Michepuko ya Demu wangu inanipa stress nifanyeje?

Mimi ni kijana mwenye 23 years of age, na ndio nimemaliza chuo last year october so nipo katika kujitafuta. Nina mpenzi niseme, au kwa ujana tunaita dem nimekuwa na mahusiano nae for almost 7 months. Tulikuwa wote chuo kimoja ila yeye kaunganisha masters. Kuna kitu ambacho kinaniwazisha sana.

Demu huwa hataki niongee na ex wangu, na kiukweli siongei nae kwa sababu nampenda, yeye mwenyewe akasema haongeagi na ex wake. Cha kushangaza kuna siku nika-link whatsapp yake kwenye simu yangu ili nione kama ni kweli hana chatting sessions na ex wake, ila cha kushangaza yeye ndio anaemtext na kumuita "Sweetheart"Ila tuachane na huyo ex, kuna mbaba, engineer ambaye anamtumia hela, ila akitaka siku waonane.

Ameshawahi mtumia mpaka 500k, na kwa kiasi kama hicho kuna hatihati ya kitu kutokea. Sasa nipo na mawazo sana, natamani niachane nae ila ananipenda mno, she dreams for a family ila kwa hali hiyo sijui kama nitakuwa na raha moyoni.

Naombeni ushauri. Maana kuna muda naongea nae fresh tu ila sijui jinsi ya kuchomoka huu mtego maana nakosa amani.
Tafuta hela buddy
 
...
JamiiForums1706905202.jpg
 
Shida ilianza pale ulipounganisha whatsapp yake kwako, usingefanya ivoo haya yote yasingekukuta nakushauri usije ukarudia hiyo tabia kijana
 
Demu wako anamichepuko mingi na wewe umepanga foleni humo humo aisee, sijui shuleni huwa tunaenda kufanya nini!
 
Mimi ni kijana mdogo, na ndio nimemaliza chuo last year october so nipo katika kujitafuta. Nina mpenzi niseme, au kwa ujana tunaita dem nimekuwa na mahusiano nae for almost 7 months. Tulikuwa wote chuo kimoja ila yeye kaunganisha masters. Kuna kitu ambacho kinaniwazisha sana.

Demu huwa hataki niongee na ex wangu, na kiukweli siongei nae kwa sababu nampenda, yeye mwenyewe akasema haongeagi na ex wake. Cha kushangaza kuna siku nika-link whatsapp yake kwenye simu yangu ili nione kama ni kweli hana chatting sessions na ex wake, ila cha kushangaza yeye ndio anaemtext na kumuita "Sweetheart"Ila tuachane na huyo ex, kuna mbaba, engineer ambaye anamtumia hela, ila akitaka siku waonane.

Ameshawahi mtumia mpaka 500k, na kwa kiasi kama hicho kuna hatihati ya kitu kutokea. Sasa nipo na mawazo sana, natamani niachane nae ila ananipenda mno, she dreams for a family ila kwa hali hiyo sijui kama nitakuwa na raha moyoni.

Naombeni ushauri. Maana kuna muda naongea nae fresh tu ila sijui jinsi ya kuchomoka huu mtego maana nakosa amani.

Hati hati kitu kutokea au keshaliwa

Pia usiwe selfish
Learn to share with others , sharing is caring, kwani wanaondoka nayo?

Si anafuta life goes on
 
Back
Top Bottom