Michezo magazetini leo...

Michezo magazetini leo...

Status
Not open for further replies.
Benzema leads France over Brazil


storypage_APlogo_01.png





http://msn.foxsports.com/rssfeeds




Updated Feb 9, 2011 6:11 PM ET
SAINT-DENIS, France (AP)

Karim Benzema scored in his third successive international match as France beat 10-man Brazil 1-0 in a friendly on Wednesday.
The Real Madrid striker scored in the 54th minute after brilliant work from Jeremy Menez down the right, and could have scored five more goals.
Brazil midfielder Hernanes was shown a straight red card for an awful challenge on Benzema in the 40th minute.

INTERNATIONAL FRIENDLIES

Tue., Feb. 8
Ivory Coast 1-0- Mali | Recap
Ireland 3-0 Wales | Recap
Ghana 4-1 Togo | Recap
Wed., Feb. 9
Denmark 1-2 England | Recap
Germany 1-1 Italy | Recap
France 1-0 Brazil | Recap
Portugal 1-2 Argentina | Recap
Spain 1-0 Colombia | Recap
Croatia 4-2 Czech Rep. | Recap
Netherlands 3-1 Austria | Recap
Greece 1-0 Canada | Recap
Russia 0-1 Iran | Recap
Israel 0-2 Serbia | Recap
Turkey 0-0 S. Korea | Recap
Belgium 1-1 Finland | Recap
Scotland 3-0 N. Ireland | Recap
Egypt vs. USA | Canceled
Mexico vs. Bosnia-Herz.



Goalkeeper Julio Cesar denied Benzema with two superb saves, one at point-blank range, and Benzema clipped a shot just wide of the right post after a mazy run.
France's fifth straight win gives further indication that France coach Laurent Blanc is turning the team around. He replaced the beleaguered Raymond Domenech after France went out of last year's World Cup without winning a match.
"The wins against England and Brazil should give us a lot more confidence individually and collectively," Blanc said. "I hope we can use it in the future for the important (2012 European Championship) qualifiers coming up."
Blanc accepted the red card made France's task much simpler.
"It is easier with 11 against 10, there's much more space and the Brazilians have to play with one up front, so they're obviously less dangerous," Blanc said.
Benzema scored in the 2-1 away win against England and at home to Luxembourg late last year. He got a standing ovation at Stade de France and a thumbs up from Blanc when he came off late in the game.
His 12th international goal in his 33rd match came after the AS Roma forward Menez glided effortlessly past two players and squared the ball perfectly across the goalmouth for Benzema to stroke into the net.
Benzema almost scored again a minute later but Cesar made a stunning save to push away his diving header after a looping cross from Arsenal right back Bacary Sagna.
"The goalkeeper stopped him scoring more, but what you have to remember is that Karim was dangerous every time he touched the ball," Blanc said. "I don't want to speak about individual players too much, but Karim had a great game."
Cesar thwarted Benzema again with another excellent save five minutes later from an angled a shot that was heading for the bottom left corner.
Benzema was brimming with confidence and, with 15 minutes remaining, he collected the ball wide left and ran at the backtracking Brazil defenders. He teased them with a couple of stepovers, before hitting a drifting shot that almost found the top right-hand corner.
France attacked from the outset and playmaker Yoann Gourcuff's wonderful first-time pass over his shoulder played Benzema through in the ninth minute, but he shot just wide.
Menez, sprightly all night, linked up with Benzema soon after and their one-two almost prized open Brazil's defense.
Brazil coach Mano Menezes chose a squad consisting entirely of European-based players.

The home of the best LIVE soccer and rugby awaits at FoxSoccer.tv -- don't miss a second of the action.

