toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Bwana mdogo chuo mnasomeaga upumbavu ? Umesoma kweli wewe mkuu ? Ukweli umeuona unashindwa nini kufanya maamuzi ? Aloo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapenzi upovuBwana mdogo chuo mnasomeaga upumbavu ? Umesoma kweli wewe mkuu ? Ukweli umeuona unashindwa nini kufanya maamuzi ? Aloo
Tulia kijana tafuta hela huyo deny sio saizi yakoMimi ni kijana mdogo, na ndio nimemaliza chuo last year october so nipo katika kujitafuta. Nina mpenzi niseme, au kwa ujana tunaita dem nimekuwa na mahusiano nae for almost 7 months. Tulikuwa wote chuo kimoja ila yeye kaunganisha masters. Kuna kitu ambacho kinaniwazisha sana.
Demu huwa hataki niongee na ex wangu, na kiukweli siongei nae kwa sababu nampenda, yeye mwenyewe akasema haongeagi na ex wake. Cha kushangaza kuna siku nika-link whatsapp yake kwenye simu yangu ili nione kama ni kweli hana chatting sessions na ex wake, ila cha kushangaza yeye ndio anaemtext na kumuita "Sweetheart"Ila tuachane na huyo ex, kuna mbaba, engineer ambaye anamtumia hela, ila akitaka siku waonane.
Ameshawahi mtumia mpaka 500k, na kwa kiasi kama hicho kuna hatihati ya kitu kutokea. Sasa nipo na mawazo sana, natamani niachane nae ila ananipenda mno, she dreams for a family ila kwa hali hiyo sijui kama nitakuwa na raha moyoni.
Naombeni ushauri. Maana kuna muda naongea nae fresh tu ila sijui jinsi ya kuchomoka huu mtego maana nakosa amani.
Mimi ni kijana mdogo, na ndio nimemaliza chuo last year october so nipo katika kujitafuta. Nina mpenzi niseme, au kwa ujana tunaita dem nimekuwa na mahusiano nae for almost 7 months. Tulikuwa wote chuo kimoja ila yeye kaunganisha masters. Kuna kitu ambacho kinaniwazisha sana.
Demu huwa hataki niongee na ex wangu, na kiukweli siongei nae kwa sababu nampenda, yeye mwenyewe akasema haongeagi na ex wake. Cha kushangaza kuna siku nika-link whatsapp yake kwenye simu yangu ili nione kama ni kweli hana chatting sessions na ex wake, ila cha kushangaza yeye ndio anaemtext na kumuita "Sweetheart"Ila tuachane na huyo ex, kuna mbaba, engineer ambaye anamtumia hela, ila akitaka siku waonane.
Ameshawahi mtumia mpaka 500k, na kwa kiasi kama hicho kuna hatihati ya kitu kutokea. Sasa nipo na mawazo sana, natamani niachane nae ila ananipenda mno, she dreams for a family ila kwa hali hiyo sijui kama nitakuwa na raha moyoni.
Naombeni ushauri. Maana kuna muda naongea nae fresh tu ila sijui jinsi ya kuchomoka huu mtego maana nakosa amani.
Maisha hayaSamahani mdogo wangu sikusudii kukudhalilisha kwa elimu yako lakini imenibidi niwe mkweli kwako ili ufunguke macho. Hivi ndugu yangu umesoma hadi chuo na bado hujaelimika kimaisha kweli? Demu anakukataza wewe usiwasiliane na ex wako (controll freak) wakati yeye anawasiliana na ex wake, anatumiwa pesa za matumizi na anamwita majna ya kimahaba na wewe unakuja hapa kuuliza ufanye nini? Are you serious? Umeambiwa kuna mwanamke au kuna wanawake duniani? Come on!
Itoshe kusema wewe ni mpumbavuMimi ni kijana mdogo, na ndio nimemaliza chuo last year october so nipo katika kujitafuta. Nina mpenzi niseme, au kwa ujana tunaita dem nimekuwa na mahusiano nae for almost 7 months. Tulikuwa wote chuo kimoja ila yeye kaunganisha masters. Kuna kitu ambacho kinaniwazisha sana.