mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Natumaini hujamjibu ili ajisute mwenyewe.....mwanamke anaomba bila hata haibu, ana wazazi na ndugu zake kwanini asiende kuwaomba wao? Mazezeta kama hawa mimi uwa siwapi muda, akianzisha tu vita ya hela nami nampoza kwa mabomu ya ukimya, simjibu na siongei naye tena....pumbavuuuu!Yaani bila aibu wala kujistukia kidogo, tena eti ananiita''mume wangu'', kheee!!
Watu tupo bize na vita ukraine uko,yeye anataka kuanzisha vita yake na hela zangu!!!
View attachment 2163194
Pumbavuuu, kaona nimeuchuna mpaka eti ananiambia kadri ninavyochelewa kumtumia hela ndio anazidi kuchelewa kuja.