The team showed little of its renowned creativity and had to wait until the 32nd minute before Andre Santos and Hernanes combined on the edge of the penalty area, but France managed to clear the ball before Hernanes could shoot.
AC Milan forward Robinho then shot just over in the 35th.
With a little more than five minutes remaining until half time, Hernanes was shown a straight red card by referee Wolfgang Stark for violent lunge on Benzema. The foul was reminiscent of Netherlands midfielder Nigel de Jong's chest-high tackle on his Spain counterpart Xabi Alonso in last year's World Cup final.
The Lazio player pleaded his case before walking off with his head down to a chorus of jeers and whistles.
"Unfortunately the referee was very strict with Hernanes," Brazil defender David Luiz said. "The red card had a big impact on our team. But we fought hard until the end."
Menez then broke down the right again and his bending cross was brilliantly punched away by Cesar.
Soon after the restart, Florent Malouda slipped down the left and his pinpoint cross found Benzema lurking near the penalty spot. He chested the ball down and struck the ball sweetly, but Thiago Silva's brilliantly timed block rescued Brazil.
France sensed Brazil's right flank was the weakest, and Malouda, Benzema and Gourcuff combined neatly again in the 53rd, with Gourcuff hitting a low drive that Cesar easily gathered.
Brazil substitute Hulk raced into the penalty area with one minute remaining, but 'keeper Hugo Lloris raced off his line to push the ball away.
French substitute forwards Loic Remy and Kevin Gameiro then almost combined for a goal, but the score remained 1-0.
Lineups:
France: Hugo Lloris, Bacary Sagna, Adil Rami, Philippe Mexes, Eric Abidal, Alou Diarra, Yann M'Vila (Abou Diaby, 60), Jeremy Menez (Loic Remy, 69), Yoann Gourcuff (Yohan Cabaye, 86), Florent Malouda, Karim Benzema (Kevin Gameiro, 86).
Brazil: Julio Cesar, Daniel Alves, Thiago Silva, David Luiz, Lucas, Andre Santos, Elias (Andre 89), Renato Augusto (Jadson, 59), Hernanes, Alexandre Pato (Hulk, 85), Robinho (Sandro, 70).
 
Croatia doubles up on the Czechs







storypage_APlogo_01.png





Updated Feb 9, 2011 4:18 PM ET
PULA, Croatia (AP)

Nikola Kalinic scored twice Wednesday to help Croatia beat the Czech Republic 4-2 in a hard-fought international friendly.

INTERNATIONAL FRIENDLIES

Tue., Feb. 8
Ivory Coast 1-0- Mali | Recap
Ireland 3-0 Wales | Recap
Ghana 4-1 Togo | Recap
Wed., Feb. 9
Denmark 1-2 England | Recap
Germany 1-1 Italy | Recap
France 1-0 Brazil | Recap
Portugal 1-2 Argentina | Recap
Spain 1-0 Colombia | Recap
Croatia 4-2 Czech Rep. | Recap
Netherlands 3-1 Austria | Recap
Greece 1-0 Canada | Recap
Russia 0-1 Iran | Recap
Israel 0-2 Serbia | Recap
Turkey 0-0 S. Korea | Recap
Belgium 1-1 Finland | Recap
Scotland 3-0 N. Ireland | Recap
Egypt vs. USA | Canceled
Mexico vs. Bosnia-Herz.



Croatia took the lead in the 10th minute with a close-range shot by Eduardo after a perfect pass by Niko Kranjcar. Kalinic headed in to make it 2-0 in the 13th after a cross by captain Dario Srna.
Despite being 2-0 down after only 13 minutes, the Czechs managed to come back in the game played at a new 9,000-seat stadium in the Adriatic Sea port.
The Czechs were dominant in the air, and defender Tomas Sivak pulled one back in the 20th with a header after a corner kick by Jaroslav Plasil. Tomas Rosicky leveled the scores in added time in the first half, with his 20th goal in 78 appearances for the Czech national team.
Croatia coach Slaven Bilic sent on four substitutes at the start of the second half, and one of them, Tomislav Dujmovic, delivered a perfect pass to Blackburn's Kalinic who ran some 20 yards (meters) before beating beat Czech goalkeeper Petr Cech with a fierce shot under the bar for 3-2 in the 61st.
Substitute Ivo Ilicevic completed the scoring in the 74th from some 40 yards when Cech ventured far from his goal, tried to dribble, and left the net unattended.
"Scoring four goals against such a strong team has to be considered a perfect day," Bilic said.
Croatia played without key midfielder Luka Modric of Tottenham after appendix surgery, while the Czechs were missing injured striker Milan Baros of Galatasaray.

