Michezo magazetini leo...

Michezo magazetini leo...

Status
Not open for further replies.
Liverpool accepts Babel bid


storypage_APlogo_01.png









Updated Jan 18, 2011 5:29 PM ET
Liverpool has accepted a bid for winger Ryan Babel from Bundesliga club Hoffenheim.

TRANSFER SPECIAL

Keep up with all the biggest moves around the globe with our 2011 January transfer gallery.

The Premier League club says the Netherlands international now has permission to discuss personal terms, having already traveled to Germany.
German newspaper Bild bas quoted Hoffenheim's main financial backer, software billionaire Dietmar Hopp, as saying that Hoffenheim was in an ''emergency situation.'' Hoffenheim is set to lose Senegal striker Demba Ba while Nigeria forward Chinedu Obasi has a long-term injury.
Hopp says ''Babel was one of the preferred candidates who our manager, Ernst Tanner, was most convinced by.''
Babel was fined 10,000 pounds ($16,000) Monday by England's Football Association over Twitter postings that criticized a referee.
 
Sevilla advances to Copa semifinals


storypage_APlogo_01.png







2 comments »

Updated Jan 18, 2011 6:56 PM ET
SEVILLE, Spain (AP)

Sevilla reached the Copa del Rey semifinals for the fourth time in five seasons after beating Villarreal 3-0 on Tuesday and 6-3 on aggregate.
Villarreal needed victory at the Sanchez Pizjuan stadium but saw its hopes deflated from the 10th minute following Renato's opener.

Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats

Villarreal created opportunities but the holders put the outcome beyond doubt with goals from Frederic Kanoute and Alexis Ruano within five minutes of the restart.
Sevilla plays either Real Madrid or Atletico Madrid next, with Madrid leading 3-1 after the first leg going into Thursday's match at the Vicente Calderon stadium.
Sevilla defender Sergio Sanchez returned to action for the first time since undergoing heart surgery to correct a condition that sidelined the 24-year-old defender a year ago.
Sevilla is 10th in the league, while Villarreal is behind only Barcelona and Madrid in the standings. However, the Andalucians remain unbeaten in cup competition.
Renato ensured Alvaro Negredo's goalbound shot went over the line as Sevilla made the most of a deflected pass that struck a Villarreal defender.
Jozy Altidore's high shot in the 16th minute was one of the visitor's few chances early on before it found its rhythm. Teammate Gonzalo Rodriguez came closer with a header onto the crossbar in the 26th, while Kanoute nodded a dangerous cross wide at the other end in the 33rd.

The home of the best LIVE soccer and rugby awaits at FoxSoccer.tv -- don't miss a second of the action.

Ruben "Cani" Gracia then curled a shot wide of the far post as Villarreal looked for an equalizer and Altidore led a breakaway in the 38th minute, with the United States striker feeding Giuseppe Rossi, whose shot was saved by Javi Varas.
Kanoute began to put the contest out of Villarreal's reach, though, in the 47th minute when the Mali striker easily reached Ndri Romaric's corner to head home.
Alexis, who scored in the first leg, found the net again three minutes later when he pounced on another corner from Romaric.
After a weak header from Altidore in the 55th, the home side controlled the game and kept alive its hopes of a third domestic cup since 2007.
Sanchez played well on his return to the game. The Spanish player hadn't featured since being diagnosed with a heart condition in early January 2010.
Another Sevilla player, Antonio Puerta, collapsed during a 2007 league game and died three days later following a prolonged cardiac arrest at age 22. Espanyol captain Daniel Jarque died of heart failure in 2009 in his team's hotel in Italy. He was 26.
Spanish league leader Barcelona is 5-0 up before Wednesday's second leg at second division leader Real Betis, while Almeria has a 1-0 advantage over Deportivo La Coruna
 
Guardiola pleads for patience


storypage_APlogo_01.png









Updated Jan 18, 2011 11:55 AM ET
BARCELONA, Spain (AP)

Barcelona coach Pep Guardiola has celebrated his 40th birthday by pleading for patience over calls for him to sign a contract extension.
Guardiola's deal is up at the end of the season and he says on Tuesday he wants ''time to think before I re-sign - there are a lot of things to talk about.''
Guardiola says the situation will be resolved and adds, ''I will never leave the club in an awkward position, they already know that.''
Two-time defending Spanish champion Barcelona is unbeaten in a club record 28 games and leads Real Madrid by four points halfway through the season.
Under Guardiola, Barcelona has won eight major trophies in two seasons including a treble of league, cup and Champions League trophies in 2008-09.
 
