi muda, akianzisha tu vita ya hela nami nampoza kwa mabomu ya ukimya, simjibu na siongei naye tena....pumbavuuuu!Yaani bila aibu wala kujistukia kidogo, tena eti ananiita''mume wangu'', kheee!!
Watu tupo bize na vita ukraine uko,yeye anataka kuanzisha vita yake na hela zangu!!!
View attachment 2163194
Pumbavuuu, kaona nimeuchuna mpaka eti ananiambia kadri ninavyochelewa kumtumia hela ndio anazidi kuchelewa kuja.
Na kwanini amuombe, kwani ni mzazi wake au ndugu?Ha ha ha....
Muangalie na level kulingana na kipato Cha mtu, sio unamuomba laki 3 mwenye kipato Cha laki 1.
Huu Ni uonevu[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa wanaume wenyewe ndio sisi tukiombwa elf 10 tunafuta namba Mzigua90Kwani sass hivi tunaishije? Kwanza natafuta hao watoa huduma nimechoka kujilea
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Lkn naona inahitaji moyo Sana na usiwe na kinyaa aiseeTunathamini muda wetu....ukianza kutomgoza story inakuwa ndefu wakati kitu kipo obvious mwanaume akija kwa demu anataka mbususu
tofauti ya mchepuko na mke ni ipi??Mahusiano ni gharama chief,
Kama umemuelewa Sana anakupa ile kitu roho inapenda wee mpe TU.
Ila Kama Hana tofauti yoyote na mkeo, achana nae chief[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa tambua kuwa wanawake wakujiuza wana grade tofauti...wapo wa buku 3 wapo wa million tatu na wakupandishwa private jet.Lkn naona inahitaji moyo Sana na usiwe na kinyaa aisee
Kunasiku nilikuwa nasafiri kuja mkoani kutokna na umbali wahom had shekilango ikanilazimu nichukue lodge manzese aisee kunawanawak wanaishi kwashida Sana ndo nilishuhudia Ila wanunuagi pia mnaimani Sana
Ukiwa hujaoa wee sii unajikamatia pale mfuko unaruhusu. Huna hela basi unatulia na mpenzi wako revola
[emoji23]dah natamn nifahamu kinachowasukuma kununua wanawake ni nn shida ni kutongoza ama nin
Lakin kujiuza ni kujiuza tu haijalishi ni wa level ipi sema wanunuaji ndo mkostrong aisee maana msungekuwa wateja wazuri wasingekuwa wanauzaSasa tambua kuwa wanawake wakujiuza wana grade tofauti...wapo wa buku 3 wapo wa million tatu na wakupandishwa private jet.
Jambo moja kuu nalojua mie ni kwamba kuna chance ndogo sana ya kupata ngoma kutoka kwa malaya kuliko gelofrend wako au mkeo. Hiyo tayari ni bonge la advantage. Pili ndio kama hivyo nilivyokwambia....wengine hatutaki kupoteza muda kwenye mtongozo.
Hana ela analalamika anafanywa kitega uchumi wakat mwenzio kalipa Kodi ml 4 atafute wa level zake za miambili miambili[emoji23][emoji23]Hauoni balaa lililomkuta mleta mada
Yeah mujiuza ni kujiuza tuu wala sibishi hilo. Kila mtu na priority yake. Wengine wanaona raha kitongoza na kupigwa vibomi vya kodi mara gas. Mie philosophy yangu ni moja tuu: mwanamke ni chombo cha starehe basi wee kamata ugege uburidike basiLakin kujiuza ni kujiuza tu haijalishi ni wa level ipi sema wanunuaji ndo mkostrong aisee maana msungekuwa wateja wazuri wasingekuwa wanauza
Mchepuko ndie anefanya kaz ngumu kuliko mke ..Yaani bila aibu wala kujistukia kidogo, tena eti ananiita''mume wangu'', kheee!! Watu tupo bize na vita ukraine uko, yeye anataka kuanzisha vita yake na hela zangu!!!
Pumbavuuu, kaona nimeuchuna mpaka eti ananiambia kadri ninavyochelewa kumtumia hela ndio anazidi kuchelewa kuja.
Mfungulie kesi ya ugaidi basi huyo mpinzaniMkuu nchi ambayo Haina chama Cha upinzani ni hatari zaidi kuliko nchi yenye serikali mseto(kuishi bila mchepuko ni hatari zaidi kuliko mtu mwenye mitala)