 
Simba yawapeleka Wacomoro 'Shamba la Bibi'
Thursday, 10 February 2011 21:08

patrick%20phiri.jpg
Kocha wa Simba,Patrick Phiri

Clara Alphonce
PAMBANO la marudiano kati ya Simba na Elan Club de Mitsoudje ya Comoro la Ligi ya Mabingwa Afrika, litafanyika kwenye Uwanja wa Uhuru tofauti na mapambano mengine kufanyika kwenye Uwanja wa Taifa.

Hii ni mara ya kwanza kwa Simba kupeleka mechi yake ya kimataifa kwenye uwanja huo tangu kuanza kutumika uwanja mpya.

Msemaji wa Simba, Cliford Ndimbo alisema uamuzi wa kupeleka wkenye uwanja huo ni maamuzi ya Simba kwani wangeweza pia kuwapeleka kwenye Uwanja wa CCM Kirumba ama Sheikh Amri Abeid.

Simba itapambana na timu hiyo ya Comoro, mchezo utakaofanyika Jumapili ikiwa ni mechi ya marudiano baada ya ile ya kwanza kutoka suluhu wiki mbili zilizopita kwenye mji wa Moroni.

Akizungumzia viingilio katika mchezo huo, Ndimbo alisema kiingilio cha juu kitakuwa Sh20,000 na kile cha chini ni sh3,000.
Akielezea mtawanyiko wa viingilio vya mchezo huo utakaoanza saa 10.00 jioni, sh20,000 itakuwa kwa ajili ya VIP wakati sh15,000 ni kwa jukwaa kuu viti vya kawaida. Sh8,000 ni kwa watakaoingia jukwaa la kijani na mzunguko sh3,000.

Ndimbo alisema kuwa maandalizi ya mchezo huo yamekamilika na waamuzi wa mchezo huo kutoka Rwanda, wanatarajiwa kuwasili leo wakati kamishna wa mchezo anatoka Zambia.

Alisema wachezaji wote wapo katika hali nzuri na beki wao Joseph Owino amewasili na jana amekwishaanza mazoezi na wenzake na kama kocha wao, Patrick Phiri akimuona yuko fiti basi anaweza kumpanga katika mchezo huo wa keshokutwa.

Alisema Emmanuel Okwi na Rashid Gumbo waliokuwa majeruhi, wamekwishaanza mazoezi mepesi isipokuwa Hilal Echessa ambaye anasumbuliwa na nyonga na sasa hupo nchini Kenya kwani anatakiwa kupumzika kwa wiki wakati Niko Nyagawa siku tano.

Ndimbo aliwataka wanachama kujitokeza kwa wingi kuja kuishangilia timu yao kwa ajili ya kuwapa hamasa vijana wao kwa kuwa wanaiwakilisha Tanzania na endapo watafanikiwa kuwafunga Elan watakutana na TP Mazembe ya DR Congo.

Makamu Mwenyekiti wa Simba, Godfrey Nyanga 'Kaburu' alisema kuwa timu hiyo ilitarajiwa kuwasili jana baada ya juzi kushindwa kufika kutokana na kukosa ndege ya kuja Dar es Salaam kutoka Johannesburg, Afrika Kusini.

Alisema kuwa timu hiyo inakuja na msarafa wa watu 30 pia wataambatana na washangilia wao.
Simba inahitaji ushindi wa aina yoyote, lakini sare yoyote ya mabao, itakuwa mbaya kwa Simba kwani wageni hao watakuwa na faida ya bao la ugenini.

Wakati huo huo, Shirikisho la Soka Afrika CAF, limeahirisha mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika zilizokuwa zichezwe leo kwa sababu mbalimbali ikiwemo JCAT (Cote d' Ivoire) vs. ASFAN (Niger), Astres Douala (Cameroon) vs US Bitam (Gabon) na Djoliba (Mali) iliyokuwa ic heze na East End Lions (S.Leone).

Pia mechi kati ya ASC Cansado (Mauritania) vs. Asec Mimosas (Cote d'Ivoire), Club Africain (Tunisia) vs. APR FC (Rwanda), Aduana Stars (Ghana) vs. WAC (Morocco) , Coton Sport (Cameroon) vs. Vital'O (Burundi) na Zamalek (Misri) vs Ulinzi (Kenya).
 
