Michepuko msitufanye Benki ya Dunia

Michepuko msitufanye Benki ya Dunia

Hana ela analalamika anafanywa kitega uchumi wakat mwenzio kalipa Kodi ml 4 atafute wa level zake za miambili miambili[emoji23][emoji23]
Na huyo anayetegemea mwanaume amlipie kodi na amtimizie na mahitaji yake mengine, huyo naye anajiuza au?
 
Vizuri gharama
Nikikugharamia sana,uwe tayar pia kutumika vbaya na usilie lie

Nikikugharimia sana ujiandae kunipa jicho,pia usining'ang'anie sana siku nikikwambia mimi na wewe basi
 
Nikikugharamia sana,uwe tayar pia kutumika vbaya na usilie lie

Nikikugharimia sana ujiandae kunipa jicho,pia usining'ang'anie sana siku nikikwambia mimi na wewe basi
[emoji849] Aisee
 
Nikikugharamia sana,uwe tayar pia kutumika vbaya na usilie lie

Nikikugharimia sana ujiandae kunipa jicho,pia usining'ang'anie sana siku nikikwambia mimi na wewe basi
Mapenzi sio lazima tukishindwana basi kila mtu apite hivi...yaan niliwe tigo kisa nagharamiwa? haipo hiyo
 
Mapenzi sio lazima tukishindwana basi kila mtu apite hivi...yaan niliwe tigo kisa nagharamiwa? haipo hiyo
Wew unasema hvyo lakin kuna watu hawaelew unapomwambia kuwa nmekuchoka,
 
Kwahiyo umlale wewe pesa ya matumizi akaombe kwa wazazi wake?[emoji848]aisee kuna wanawake wanakutanaga na wanaume majanga!
Serious kabisa umlale ww,pesa ya sabuni ya kufulia hiyo chupi ya shahawa zako akaombe kwa mzazi wake?
Aisee,kuwa na mwanamke nje ya mkeo lzm ujiweze kiuchumi,huwezi waachie wanaoweza kuhudumia tena bila kuombwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeenda mbali, wala sikumaanisha hivyo. Ninachopinga ni kule mwanamke kila aamkapo anawaza kumpigia simu mwanamme kuomba hela. Kabla ya huyo mwanamme alikuwa anaishije hapa mjini?
 
Si mnajifanya mabilionea wenyewe wacha wawakomeshe!!
 
Back
Top Bottom