Michepuko ya Demu wangu inanipa stress nifanyeje?

Selemani Sele

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2023
Posts
319
Reaction score
711
Mimi ni kijana mdogo, na ndio nimemaliza chuo last year october so nipo katika kujitafuta. Nina mpenzi niseme, au kwa ujana tunaita dem nimekuwa na mahusiano nae for almost 7 months. Tulikuwa wote chuo kimoja ila yeye kaunganisha masters. Kuna kitu ambacho kinaniwazisha sana.

Demu huwa hataki niongee na ex wangu, na kiukweli siongei nae kwa sababu nampenda, yeye mwenyewe akasema haongeagi na ex wake. Cha kushangaza kuna siku nika-link whatsapp yake kwenye simu yangu ili nione kama ni kweli hana chatting sessions na ex wake, ila cha kushangaza yeye ndio anaemtext na kumuita "Sweetheart"Ila tuachane na huyo ex, kuna mbaba, engineer ambaye anamtumia hela, ila akitaka siku waonane.

Ameshawahi mtumia mpaka 500k, na kwa kiasi kama hicho kuna hatihati ya kitu kutokea. Sasa nipo na mawazo sana, natamani niachane nae ila ananipenda mno, she dreams for a family ila kwa hali hiyo sijui kama nitakuwa na raha moyoni.

Naombeni ushauri. Maana kuna muda naongea nae fresh tu ila sijui jinsi ya kuchomoka huu mtego maana nakosa amani.
 
Ukimchunguza BATA huwezi kumla πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ€“πŸ˜Š

#Rule number one
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…