Fuatilia hotuba ya SamiaHata mimi nimeshindwa kuunganisha dots hapa. Najua ni kweli nchi yetu ina namna nyingi za upigaji lakini kwa hili nimeshindwa kuona kama kuna mantiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fuatilia hotuba ya SamiaHata mimi nimeshindwa kuunganisha dots hapa. Najua ni kweli nchi yetu ina namna nyingi za upigaji lakini kwa hili nimeshindwa kuona kama kuna mantiki.
Exactly mkuu, swali la msingi la kuuliza ni kwamba hizo kesi wanazoshinda wanashinda kwa loopholes gani..? To solve this, its needful knowledge to know wanashindaje hizi kesi kwanza.Tuangalie checklist ya kudeal na defaulters kwenye mabenki.
1. Kuna proof kuwa mkopo uliombwa na kuchukuliwa na the correct, responsible na accountable kwa kampuni?
2. Disbursements zilifanyika as agreed by the two parties?
3. Was the loan 'appropriately' secured?
4. Has the borrower serviced the loan as required?
5. Does the bank agree on the borrower's current conditions in settling the loan?
6. So what is the issue in court?
Sasa hizi issue za wateja kushinda jesu hata sizielewi. Corruption ya loan officers ni issue kweli, lakini kama mkopo uko secured properly, process ya bank ku attach na kuuza ililegezwa na kuwa straight forward.
Ikiwa customer anataka kushtaki rushwa aliyotoa, hiyo ni separate case. And no customer would come forward na kusema, 'ili kupata huu mkopo, nilimpa Chairman wa Board' rushwa. It could be true, lakini hiyo Ina process yake ngumu, kidogo. Ndiyo maana hizo kesi hatuzisikii sana kesi za namna hii.
Sasa hii ya watu kushinda kesi, ikiwa pesa walichukua na wakatoa collateral za kutosha huo mkopo, sielewi wameshinda nini: kwamba hawakuchukuwa mikopo, au wamekwisha service loan yote?
Unakosea mambo mengi kujibu bila kusoma na kuelewa kilicho andikwa na ni nani amekiandika.Vijana kama wewe wana mchango mdogo sana kwa Taifa!
Benki hazifanyi mambo kwa kubahatisha. Wana wanasheria na mikopo au dhamana yoyote wanayojihusisha nayo huwa wanahakikisha haitawageuka. Ila sijasema kuwa hakuna kitu kama hicho, bali nimeshangaa na kama iko hivi basi ni mtandao unaohusisha mpaka watu wa benki.Fuatilia hotuba ya Samia
Kama wewe hiyo 'judgement' unao ufahamu nayo, unashindwa kitu gani kuchangia hapa JF watu waione? Hata kutaja tu mfano, ilfanyika lini na wapi huwezi?Katafute judgement upate ufahamu!
Mbuzi wa bwana Heri na shamba la bwana Heri !!Hii nchi inatafunwa vizuri sn
Wakili wa wafanyabiashara wanaodaiwa mikopo leo katoa maelezo ya kina
View: https://youtu.be/f12YUOhDPrg?si=vSp9t2rg4-94QN5H
Yaan mtu ukope kulipa uanzishe mgogolo, BOT wao kama wasimamizi sijui role yao huwa ni ipi kwenye hzi case.Mwalongo, graduate wa UDSM, 2003, intern wa Law Associates ya Dk. Ringo Tenga, Dk Tenga is one of the best legal mind the country ever had,,Kabudi tupa kule, Mwalongo anawatesa mawakili mpaka wanaamua kutumia majungu.
Lawyers wa Banks wenyewe double dealers, though still i advise Jaji Mkuu anapopanga majaji wa commercial division ajiridhishe sana, Jaji kateuliwa nyumba yake iko mivumoni inajiuliza nianze kuua mtoto, baba au mama, unampa kesi ya bilioni 100, mtu akochomoa 500 akamchapa Jaji na ghorofa kali utamlaumu nani
Serikali imeweka pesa za umma katika benki hizo tajwa hapo juu.Zaidi ya asilimia 95 ya benki ya AZANIA ni mifuko ya hifadhi za jamii hasa NSSF, hivyo kuchukua pesa AZANIA BANK bila kurudisha ni sawa na kutafuna vikokotoo vya wastaafu wa serikali na sekta binafsiMfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ni 3nd largest shareholder wa AZANIA Bank (17.97%) na walichukua pesa za wanachama zaidi ya Sh.....
Imekuuma? Au Unataka ukalelewe wewe?Huyo wa Tarime? Anayelelewa na Meya mstaafu Jackob, kazi kuokota mayai na kusafisha mabanda ya kuku?