Michepuko ya Demu wangu inanipa stress nifanyeje?

Bwana mdogo chuo mnasomeaga upumbavu ? Umesoma kweli wewe mkuu ? Ukweli umeuona unashindwa nini kufanya maamuzi ? Aloo
 
Wewe kijana mdogo, upande mwingine na wewe unaitwa mchepuko huyo siyo wa kwako peke yako.We kula ukimaliza futa mdomo.
 
Eti ananipenda sana...
Are you kidding?
Hebu tuliza wenge dogo wanawake wako wengi...
 
Tulia kijana tafuta hela huyo deny sio saizi yako

Ila akili ya kuambiwa changanya na yako utanishukuru baadae
 

Samahani mdogo wangu sikusudii kukudhalilisha kwa elimu yako lakini imenibidi niwe mkweli kwako ili ufunguke macho. Hivi ndugu yangu umesoma hadi chuo na bado hujaelimika kimaisha kweli? Demu anakukataza wewe usiwasiliane na ex wako (controll freak) wakati yeye anawasiliana na ex wake, anatumiwa pesa za matumizi na anamwita majna ya kimahaba na wewe unakuja hapa kuuliza ufanye nini? Are you serious? Umeambiwa kuna mwanamke au kuna wanawake duniani? Come on!
 
Maisha haya
 
Sijasoma, acha ujinga pambana fanya kazi fanya mazoezi tafuta hela

You have a bright future.... be a man
 
Umejitambulisha kwao? Umemtambulisha kwenu? Ushawai kumuambia kua unampango wa kumuoa? Unamuhudumia?

Kama kuna ukakasi kwenye majibu hapo juu basi demu hana kosa. Ana ongea options zake tu za kuolewa maana hata sisi me hatueleweki.

We ishi nae tu hivo kibabe, kula na wanao kula maana ukisema umuache unauhakika gani utapata pure soul huku nje?

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Nmecheka sana dogo eti “ananipenda sana”.. yani we ndo unaempenda yeye hapo ila umegeuza usionekane mnyonge kwetu[emoji23][emoji23]
 
Itoshe kusema wewe ni mpumbavu
 
Acha utoto katafute hela. Huyo mwanamke hana ndoto ya kujenga familia na wewe, ila anaona mnaendana kuwa kwenye mahusiano sababu ya umri wenu. Siku akipata mwenzio wa umri wa kulingana naye, amejipata utaachwa mchana kweupe ukajiue.
 
we bado mwendawazimu na mjinga jinga bado ...yani kavulana sio kinaja wa kiume...unatawaliwa na unaongozwa hata hujui nini cha kufanya na wakati gani...kitu gani hiki unaleta hapa......sem ausijali zile nilaki tano tu hamna kitu pia haongei na ex wake utakuwa umeona vibaya...pia usiishi kwa demu hapend hiki na kile wewe kuwa namaamuzi hasa..mwisho we bado under 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…