Yanga waifuata Dedebit usiku wa manane
Thursday, 10 February 2011 21:05

Jessca Nangawe
WACHEZAJI na viongozi wa Yanga, wameondoka usiku wa manane wa kuamkia jana kwenda Addis Ababa, Ethiopia tayari kwa mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika, dhidi ya Dedebit ya huko.

Mchezo huo utakaokuwa wa marudiano, Yanga inatakiwa kushinda ama kutoka sare ya mabao zaidi ya manne, kwani chini ya hapo, Dedebit watakuwa na faida ya kuwa na mabao ya ugenini. Katika mchezo wa kwanza, timu hizo zilifungana mabao 4-4.

Wachezaji wa timu hiyo, wameondoka kwa matunaini makubwa ya kuhakikisha inashinda ugenini chini ya kocha wa mpya, Sam Timbe na msaidizi wake, Fred Felix Minziro.

Pamoja na kuwa na kibarua cha ziada kuivusha timu hiyo, nahodha wa timu hiyo, Shadrack Nsajigwa alisema kwa niaba ya wenzake kuwa wana matumaini makubwa licha ya kudai wanakwenda kukutana na timu ngumu ambayo wanaifahamu kwa kiasi kikubwa na wanahitaji kupambana kwa kila hali ili kurudi na ushindi.

"Tumekutana na Dedebit katika mchezo wa kwanza, tumeona uwezo wao na mbaya zaidi tulitoka sare hivyo tunahitaji kukaza buti zaidi katika mchezo huu ili tushinde, tunaamini kabisa matokeo haya ndiyo yatatupa sisi," alisema Nsajigwa.

Kwa upande wa beki wa timu hiyo, Nadir Haroub 'Cannavaro' alisema watahakikisha wanapigana vema na kuongeza juhudi pamoja na maarifa ili kushinda kwani hiyo ni nafasi ya mwisho kwao katika kusaka tiketi ya kuwania Kombe la Shirikisho Afrika mwaka huu.

Naye kiungo wa timu hiyo, Godfrey Bony alisema kutakuwepo na ushindani mkubwa katika mchezo huo kutokana na wao kuwa ugenini na awali kukubali sare hivyo anategemea kuwepo na kazi kubwa ya kufanya ili waweze kushinda .

"Unajua bora tungeshinda ,nyumbani tungeweza kuwa na matumaini makubwa, lakini tunajipa moyo kutokana na kuwa mwamuzi wa mwisho wa mchezo ni filimbi ya mwisho...na tunaamini kwa kudra za Mungu tutashinda," alisema Bonny.

Yanga imeondoka ikiwa na jumla ya wachezaji 26 ambapo katika mchezo wa awali ilikubali sare ya magoli 4-4 nyumbani dhidi ya Dedebit ya Ethiopia na endepo itavuka hatua ya kwanza itakutana na Haras el-Hodood yenye maskani yake, Alexandria nchini Misri .
 
Kituo cha Marekani kuwanoa viongozi wa sanaa Tanzania


na Mwandishi wetu, Zanzibar


amka2.gif
KITUO cha Sanaa za Maonyesho cha Kennedy Center, ‘Kennedy Center for the Performing Arts' cha nchini Marekani kimeandaa semina ya mafunzo kwa ajili ya viongozi wa sekta ya sanaa na utamaduni yatakayofanyika Makumbusho ya Kasri la Wananchi mjini hapa.
Semina hiyo itakuwa chini ya uenyeji wa Kheri Yussuf, kiongozi wa sanaa Mtanzania ambaye anashiriki katika mradi wa mafunzo ya Uongozi wa Sanaa katika kituo cha Kennedy Center's mjini Washington, ambacho hutoa elimu kwa zaidi ya wadau 40 kutoka takribani nchi 30.
Kwa mujibu Yussuf, Rais wa Kennedy Center, Michael Kaiser, ataongoza semina hiyo ya siku moja, ambayo inatarajiwa kuwashirikisha wadau wa sanaa na utamaduni kutoka taasisi za serikali, pamoja na zile za binafsi kutoka sehemu zote za Tanzania.
Alisema, mada zitakazojadiliwa katika semina hiyo ni pamoja na mikakati yenye upeo ya kitaasisi pamoja na kisanii, mbinu za kutangaza miradi ya sanaa pamoja na taasisi zake, utafutaji rasilimali kwa maendeleo ya sanaa na mengineyo yanayolenga ujenzi na ustawishaji wa taasisi za sanaa.
"Nimejifunza mengi kutoka kwa mwanafunzi wangu wa Tanzania kuhusiana na utajiri wa harakati za sanaa na utamaduni katika nchi yake, lakini pia kuhusu ukosefu wa fursa za mafunzo ya uongozi wa Sanaa nchini kwao," alisema Kaiser na kuongeza:
"Natazamia sana kujadili na wadau wenzangu mada zinazohusu mbinu za uongozi thabiti wa sanaa na utamaduni, ikiwa pamoja na kujenga uhusiano wa kudumu pamoja nao."
Mratibu wa semina hiyo kwa hapa nchini, Kheri Yussuf, naye alitoa msisitizo wa umuhimu wa tukio hilo kwa kuwa, viongozi wa sekta ya sanaa watapata fursa adhimu ya kujifunza mbinu madhubuti za kuendeleza sekta hiyo kutoka kwa mtaalamu wa sanaa mashuhuri aliyepata mafanikio makubwa nchini Marekani.
Yussuf aliongeza kuwa isitoshe semina hiyo itakuwa ni sehemu ya ziara ya nchi tano za Afrika atakazozitembelea Kaiser, zikiwa ni pamoja na Tanzania, Kenya, Uganda, Zimbabwe na Nigeria.
Alisema, kwa kushirikiana na taasisi katika nchi wenyeji na chini ya usimamizi wa Kennedy Center, Kaiser amewahi kuendesha mafunzo kama hayo nchini Argentina, China, Jamhuri ya Czech, Misri, Ufaransa, Israel, Hungary, Mexico, Palestina, Pakistan, Ureno, Romania, Afrika Kusini na Uingereza, kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa viongozi wa sasa na wajao.
Michael Kaiser amekuwa Rais wa Kennedy Center tangu 2001, wakati wa kipindi hicho, ameongeza wigo wa utoaji elimu na maonyesho ya kazi za sanaa kwa niaba ya shirika hilo la kitaifa, ndani ya Marekani pamoja na duniani kote.



h.sep3.gif

 
Yanga waifuata Dedebit usiku wa manane
Thursday, 10 February 2011 21:05

Jessca Nangawe
WACHEZAJI na viongozi wa Yanga, wameondoka usiku wa manane wa kuamkia jana kwenda Addis Ababa, Ethiopia tayari kwa mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika, dhidi ya Dedebit ya huko.

Mchezo huo utakaokuwa wa marudiano, Yanga inatakiwa kushinda ama kutoka sare ya mabao zaidi ya manne, kwani chini ya hapo, Dedebit watakuwa na faida ya kuwa na mabao ya ugenini. Katika mchezo wa kwanza, timu hizo zilifungana mabao 4-4.

Wachezaji wa timu hiyo, wameondoka kwa matunaini makubwa ya kuhakikisha inashinda ugenini chini ya kocha wa mpya, Sam Timbe na msaidizi wake, Fred Felix Minziro.

Pamoja na kuwa na kibarua cha ziada kuivusha timu hiyo, nahodha wa timu hiyo, Shadrack Nsajigwa alisema kwa niaba ya wenzake kuwa wana matumaini makubwa licha ya kudai wanakwenda kukutana na timu ngumu ambayo wanaifahamu kwa kiasi kikubwa na wanahitaji kupambana kwa kila hali ili kurudi na ushindi.

"Tumekutana na Dedebit katika mchezo wa kwanza, tumeona uwezo wao na mbaya zaidi tulitoka sare hivyo tunahitaji kukaza buti zaidi katika mchezo huu ili tushinde, tunaamini kabisa matokeo haya ndiyo yatatupa sisi," alisema Nsajigwa.

Kwa upande wa beki wa timu hiyo, Nadir Haroub 'Cannavaro' alisema watahakikisha wanapigana vema na kuongeza juhudi pamoja na maarifa ili kushinda kwani hiyo ni nafasi ya mwisho kwao katika kusaka tiketi ya kuwania Kombe la Shirikisho Afrika mwaka huu.

Naye kiungo wa timu hiyo, Godfrey Bony alisema kutakuwepo na ushindani mkubwa katika mchezo huo kutokana na wao kuwa ugenini na awali kukubali sare hivyo anategemea kuwepo na kazi kubwa ya kufanya ili waweze kushinda .

"Unajua bora tungeshinda ,nyumbani tungeweza kuwa na matumaini makubwa, lakini tunajipa moyo kutokana na kuwa mwamuzi wa mwisho wa mchezo ni filimbi ya mwisho...na tunaamini kwa kudra za Mungu tutashinda," alisema Bonny.

Yanga imeondoka ikiwa na jumla ya wachezaji 26 ambapo katika mchezo wa awali ilikubali sare ya magoli 4-4 nyumbani dhidi ya Dedebit ya Ethiopia na endepo itavuka hatua ya kwanza itakutana na Haras el-Hodood yenye maskani yake, Alexandria nchini Misri .

 
Azan, Mtemvu waongeza hamasa mkesha wa Valentine


na Abdallah Menssah


amka2.gif
ONYESHO maalumu la mabingwa wa mipasho, Jahazi Modern Taarab la mkesha wa Valentine's Day limeonekana kugusa hisia za wengi, hasa baada ya wabunge Idd Azan wa Kinondoni na Abbas Mtemvu wa Temeke kusisitiza kutolikosa.
Onyesho hilo limepangwa kurindima Februari 14, kwenye ukumbi wa Travertine Hotel, Magomeni Mikumi, jijini Dar es Salaam, kuazia majira ya saa 3:30 na kuendelea hadi majogoo.
Mashabiki mbalimbali wa mipasho waliozungumza na mwandishi wa habari hizi jijini Dar es Salaam jana, walisema kuwa, ahadi za wabunge hao, Mtemvu na Azan kuhudhuria onyesho hilo, zimezidisha msisimko wa hali ya juu.
Walisema, mbali ya kutaka kumshuhudia Mzee Yussuf ‘Mfalme' aliyezushiwa kifo akiimba laivu, mashabiki wengi wamepanga kujitokeza kwenye onyesho hilo ili kuburudika sambamba na wabunge wao hao.
"Naamini onyesho hilo litafurika mashabiki, kwa sababu kila mmoja amepania kwenda kuweka historia ya kusakata rusha roho na mbunge wake," alisema shabiki mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Juma Rashid.
Rashid alisema kuwa mashabiki wengi wamekuwa wakiikosa fursa kama hiyo ya kujumuika pamoja na wabunge wao kwenye burudani, hivyo wataitumia nafasi hiyo kumaliza kiu yao.
Shabiki mwingine aliyefahamika kwa jina la Asha Salum, alipendekeza kuimarishwa kwa ulinzi katika onyesho hilo, kutokana na hofu ya kuwapo kwa matendo ya uhalifu yatakayozuka kutokana na watu kuwa wengi.
Naye, Mkurugenzi Mkuu wa Jahazi Modern, Mzee Yussuf ‘Mfalme' alisema onyesho hilo litatoa fursa pekee kwa mashabiki watakaohudhuria, kufaidi vilivyo uhondo waliowaandalia kutokana na kupanga kutumbuiza hadi alfajiri.
"Tutatumbuiza bila kupumzika kuanzia mwanzo hadi mwisho, atakayekuwa bado hajatosheka, tunamkaribisha kwenye onyesho letu la kesho yake, kwenye ukumbi wa Buliaga, Temeke, jijini Dar es Salaam," alisema Yussuf.
 
Kuziona Simba, Elan de Mitsoudje 3,000/-


Na Zahoro Mlanzi

KLABU ya Simba, imetangaza viingilio vya mchezo wao wa marudiano wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Elan de Mitsoudje kutoka Komoro kwamba

cha chini ni sh. 3,000 na cha juu sh. 20,000.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Jumapili kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, lakini licha ya kutangaza viingilio hivyo, wapinzani wao ujio wao umekuwa na mashaka kutokana na juzi asubuhi kukosa usafiri wa kuja Dar es Salaam.


Akizungumza Makao Makuu ya klabu hiyo Mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam jana, Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo, Geofrey Nyange 'Kaburu', alisema wameamua kupanga viingilio hivyo ili wanachama wao na mashabiki wa soka wajitokeze kwa wingi kuishangilia timu hiyo ambayo inaiwakilisha nchi katika mashindano hayo.


"Viingilio ni vya kawaida kabisa ambapo Viti Maalum ni sh. 20,000, Jukwaa Kuu ni sh. 15,000, Jukwaa la kijani ni sh. 8,000 na mzunguko ni sh. 3,000 na kwamba mchezo huo utachezeshwa na waamuzi kutoka Rwanda na Zambia ambao kesho (leo) watatua nchini," alisema Kaburu.


Alisema wamechagua kutumia uwanja huo ili kuepusha gharama kwa kutumia Uwanja wa Taifa, kwani una makato makubwa, hivyo wakitumia uwanja huo waliouchagua utaweza kuepusha gharama hizo.


Akizungumzia ujio wa wapinzani wao, Kaburu alisema walipokea simu juzi kutoka Comoro ikiwaarifu kwamba, wangekuja siku hiyo, lakini ndege waliyopaswa kuja nayo, ilikwama Afika Kusini, hivyo walitegemea ndege ya jana mchana.


Alisema endapo kama ndege hiyo wataikosa itabidi wasubiri ndege nyingine kutoka Mombasa ambayo itatua nchini humo leo na ikishindikana kabisa watalazimika kutumia usafiri wa barabara wakiwa na msafara wa watu 30 na watakuja na mashabiki wao.


Mbali na hilo, aliongeza kwamba, kwa mujibu wa benchi la ufundi la timu hiyo, kikosi chao kinaendelea na mazoezi ambapo kimeongezwa nguvu na wachezaji Emmanuel Okwi na Rashid Gumbo, ambao walikuwa majeruhi, lakini kwa sasa wameanza mazoezi.


Alisema Hilary Echessa atakuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili baada ya kuumia kifundo cha mguu na pia alitoa tahadhari kwa wanaouza jezi zao kinyume na taratibu na kwamba, watawachukulia hatua za kisheria.




0 Maoni:
 
Mechi timu za Z'bar zaahirishwa
Thursday, 10 February 2011 21:04

Imani Makongoro
MECHI za wawakilishi wa Zanzibar katika Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika, Zanzibar Ocean View na KMKM zimeahirishwa kutokana na wapinzani wao kuwa na wachezaji wengi kwenye timu ya Taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

Timu hizo zilitakiwa kuwa dimbani mwishoni mwa wiki hii kupambana na timu ya AS Vita kwa upande wa Ocean View na DC Motema Pembe dhidi ya KMKM.

Katibu Mkuu Msaidizi wa Chama Cha Soka Cha Zanzibar (ZFA), Masoud Atai aliiambia Mwananchi kwa simu jana kuwa wamepokea taarifa kutoka Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuhusiana na kuahirishwa kwa mechi hizo na kuwapa nafasi ya wawakilishi wao kujiandaa zaidi.

Atai alisema kuwa matokeo ya mechi za awali hayakuwa mazuri kwa timu zao kwani DC Motema Pembe iliishinda KMKM mabao 4-0 huku Ocean View ikitoka sare ya bao 1-1 na AS Vita.

"Naamini kwa muda ambao CAF imetuongezea, timu zetu zitajiandaa kwa kina na kuibuka washindi katika mechi hizo, hivyo nawaomba wazingatie muda huu na kufanya mazoezi zaidi," alisema Atai.

Alisema kuwa timu za DC Motema Pembe na As Vita zinawachezaji kuanzia watatu katika mashindano hayo ya CHAN na kwa mujibu wa sheria za CAF, mechi zao zimehairishwa mpaka mwishoni mwa mwezi hyuu.

Kwa upande wa Kombe la Shirikisho ni : AS Real (Mali) vs. Tevragh Zeina (Mauritanie), Sahel SC (Niger) vs. DYTO (Togo), Ashantigold (Ghana) vs. Sewe Sport (C.Ivoire), Africa Sport (C.Ivoire) vs. Sequence (Guinea) na Inter Stars (Burundi) vs. Missile FCA (Gabon).

 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom