mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waziri Mwigulu anawachanganya wabunge na EPC +F! Hakika nchi hii tumekwisha!Jamani, hapa duniani, kweli kuna nchi kama Tanzania? Najua Nigeria inasemekana sna, lakini kule kuna wasomi pia. Kumlaghai msomi si kitu rahisi. Hapa Tanzania yaelekea wachache waliosoma wamesomea wizi!