Michezo haramu katika mikopo chechefu. Je, Martin Masese anapata wapi taarifa nyeti kama hizi?

Kama alichoandika ni uongo, why wasiende mahakamani?
 
Majaji wa mahakama zetu wengi ni Makada wa CCM, chama kinachotekeleza sera ya ufisadi kwa vitendo. Nitajie mtu safi nadani ya CCM nami nitakutajia malaya mwenye bikira😀
 
Hii ni hatari. Asante Martin
 
Bungeni tunahitaji uwepo wa watu km MMM 🤔🤔
Hizi taarifa za MMM zina chembe ndogo sana ya usahihi. Kuna majina ametaja ambayo nimeuliza mahali kwa records za benki husika sio wateja chefuchefu. Lakini pia uwezekano wa yeye MMM kupata taarifa hizi zote nyeti kutoka kwa mabenki tofauti ni mdogo,
 
Zikianza kuletwa habari za namna hii, JF itaanza kurudia enzi zake ambapo ilikuwa mijadala mikubwa yenye sura za Kitaifa ilikuwa zinajadiliwa humu.

Pamoja na maoni ya wadau humu kukinzana, bado Kuna haja Vyombo vya uchunguzi kufanyia kazi hizi tuhuma

Alichokifanya MMM ni kupuliza filimbi tu (whistleblower) ili kuiamsha jamii pamoja na wafanya maamuzi ya Nchi kuchukua hatua.

Mwanzo mzuri
 
Hujuma za awali zinaanzia ndani ya mabenki. Staff hushirikiana na haya makampuni na wana pave way ya loopholes. Nchi hii kusafishika ni asilani abadani. Kuanzia Watawala, wafanyabiashara, watumishi na wanachi wote ni mchwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…