Betis keeper fears Barca beating




6 comments »

Updated Jan 18, 2011 12:15 PM ET
Real Betis goalkeeper Casto Espinosa fears his side could be handed another spanking by Barcelona in their Copa del Rey quarter-final clash.
The Primera Liga leaders ran out 5-0 winners in the opening match at the Nou Camp last week, with world player of the year Lionel Messi hitting a hat-trick.
Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats

Messi is expected to miss the second leg on Wednesday through illness, but Casto has already resigned himself to the fact Segunda Division outfit Betis will go no further in the competition.
"It will be very difficult to come back and not because of the 5-0 deficit, but because our opponents never get tired of winning," he said.
"I am sure Barca will come here to compete and not to relax.
"We have gone as far as we can in the cup and our goal now is to focus on the league and climb the standings there."
Defending champions Sevilla take on Villarreal on Tuesday night with the tie evenly poised at 3-3.
Villarreal have had the better season to date so far in the league, sitting third in the table seven places higher than their opponents.
Midfielder Borja Valero is hoping they can reproduce that form in the cup.
"It will not be an easy match but we have options," he said.
"We will have the crowd against us in Seville but this team can do well on any pitch as we've been finding the goal lately with ease."
The winner of that clash will face either Atletico Madrid or Real Madrid in the last four.
Real hold a 3-1 advantage from the opening leg while Atletico's hopes of overturning their city rivals have been hit by an injury to striker Sergio Aguero, which will keep him on the sidelines for two weeks.
The other quarter-final return leg sees Almeria travel to Deportivo La Coruna tomorrow night holding a narrow 1-0 lead from the opening leg.
 
Atletico blanks Mallorca to climb


storypage_APlogo_01.png







5 comments »

Updated Jan 17, 2011 6:18 PM ET
MADRID (AP)

Atletico Madrid downed Mallorca 3-0 on Monday to move into the Europa League positions at the midway point in the Spanish league season.
The game promised to be a tough test for Atletico without injured forward Sergio Aguero and facing a Mallorca that had already won at Sevilla and Valencia and earned a rare point at Barcelona.

Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats

But after resisting the visitors' early push, defender Juan Valera and Diego Forlan scored for Atletico before halftime and Jose Antonio Reyes added the third in injury time.
Atletico goalkeeper David de Gea saved Pierre Webo's penalty in the 70th after captain Antonio Lopez had been sent off for pulling down Mallorca winger Emilio Nsue in the area with only the 'keeper to beat.
''The entire team played a great game, and with a man less,'' said De Gea.
Atletico's first win of 2011 lifted the team into sixth place on 30 points.
Mallorca looked to be the hungrier team from the start following shots by Victor Casadesus and Webo, but Atletico struck first when Valera rose above the defense at the near post to head home Reyes' corner in the 13th minute.
Atletico's major winter signing, Brazilian midfielder Elias, combined well with his new teammates on debut and tested goalkeeper Dudu Aouate with a well-struck shot from the edge of the area in the 24th.
Forlan, who had not scored at Vicente Calderon stadium since the 11th round, hit his seventh goal of the season in the 34th. Former Arsenal playmaker Fran Merida caught the Mallorca defense trying to spring an offside trap and set up the Uruguay striker, who slotted the ball past 'keeper Dudu Aouate.

The home of the best LIVE soccer and rugby awaits at FoxSoccer.tv -- don't miss a second of the action.

Atletico's other winter reinforcement, Juanfran Torres, set up Reyes to cap the victory in the fourth minute of injury time.
On Thursday, Atletico will look to overcome a 3-1 deficit in the second leg of the Copa del Rey quarterfinals against crosstown rival Real Madrid.
''We are going to play to the death because we know that with two goals we are there,'' said De Gea.
Mallorca dropped to ninth with 27 points after its first loss in three weeks.
Barcelona leads the standings with a league-record 52 points at the midway point after beating Malaga 4-1. Real Madrid fell four points back after drawing 1-1 with last-place Almeria. Villarreal is third with 39, followed by Valencia on 37 and Espanyol on 34.
 
Maandalizi Michezo ya Afrika BMT yapanga kuita wadau
Tuesday, 18 January 2011 21:22

Imani Makongoro

BARAZA la Michezo la Tanzania (BMT) limepanga kukutana na viongozi wa vyama vya Michezo hapa nchini hivi karibuni kujadili juu ya maandalizi ya ushiriki wa wanamichezo wao katika Michezo ya Afrika (All Africa Game).

Katika Michezo hiyo Tanzania yenye historia ya kupata medali 22 tangu kuanza kwake mwaka 1965, itawakilishwa na wanamichezo mbalimbali kama wanariadha, waogeleaji,mabondia, wachezaji wa mpira wa meza, soka na wanamichezo wa michezo mingine mingi inayochezwa hapa nchini.

Katibu Mkuu wa BMT, Henry Rihaya, aliiambia Mwananchi kuwa wao kama baraza lenye dhamana ya kusimamia michezo hapa nchini wamepanga kukutana na viongozi wa vyama vyote kwa ajili ya kujua maandalizi ya wanamichezo wao yanakwenda vipi.

Rihaya alisema kuwa timu za Tanzania zinaposhiriki michezo ya kimataifa huwa zinabeba dhamana ya Watanzania wote kwani wanapofanya vizuri ni heshima ya nchi na wanapofanya vibaya aibu ni ya Tanzania, hivyo ili kuweka heshima wao BMT watakutana na vyama hivyo ili kuweka mikakati sambamba na kutathimi maandalizi ya vyama hivyo katika mashindano hayo.

Michezo ya Afrika hufanyika kila baada ya miaka minne, ambapo suala la misaada katika michezo hii ni tofauti kama inavyotolewa katika michezo ya Jumuiya ya Madola na Olimpiki.

Katika michezo ya Jumuiya ya Madola hutolewa fungu na waandaaji wa michezo ya Jumuiya ya madola wakati katika michezo ya Olimpiki hutolewa fungu na IOC,lakini katika michezo hii ya Afrika kila nchi inajitegemea.

Ikumbukwe hivi karibuni vyama vyote vya michezo hapa nchini vimekuwa na tatizo la wadhamini hali iliyosababisha vyama hivyo kushiriki mashindano mbalimbali ya kitaifa na kimataifa ili mradi wahiriki bila kuwa na maandalizi ya kutosha kwa ajili ya kushiriki mashindano.

Hivi karibuni Kamati ya Olimpiki ilivitaka vyama kuanza harakati za kutafuta wadhamini kwa ajili ya maandalizi ya michezo hiyo, huku wakisema kuwa TOC haina fedha kwa ajili ya maandalizi ingawa wamepeleka bajeti serikalini.

 
Real's Mourinho in confident mood




116 comments »

Updated Jan 17, 2011 7:32 AM ET
Jose Mourinho is confident Real Madrid can still win the Primera Division, despite falling four points behind Barcelona with a draw at Almeria.
Although they have lost just once this season - a 5-0 drubbing against Barca - Madrid's hopes of wrestling the league back from the Catalans are now out of their own hands at the halfway point of the season.

Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats Scores | Fixtures | Table | Stats

But Mourinho insists that all is still to play for.
"This draw is two points lost, but there is the entire second half of the season to be played," he said.
"I think we have done well so far. We have won 15 matches, lost one and drawn two, but it isn't enough to be champions. We hope to improve in the second half of the season."
On the 1-1 draw with the league's bottom side, which Madrid nearly won when a 94th-minute free-kick from Cristiano Ronaldo thumped the bar, the coach added: "We didn't play at the rhythm we are used to during the first half.
"Almeria defended very well, were very organized and played up to their potential. Hats off to them for earning a very important point."
"Under normal conditions, if referees do their job with the same criteria for every team, La Liga is anybody's. We are halfway through the season and we can make up this deficit."
 
Mtagwa apelekwa Iringa
Tuesday, 18 January 2011 21:16 Sweetbert Lukonge
HATIMAYE nahodha wa zamani wa Taifa Stars, Jellah Mtagwa anatarajia kuondoka leo jijini Dar es Salaam kwenda mkoani Iringa kwa ajili ya kupatiwa matibabu ya ugonjwa wake wa kiharusi unaomsumbua tangu 2006.

Akizungumza na Mwananchi jana Katibu msaidizi wa Chama cha Wachezaji Soka Tanzania (Sputanza), Abeid Kasabalala alisema kuwa baada ya gazeti hili kuandika habari juu ya tatizo linalomsumbua Mtagwa walijitokeza wasamaria wema mbalimbali kwa lengo la kumsaidia Mtagwa kimatibabu.

"Tunashukuru Mungu hatimaye mwanachama wetu kesho (leo) anatarajia kwenda Iringa kwa ajili ya matibabu.

"Baada ya taarifa za tatizo lake kuandikwa gazetini wadau mbalimbali wa michezo walijitokeza kumsaidia aweze kurudi katika hali yake ya kawaida," alisema Kasabalala.

"Miongoni mwao yuko mdau mmoja kutoka mkoani Iringa ambaye aliwasiliana na uongozi wa Sputanza kwa lengo la kumsaidia kwa kumpeleka kwa Mganga wa jadi ambaye alimponyesha ndugu yake mdau huyo aliyewakuwa akisumbuliwa na tatizo kama hilo linalomsumbua Mtagwa,"alisema Kasabalala.

Alisema katika kipindi chote Mtagwa atakachokuwa mkoani Iringa atakuwa akipewa matibabu ya kawaida kutoka kwa mganga huyo anayepatikana nje kidogo ya mji huo na gharama zote za matibabu pamoja na fedha za kujikimu atakuwa akigharamia mdau huyo.

Katika hatua nyingine Kasabalala alisema kuwa mbali na mdau huyo pia uongozi wa Sputanza unaendelea kupokea maombi mbalimbali kutoka kwa wadau na wapenzi wa soka nchini wakiwemo wachungaji wa madhehebu ya dini wenye lengo la kumsaidia.

Mtagwa ni miongoni mwa wachezaji walioiwakilisha Tanzania kwa mara ya kwanza katika fainali za Afrika zilizofanyika Nigeria mwaka 1980 na alikuwa nahodha wa Taifa Stars.
 
Spanish Football Results


storypage_APlogo_01.png




PRINT RSS



Updated Jan 18, 2011 5:54 PM ET
MADRID (AP)

Results from the quarterfinals of Spain's Copa del Rey (home teams listed first):
Second LegSevilla 3, Villarreal 0 (Sevilla advances 6-3 on aggregate)
Wednesday's GamesDeportivo La Coruna vs. Almeria (Almeria leads 1-0)
Real Betis vs. Barcelona (Barcelona leads 5-0)
Thursday's GamesAtletico Madrid vs. Real Madrid (Real Madrid leads 3-1)
 
Samba la kibrazil laitesa Yanga


*Mchezo wao na Simba bureee

Na Zahoro Mlanzi

TIMU ya Atletico Paranaense kutoka Brazil, imeifundisha samba timu ya Yanga kwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-2, katika mchezo wa
kirafiki wa kimataifa uliopigwa jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Timu hiyo ambayo ilichezesha wachezaji wengi vijana wenye wastani wa umri wa miaka 20, ilitakata kwa jinsi ilivyocheza ambapo ilimiliki mpira na kupiga pasi zenye uhakika.

Katika mchezo huo, Yanga ilianza kwa kupiga pasi nyingi ndani ya dakika 10 za kwanza lakini ilijikuta ikishtukizwa kwa shambulizi la nguvu dakika 13 ambalo lilizaa matunda kwa bao lililofungwa na Bruno Costa kwa shuti.

Baada ya kufungwa bao hilo Yanga ilitulia na kufanya shambulizi dakika ya 24 ambapo Davies Mwape nusura aisawazishie Yanga bao baada ya kupiga shuti lililotoka pembeni ya goli kutokana na krosi ya Nsa Job.

Timu hizo ziliendelea kushambuliana kwa zamu ambapo dakika ya 31, Mwape aliisawazishia Yanga, baada ya beki Salum Telela kufanya kazi ya ziada kupanda mbele na kupiga krosi iliyomkuta mfungaji.

Kipindi cha kilianza kwa kasi ambapo dakika tatu tangu mchezo uanze, Atletico walifunga bao la pili lililofungwa na Jenison Brito kwa shuti baada ya wachezaji wa timu hiyo kuonana vizuri.

Atletico ikiwa bado ina furaha ya kufunga bao la pili, wakajifunga wenyewe kutokana na shuti lililopigwa na Telela kumzidi nguvu Costa na kujikuta akiiutumbukiza mpira wavuni akiwa katika harakati za kuokoa.

Yanga iliendelea kuliandama lango la Atletico na dakika ya 80, Mwape nusura aifungie Yanga bao la tatu baada ya kupiga shuti nje ya eneo la hatari lakini kipa aliliokoa na kuwa kona tasa.

Zikiwa zimebaki dakika 10 kabla ya kipyenga cha mwisho kupulizwa, Jenision aliifungia Atletico bao la tatu akiunganisha krosi ya Edgar Junio ambaye alimpiga boto Godfrey Bonny na kupiga krosi iliyomkuta mfungaji.

Wakati huo huo, waandaaji wa mchezo huo wameamua kuondoa viingilio vya mchezo wa kesho kati ya Atletico na Simba ambapo sasa mchezo huo utakuwa bure.

Akizungumza mara baada ya kumalizika kwa mchezo huo, Rais wa Kampuni ya Oil & Industries, Rahma Al-Kharoosi alisema wameamua kuondoa viingilio vilivyokuwepo ili mashabiki wajitokeze kwa wingi kupata burudani.

Pia aliongeza, endapo Simba itaifunga timu hiyo, hakuna shaka ataigharamia kwenda nchini Brazil kurudiana nao.Viingilio vilikuwa ni cha juu sh. 200,000 na cha chini sh. 5,000.
 
Nchunga apiga 'stop' mkutano Yanga


Na Elizabeth Mayemba

MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga, Lloyd Nchunga ameupiga 'stop' mkutano ulioutishwa na wanachama wake kesho kwa madai ya kuwa na maandalizi ya Ligi Kuu mzunguko wa pili.Akizungumza Dar es Salaam jana Nchunga alisema
, tayari ameshawaandikia barua wanachama hao ili waaghirishe mkutano huo mpaka utakapopangwa baadaye.

'Nimesikia kwamba kuna mkutano wa matawi, ambao ulitakiwa kufanyika kesho lakini nimewaandikia barua ili wauaghirishe kwa kuwa tupo katika maandalizi ya mechi zetu za Ligi Kuu, mzunguko wa pili na michuano ya kimataifa," alisema Nchunga.

Alisema pia kutakuwa na kikao cha Kamati ya Utendaji hivi karibuni, hivyo kutakuwa na mambo mengi ambayo yataingiliana na amewataka wanachama hao wawe na subira mpaka hapo baadaye.

Jana baadhi ya magazeti yalimripoti Mwenyekiti wa Matawi ya klabu hiyo, Mohammed Msumi akisema kuwa, kutakuwa na mkutano wa dharura ambao umeitishwa kujadili uteuzi wa mdhamini mpya wa klabu hiyo aliyetangazwa Abbas Mtemvu.

Ajenda nyingine ni kuhusu malumbano ya mara kwa mara baina ya Nchunga na Makamu wake, Davis Mosha.

Hata hivyo imedaiwa kuwa kuna baadhi ya wanachama wa klabu hiyo, wamepinga vikali mkutano huo kwa madai kwamba Mwenyekiti huyo wa matawi aliyeitisha hawamtambui kwa kuwa tayari alishamaliza muda wake.
 
Toto Africa yatamba kuifumua JKT Ruvu


Na Shufaa Lyimo

UONGOZI wa Klabu ya Toto Africa, umesema umejipanga vizuri kuhakikisha wanaifunga timu ya JKT Ruvu katika mchezo wa Ligi Kuu unaotarajiwa kupigwa Jumamosi katia Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.Akizungumza na mwandishi wa
habari hizi juzi kwa njia ya simu akiwa Mwanza Kocha Msaidizi wa timu hiyo, Choki Abedi alisema kikosi chake kinaendelea vizuri na hakuna majeruhi hata mmoja.

"Baada ya kuifunga Polisi Tanzania mabao 2-0, tulipumzika jidogo lakini kwa sasa tumeanza mazoezi huku, ili tuweze kufanya vizuri katika mechi inayofuata Jumamosi," Alisema Choki.

Katika mechi hiyo vijana wake wamepania kuwafunga wapinzani wao ili kujiweka katika mazingira mazuri kwenye msimamo wa ligi hiyo.Choki aliwataka mashabiki wao kuendeleza ushirikiano kwa kuwa bila wao, timu haiwezi kufanya vizuri uwanjani.

"Naomba mashabiki wetu wajitokeze kwa wingi siku hiyo, ili watushangilie pindi mashujaa wetu watakapokuwa wanapambana na wapinzani wetu," alisema.

 
Stars wapewa Shs 74m Tuesday, 18 January 2011 21:15

Imani Makongoro
LICHA ya kufanya vibaya katika mashindano ya Mto Nile timu ya Tanzania 'Taifa Stars' imeibuka na kitita cha Dola 50, 000 sawa (Shs 74milioni) kama kifuta jasho kwa kushiriki fainali hizo.

Habari zilizolifikia Mwananchi zilieleza kuwa fedha hizo zimetolewa na wenyeji wa Michuano hiyo Shirikisho la Soka la Misri ambao ndiyo waandaaji wa mashindano hayo kama kifuta jasho kwa Taifa Stars kwa ushiriki wao.

Mbali na Stars pia timu ya Burundi iliyoshika mkia katika mashindano hayo imeibuka na kitita cha dola 50,000 sawa na Sudan iliyojinyakulia kitita kama hicho kama kifuta jasho kwa kushiriki kwao katika mashindano hayo.

Katika mashindano hayo Tanzania ilitupa karata yake ya kwanza dhidi ya Misri na kuambulia kipigo cha mabao 5-1, mechi ya pili Stars ilichezea kichapo cha magoli 2-0 dhidi ya Sudan na kutoka sare ya goli 1-1 dhidi ya Burundi na Uganda.

Kwa matokeo hayo Stars ilishika nafasi ya sita kati ya timu saba zilizoshiriki huku nafasi ya kwanza ikibaki Misri iliyofuatiwa na Uganda iliyoshika nafasi ya pili huku Kenya wakiibuka washindi wa tatu. Taifa Stars inatarajiwa kuwasili jijini leo asubuhi.
 
Misri mabingwa Bonde la Mto Nile Tuesday, 18 January 2011 21:10

CAIRO, Misri

VINARA wa soka barani Afrika, Misri imeichapa Uganda mabao 3-1 na kutwaa kombe la mashindano ya Bonde la Mto Nile katika mechi ya fainali iliyochezwa mijini Cairo.

Alikuwa ni mshambuliaji Sayed Hamdi ambaye alifunga bao la kwanza katika dakika za mwishoni mwa kipindi cha kwanza, pia alifunga bao la pili mwanzoni mwa kipindi cha pili.

Katika dakika ya 82 mshambuliaji hatari wa Misri, Geddo aliipatia timu yake bao la tatu.

Uganda ilipata bao la kufutia machozi katika dakika za mwisho wa mchezo, bao ambalo lilifungwa na Ceasar Okuhti.

Wakati wa hatua za makundi za mashindano hayo Uganda ilifungwa na Miri bao 1-0.

Kabla ya kuchezwa mechi ya fainali, ilichezwa mechi kati ya DR Congo na Kenya ambapo DR Congo ilishinda bao 1-0 na kutwaa nafasi ya tatu katika mashindano hayo ya Bonde la Mto Nile.

Timu ya Tanzania ilijikuta ikikosa nafasi ya tano katika mashindano hayo baada ya kuchapwa mabao 2-0 na Sudan siku ya Jumapili.

Kwa kutwaa ubingwa wa kombe hilo, Misri imejinyakulia kitita cha dola 173,000, wakati Uganda kwa kushika nafasi ya pili imejinyakulia kitita cha dola 123,000, huku DR Congo iliyoshika nafasi ya tatu ikienda nyumbani na dola 104,000.

Mshindi wa nne na mshindi wa tano pia walipewa zawadi ya fedha.

Mashindano ya Bonde la Mto Nile ni mashindano ambayo yameanzishwa kwa nchi ambazo zinatumia maji ya mto Nile.
 
Nchunga aomba mkutano usitishwe
Tuesday, 18 January 2011 21:12

Clara Alphonce
MWENYEKITI wa Yanga, Lloyd Nchunga yuko kwenye harakati za kunusa mpasuko zaidi katika klabu hiyo kwa kuwaomba wanachama kusitisha mkutano wao waliotaka kuufanya kwa lengo ya kuinusuru timu yao kuboronga katika michuano ya kimataifa.

Baadhi ya wanachama wa Yanga wakiongozwa na mwenyekiti wa matawi wa klabu hiyo Mohamed Msumi wamepanga kufanya mkutano huo wa dharura utakaofanyika katika makao makuu ya klabu hiyo.

Nia ya kufanya mkutano huo ni kwa ajili ya kujadili suala la mdhamini mpya wa klabu hiyo Abbas Mtemvu aliyeteuliwa hivi katibuni pia na marumbano ya viongozi wajuu wa klabu hiyo kati ya mwenyekiti na makamu wake ya mara kwa mara.

Nchunga alisema anawaomba wanachama hao wasitishe mkutano wao ambao huenda ukazua mgogoro utakaoifanya timu yao kufanya vibaya katika michuano ya kimataifa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

"Mimi nawaomba wanachama kusitisha mkutano huo mpaka utakapopangwa tena ili kupisha mashindano mbali mbali yaliyopo mbele yetu, kinachotakiwa kwa sasa ni kujipanga kuona ni jinsi gani tutafanya vizuri katika mashindano hayo," alisema Nchunga.

Hali hiyo ya marumbano katika klabu hiyo imekuja baada ya mfadhili wa klabu hiyo Yusuf Manji kumtambulisha Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu kuwa mmoja wa wadhamini wa Yanga katika bodi ya wadhamini ya Yanga.

Kitendo hicho kilipingwa na baadhi ya wanachama wa Yanga na kuleta kutoelewana kati ya mwenyekiti Nchunga na makamu wake Davis Mosha mpaka kupelekea baraza la wazee kuwaweka chini na kumaliza tofauti zao.


 
Andy Murray, Clijsters waanza vizuri Australian Open
Tuesday, 18 January 2011 21:09

MELBOURNE, Australia

MCHEZAJI wa tenisi, Andy Murray ameanza harakati zake za kuwania ubingwa wa mashindano ya Australian Open baada ya kumchapa 6-3,6-1,4-2 Karol Beck.

"Nilianza mechi kwa utulivu, lakini nilicheza vizuri zaidi mwishoni mwa raundi ya pili, lakini muda wpte wa mchezo mpinzania wangu alikuwa akicheza vizuri,"alisema Murray.

"Nimefanya mazoezi na kujiandaa vizuri kitu ambacho kinanifanya nijiamini, nitakuwa makini katika kila mechi ninayocheza kwa sababu mashindano haya ni magumu,"alisema Murray.

Katika mashindano hayo bingwa mtetezi Rafael Nadal anatarajiwa kuanza kucheza kwa kupambana na Ryan Sweeting ambaye alimchapa Daniel Gimeno 6-4, 6-4, 6-1.

Naye mchezaji namba nne kwa ubora Robin Soderling alimchapa Potito Starace wa Italia 6-4, 6-2, 6-2 wakati Bernard Tomic ameingia traundi ya pili baada ya kushinda Jeremy Chardy 6-3, 6-2, 7-6 (5).

Mechi nyingine ilikuwa ni kati ya Juan Martin del Potro aliyecheza na Dudi Sela, ambapo Juan Martin del Potro alishinda 7-6 (13), 6-4, 6-4, wakati Marin Cilic alimchapa Donald Young 6-3, 6-2, 6-1 na kufanikiwa kuingia raundi ya pili pamoja na David Ferrer, Mikhail Youzhny, Jurgan Melzer, John Isner, Feliciano Lopez na Guillermo Garcia-Lopez.

Kwa upande wa wanawake, Kim Clijsters alimchapa bingwa wa zamani wa dunia Dinara Safina 6-0, 6-0, wakati Vera Zvonareva alimchapa 6-2, 6-1 Sybille Bammer.

Naye Ana Ivanovic alichapwa 3-6, 6-4, 10-8 na Ekaterina Makarova pia Sam Stosur aliingia raundi ya pili baada ya kumchapa Lauren Davis 6-1, 6-1; huku Agnieszka Radwanska akimchapa Kimiko Date Krumm 6-4, 4-6, 7-5 wakati Jelena Jankovic alimchapa Shahar Peer na kuingia raundi ya pili.

Wengine walioshinda mechi zao ni Nadia Petrova, Flavia Pennetta; Petra Kvitova na Peng
 
Yanga, Simba msipuuze wapinzani
Monday, 17 January 2011 12:48

KLABU za Simba na Yanga ndizo zitaiwakilisha Tanzania Bara katika mashindano ya klabu bingwa barani Afrika na kombe la washindi mwishoni mwa mwezi huu.

Simba itakayoshiriki katika mashindano ya klabu bingwa barani Afrika itaanza kwa kucheza dhidi ya Elan Club Mitsoudje ya Comoro kati ya tarehe 28,29 au 30 mwezi huu na kurudiana kati ya tarehe 11,12 au 13 mwezi wa pili.

Yanga itakayoshiriki kombe la washindi barani Afrika yenyewe itaanza kwa kucheza na Dedebit ya Ethiopia pia kati ya kati ya tarehe 28,29 au 30 mwezi huu na kurudiana kati ya tarehe 11,12 au 13 mwezi wa pili.

Tunasikitika kuona maandalizi duni yanayofanywa na klabu hizi huku tukishuhudia wachezaji na viongozi wao wakiwapuuza wapinzani wao Wacomoro na Waethiopia.

Tunashangazwa kuona viongozi wa klabu ya Yanga wakirumbana hali inayosababisha viongozi hao kushindwa kuisaidia timu na wachezaji kufanya vibaya uwanjani.

Tunaamini lengo la kushindana ni kupata ushindi lakini kuna kushinda, kushindwa na kutoka sare ila kitendo cha wachezaji na viongozi wa Simba na Yanga kuzipuuzia timu za Elan na Dedebit tunaona siyo sawa kwa sababu tulitegemea kuona timu hizo zikichukulia kila mechi kwao ni sawa na fainali.
 
Kwa mwenendo huu, Azam FC inaweza kuleta mapinduzi ya soka letu Monday, 17 January 2011 12:57

azamfc%20copy.jpg
Abeid Poyo
UPOZUNGUMZIA soka Tanzania kwa haraka kabisa utaambiwa ni Simba na Yanga, lakini kwa zaidi ya miaka sabini tangu kuanzishwa kwa klabu hizi mbili hakuna jambo kubwa walilofanya kwenye uwekezaji kama ilivyokuwa Azam FC yenye miaka isiyozidi mitano tangu kuanzishwa kwake.

Azam tangu kuanzishwa kwake imekuwa na mipango madhubuti ya kuendeleza mchezo wa soka kwa kuweka nguvu zake nyingi kwa vijana pamoja na kufanikisha ujenzi wa uwanja wake huko Chamanzi katika kipindi kifupi.

Katibu Mkuu wa Azam, Nassor Idrissa alisema klabu yake ina dhamira thabiti ya kuleta mapinduzi ya soka nchini kwa kuwaondolea kile ninachoweza kukiita kama adha na kasumba ya Watanzania kuzishabikia timu mbili za Yanga na Simba.

ìTumepania kuleta mapinduzi ya soka nchini, tunataka ifike mahala wapenzi wa soka wasione bila Simba au Yanga hakuna kitakachoendelea.íí

Hata kabla ya kauli ya Idrissa, nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mwenendo wa klabu hiyo iliyo chini ya umiliki wa kampuni maarufu katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (SSB) na kubaini kuwa aina yake ya uongozi na siasa zilizotamalaki klabuni hapo zinaifanya Azam kuwa klabu yenye sifa za kipekee nchini.

Kwa mfano, miaka mitano tu ya uhai wake, Azam imeshajipambanua kama klabu makini na ya kisasa inayokusudia kuleta mabadiliko katika soka la Tanzania.

Leo Azam imo njiani kumiliki uwanja wake tena wa kisasa ulio na kila huduma muhimu kwa klabu ya mpira. Kitu kama hiki kimeshindwa kufanywa na klabu kongwe kama Simba ambayo uhai wake ni zaidi ya nusu karne. Vivyo hivyo kwa Yanga ambayo hata kuotesha majani katika uwanja wake imekuwa kibarua kizito.

Ujenzi wa uwanja siyo kwa sababu Azam ipo chini ya mmiliki tajiri. Weledi wa mambo, kufanya mambo kwa kufuata dira na mikakati bora ya uongozi ndivyo vitu vinavyoitofautisha klabu hiyo na nyinginezo.

Kama ni pesa basi hata Simba na Yanga zilipaswa kuwa na viwanja vyao mithili au hata zaidi ya uwanja wa Uhuru ambao timu hizi zimekuwa zikipigana vikumbo kufanya mazoezi.

Tatizo la klabu nyingi nchini ni kukosa dhamira, mwongozo na uthubutu wa kufanya mambo. Azam wana uthubutu, pesa za mmiliki wake ni rasilimali tu ambazo hata Simba na Yanga wanazo, lakini wameshindwa kuzitumia kama nyenzo za kuleta mafanikio.
Wameshindwa kuweka mfumo ambao utawawezesha mashabiki kuchangia timu zao hata kama ni mara moja kwa mwaka na hii itawezekana kama utakuwepo mtandao labda wa kompyuta ambao mashabiki watautumia kupata taarifa mbalimbali za kuweza kujiunga kiurahisi.

Kwa sababu kama mashabiki watakuwa wakichangia timu yao basi uwezekano wa shabiki kuhudhuria uwanjani msimu mzima kuangalia timu yake hata kama inafungwa ni mkubwa tofauti na ilivyo sasa ambapo ni mashabiki wachache sana wa Simba au Yanga ambao wanaweza kusafiri na timu mikoani kuangalia mechi za timu hizo, labda iwe mechi ya Simba na Yanga!.

Haya na mengineyo ndiyo yanayoifanya watu wengi na hata klabu pinzani katika ligi kuu ya Vodacom waitamani na kuiangalia Azam kwa jicho la husuda.

Idrissa anataka ifike mahala Watanzania tuache kushabikia Simba na Yanga. Ndiyo, wapo watu nikiwemo mimi tuliochoka na madudu ya klabu hizi. Kwa muda mrefu tumekuwa tukitafuta timu itakayotupa raha badala ya karaha.Katika hili, Azam imetupa mwanga wa matumaini.

Kipindi cha nyuma tulidhani Malindi, Kajumulo FC, Moro United au Mtibwa zingebadili hali ya mambo katika soka la Tanzania, haikuwa hivyo. Malindi na Kajumulo zikazimika kama mwanga wa koroboi, Moro United sijui ilipofia, Mtibwa si haba bado inapumua japo kwa mashine.

Ikijipanga vema, Azam inaweza kabisa kuwa chuo cha kuzalisha wasakata kabumbu mahiri ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.Na hii itakuwa faraja kwa Yussuf Bakhresa, mmoja wa wadau na nguzo muhimu ya klabu hiyo kwani atakuwa amerahisishiwa kazi yake ya uwakala wa wachezaji.

Naihanikiza Azam kuwa kama TP Mazembe ya DRC, ASEC Mimosas ya Ivory Coast au Al Ahly ya Misri. Kwa kiasi kikubwa, naamini uwezo wa rasilimali wa kuzifikia au hata kuzizidi klabu hizi upo.

Hata hivyo, naomba kutoa tanbihi kwa kuwaeleza viongozi wa Azam kuwa siku watakayoruhusu aina ya uongozi tuliozoea katika klabu zilizopo nchini na kuupa kisogo utaalamu, watarajie anguko kama ilivyo kwa klabu nyingine.

Nimepitia tarikhi ya Azam na mmiliki wake kama inavyoelezwa katika tovuti ya klabu. Kama SSB iliweza kukua kutoka kuendesha biashara ndogo ya mgahawa miaka ile ya 1970 hadi kufikia kampuni makini na inayoheshimika katika nchi takriban tisa za Afrika Mashariki na Kati, sioni kwa nini siri ya mafanikio hayo isiendelezwe upande wa michezo kupitia Azam FC.

Natambua kuwa klabu hiyo iliasisiwa na wafanyakazi wa SSB waliokuwa wakikutana na kucheza kama kujifurahisha.

Leo wigo wake umepanuka, sasa si ya wafanyakazi tena bali imewavutia Watanzania wengi wenye uchu wa kuona nchi hii inapiga hatua katika soka kwa kuwa na klabu makini na inayoendeshwa kisasa.

Mliyofanya miaka mitano si haba, tuendako, Watanzania tunatarajia makubwa.Tumechoshwa na karaha, Azam tupeni raha.



Add comment

Tumia jukwaa ili kutoa maoni ambayo yatasaidia kulijenga taifa letu. Kumbuka, maoni yako yatapitiwa kwanza kabla hayajarushwa hewani!!!!!!
 
TFF iandae mapema timu Michezo ya Afrika Monday, 17 January 2011 12:51

MICHEZO ya 10 ya Afrika 2011 inatarajiwa kufanyika mjini Maputo, Msumbiji kuanzia Septemba 3 mpaka 18, ambapo wanamichezo watashindana katika michezo 23 tofauti.

Katika michezo hiyo 23 tofauti mchezo mmoja wapo ni mchezo wa soka ambao utashirikisha timu za vijana chini ya miaka 23 kwa wanaume na wanawake.

Hivi sasa mechi za awali za kufuzu kushiriki mashindano hayo kwa upande wa soka ambapo kwa baadhi ya timu zimeshaanza na zinatarajiwa kuisha mwishoni mwa mwezi huu kabla ya kuanza raundi ya kwanza mwezi April.

Ni timu nane tu kwa wanaume na nane kwa wanawake zinatakiwa kufuzu kushiriki katika mashindano ya Afrika mjini Maputo Septemba 3 ili kuungana na mwenyeji Msumbiji ambao wamefuzu moja kwa moja.

Kwa upande wa wanaume Tanzania itaanza harakati zake katika raundi ya kwanza kati ya Aprili 15-17 kwa kucheza na Uganda na kurudiana nao kati ya April 29 na Mei 1.

Kama Tanzania itaifunga Uganda itaingia raundi ya pili na kucheza na mshindi wa mechi ya Kenya na Eritrea kati ya Juni 24-26 na kurudiana Julai 8 mpaka 10 na kama ikishinda itapata tiketi ya kucheza michezo ya Afrika mwezi Septemba huko Maputo.

Hata kwa wanawake Tanzania itaanza harakati za kufuzu katika raundi ya kwanza April 29 mpaka Mei 1 na kurudiana kati ya Mei 13-15 kwa kucheza na mshindi wa mechi kati ya Sudan na Kenya.

Nchi mbalimbali za Afrika katika kipindi hiki zipo katika maandalizi ya michezo tofauti kwa ajili ya kuhakikisha zinatwaa medali nyingi katika mashindano hayo, na zingine zinashiriki hivi sasa mashindano ya awali,lakini katika hali inayoshangaza Tanzania bado haijaingiza timu kambini kwa ajili ya maandalizi na wala hakuna dalili ya kufanya hivyo katika siku za hivi karibuni.

Mara kwa mara tumekuwa tukishuhudia maandalizi ya zimamoto wanayofanyiwa wanamichezo wetu kila mwaka inapobaki mwezi mmoja au wiki mbili kabla ya mashindano kuanza wakati tulikuwa na muda mrefu wa kuwafanyia maandalizi mazuri vijana wetu wanaoenda kuiwakilisha Tanzania.

Tunaamini Shirikisho la soka Tanzania TFF, lisipoiingiza timu yetu ya vijana kambini kwa ajili ya maandalizi na kuipatia mechi za kirafiki za kutosha itashindwa kufanya vizuri katika mechi za kufuzu na hivyo kukosa nafasi ya kushiriki mashindano ya Afrika katika upande wa soka.

 
Study: Clubs neglecting homegrown players


storypage_APlogo_01.png









Updated Jan 18, 2011 10:19 AM ET
GENEVA (AP)

A study of 534 top-tier European football clubs says more foreign players are being used, causing homegrown youngsters to be neglected.
A typical club now averages more than eight expatriates, including one Brazilian each, among 24.5 contracted first-team players, according to Swiss University of Neuchatel research collected in October.
Squads averaged fewer players aged 21 or under and fewer players trained by the club than last year, the annual census says.
Nearly half of top-tier players across 36 countries have transferred internationally at least once.
The 20 Premier League clubs had 320 non-English first-team players.
European champion Inter Milan gave 99.8 percent of playing time to non-Italians during the survey period.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom