Michezo magazetini leo...

Michezo magazetini leo...

Status
Not open for further replies.
Tanzania zanyanyaswa katika kikapu Rwanda


Na Amina Athumani

TIMU za Tanzania zimeendelea kunyanyaswa katika mashindano ya mpira wa kikapu ya Kanda ya Tano, yanayofanyika mjini Kigali Rwanda.Jana,

katika michezo yake, Tanzania kwa upande wa wanaume ilipoteza kwa kufungwa pointi 54-51 dhidi ya Kenya na wanawake wakafungwa 55-53 na Ethiopia.

Kwa matokeo hayo, Tanzania imepoteza mechi mbili kwa wanawake dhidi ya Rwanda na wanaume pia dhidi ya Rwanda, ikiwa haijashinda mechi hata mechi moja.


Pamoja na kufungwa, Tanzania kwa upande wa wanaume wanajipa matumaini ya kuifunga Uganda leo kwenye Uwanja wa Amahoro jijini Kigali.


Katika mechi nyingine zilizochezwa jana, kwa upande wa wanaume Rwanda iliifunga Uganda kwa pointi 89-76, kwa wanawake, Kenya iliifunga Uganda pointi 64-32 na Rwanda ikaichapa Burundi pointi 83-53.


Kwa matokeo hayo, wenyeji Rwanda wanaongoza michuano hiyo kwa upande wa wanawake na wanaume, timu zote zikishinda michezo yote mitatu iliyocheza, zikiwa na pointi sita kila moja na kufuatiwa na Kenya.


Tanzania kwa upande wa wanawake, leo itamenyana na Kenya. Katibu Msaidizi wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF), Michael Maluwe, alisema mchezo huo kwa upande wa wanawake, utakuwa mgunu kuliko mchezo wa Tanzania na Uganda kwa upande wa wanaume.

 
'Ushambuliaji bado tatizo Taifa Stars' Thursday, 10 February 2011 21:03

Calvin Kiwia
KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Jan Poulsen ana kazi nzito ya kutengeneza safu imara ya ushambuliji iwezwe kufunga katika mechi za kimataifa.

Stars iko katika maandalizi ya kuwania kucheza Fainali za Afrika 2012 zitazofanyika Gobon na Guinea ya Ikweta, itacheza na Afrika ya Kati Machi 26, kwenye Uwanja wa Taifa.

Katika mchezo wa juzi dhidi ya Palestina, Stars iliibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Mrisho Ngassa, baada ya kupigiana pasi na Mohamed Banka kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliopigwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi,

Stars iliweza kulifikia lango la wageni hao mara 17 na kupata bao hilo na kona saba wakati Palentine yenyewe ililifikia lango la wenyeji wao Stars mara tisa na kufanikiwa kupata kona mbili.

Mshambuliaji wa Stars, John Boko aliongoza kwa kuotea akiwa ameotea mara nne dhidi ya sita huku Fahed Attal wa Palentine akiwa ameotea mara tatu dhidi ya nne.

Palentine waliongoza kwa kutoa mpira nje ya uwanja wakiwa wametoa mara 31dhidi ya 27 za Stars huku kiungo Khader Abuhammad akiwa kinara wa kutoa mipira, alitoa nje mara 19 kati ya 31.

Mussa Hassan Mgosi aliibuka kinara wa kuchezewa rafu na wageni hao alipigwa 'viatu' sita dhidi ya 11 walivyocheza Wapalentine na kusababisha wachezaji wake wawili kuzawadiwa kadi mbili za njano na mwamuzi Oden Mbaga.

Taifa Stars ilicheza vizuri na uelewano mkubwa katika safu ya ulinzi na kiungo lakini tatizo kubwa bado linabaki safu ya ushambliaji iliyokuwa ikiongozwa na John Boko aliyekuwa akilishwa mipira na viungo na mawinga, Ramadhan Chombo, Mrisho Ngasa na Musa Mgosi waliocheza kwa uelewano mkubwa lakini akashindwa.

Mashabiki wa soka walikuwa wakipiga kelele mchezji huyo atolewe na nafasi yake kuiingizwa Mbwana Samatta, lakini hata hivyo alipoingia kipindi cha pili, mambo yalikuwa magumu kwa mchezaji huyo na kushindwa kuonyesha soka yake.

Mchezaji aliyekuwa kivutio katika mchezo huo alikuwa Julius Mrope aliyekuwa anaonekana 'kadogodogo' lakini alipiga chenga za maudhi vipande vya wachezaji wa Palestina na kuamsha hoihoi uwanja mzima.

Katika dakika ya 87, aliwapiga change wachezaji wanne wa wapinzani wao na kutoa pande safi kwa Jabir Aziz ambaye alipiga nje.

 
Cameroon, England, Tanzania, A. Kusini zashinda mechi za FIFA Thursday, 10 February 2011 20:59

YAOUNDE, Cameroon
MSHAMBULIAJI wa Cameroon anayecheza soka ya kulipwa Marekani, Mbuta alifunga bao pekee katika mechi iliyofanyika Skopje, Cameroon na kuipandisha timu hiyo morari ikiwa ni siku chache kabla kucheza na Senegal kwa kuilaza Macedonia 1-0.

The Indomitable Lions waliokutana Skopje walisubiri dakika 75 kupata bao hilo kupitia kwa Matthew Mbuta.

Kikosi cha Javier Clemente kilikuwa kipate bao la kuongoza katika dakika ya 10 lakini mpira wa kichwa wa Sebastien Bassong ruligongwa mwamba na kutoka nje.

Mshambuliaji wa Inter Milan, Samuel Eto'o aliipa wakati mgumu Macedonians lakini wakati wakielekeza nguvu kwake, Mbuta alimaliza udhia.

Nayo Cape Verde iliichapa Burkina Faso bao 1-0 nchini Ureno katika mchezo mwingine wa kirafiki.

Heldon Ramos alifunga bao hilo pekee katika dakika ya 60 huku ikiwa na matumaini ya kufanya vema katika mchezo dhidi ya Mali.

Nchini, Botswana wenyeji walitoka sare ya 1-1 na Msumbiji. Botswana 'The Zebras' iliwachukua dakika 45 za kwanza kupata bao kupitia kwa Moemedi Moatlhaping lakini Miro akasawazisha dakika ya 55.

Nayo Tanzania iliifunga Palestine bao 1-0 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika jijini Dar-es-Salaam, kw abao la Mrisho Ngasa katika dakika ya 61.

Nchini Afrika Kusini, mshambuliaji wa Leeds United, Davide Somma na nahodha wa mchezo huo, Steven Pienaar wa Tottenham walitumia Uwanja wa Royal Bafokeng Sports Palace mjini Rustenburg kuipa Bafana Bafana ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kenya.

Mchezo huo umetoa mwanga kwa Waafrika Kusini kujiandaa vizuri na mchezo wake dhidi ya Misri, Machi 26. Katika mechi nyingine, Morocco iliifunga Niger mabao 3-0 huku Nigeria ikiiadhibu Sierra Leone mabao 2-1.

Nchini England, kocha wa timu hiyom, Fabio Capello amewapongeza vijana wake baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Denmark kwa ushirikiano wa Ashley Young, Jack Wilshere na wengine.

Katika mchezo huo, England ilikuwa nyuma kwa bao 1-0 lakini mabao ya Darren Bent na Young, yalimwezesha kocha wa England kusema: "Baadhi ya wachezaji wameanza kucheza timu ya taifa na wameonyesha mafanikio.

"Nimewaona chipukizi wakichezea Aston Villa katika mechi tatu. Katika mechi hizi ni vema kuweka vijana, wanakuwa huru zaidi. "Ni wazuri na hatari. Anauwezo wa kukokota mpira, kupiga mashuti na bu wachzahu wazuri.

"Wilshere alicheza vizuri. Ilikuwa ngumu kipindi cha kwanza kwa kuwa Denmark walikuwa wamebana, lakini walicheza tofauti kipindi cha pili.

Mabingwa wa zamani wa dunia, Brazil, walikubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Ufaransa katika mchezo wa kirafiki. Bao la Ufaransa

Kaika mechi nyingine, Armenia ikiwa nyumbani ilifunghw amabao 2-1 na Georgia sawa na kisiwa cha San Marino kupigwa bao 1-0 na Liechtenstein. Moldova ikailaza Andorra bao 1-0 matokeo yanayofanana na Ugiriki iliyoifunga Canada bao 1-0.

Nayo Belarus ilitoka sare ya 1-1 na Kazakhstan kabla ya Slovenia kuifunga Albania mabao 2-1. Azerbaijan ikicheza mbeler ya amshabiki wake, ilifungwa na Hungary 2-0 na Israel ikapigwa 2-0 na Serbia.

Luxembourg iliyumia vema uwanja wake wa nyumbani kwa kuifunga 2-1 Slovakia wakati
Ubelgiji na Finland zilitoka sare ya 1-1 huku Malta na Switzerland zikitoka suluhu.

Naye Mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi alifunga bao la pili dakika za lala salama dhidi ya Ureno katika mechi ambayo Cristiano Ronaldo aliifungia timu yake bao la kusawazisha.

Argentina ilipata bao la kwanza dakika ya 14 wakati Angel Di Maria alipioukwamisha mpira kimiani baada ya kupata pasi ya Messi, ambaye naye alifungwa dakika ya 90 kwa mkwaju wa penalti.
 
Real Madrid, Barcelona zaongoza kwa utajiri
Thursday, 10 February 2011 20:56

LONDON, England
KLABU za Real Madrid na Barcelona ziko kwenye klabu bora 20 kwa kuingiza dola 5.5 billion kwa mara ya kwanza.

Taarifa ya mapitio ya ukaguzi wa fedha uliofanyiwa na kampuni ya Deloitte unaonyesha kuwa, Madrid wameingiza euro 438.6 million (dola539.1 million) katika mwaka wa fedha unaomalizika Juni 30, ikiwa ni ongezeko la asilimia 20 na klabu hiyo kendelea kuongoza kwa kuingiz amapto zaidi.

Barcelona, iliyoifunga Madrid na kutwaa ubingwa wa klabu bingwa ya dunia 2009, imechukua nafasi ya pili, lakini kwa kuingiza mapato chini ya silimia 10 kiasi cha euro 398.1 milioni sawa na dola 489.3 milioni..

Fedha zinazopatikana ni kutokana na mapato ya mechi, kuuza bidhaa za klabu na mapato mbalimbali.

Wengine walioko kwenye sita bora kwa kuingiza mapato mengi ni pamoja na Manchester United inayoshika nafasi ya tatu, ikifuatiwa na Bayern Munich, Arsenal na Chelsea.

Kati ya klabu kuu 20 zinazotesa ni pamoja na Manchester City, ikishika nafasi ya tisa kutoka ya 11 na pato lake ni asilimia 44 ya mapato yote ambayo ni pauni125 milioni (dola187.8 milioni).

Liverpool imeshuka nafasi moja hadi ya nane baada ya kumaliza ya saba na hiyo ni kutokana an kushindwa kufuzu Ligi ya Mabingwa Ulaya.

"Klabu zote 20 zimeongeza pato lake mwaka 2009-10 licha ya kuwepo kwa mdororo wa kiuchumi ulioikumba dunia mwaka jana," Dan Jones wa Kundi la Makampuni ya Biashara ya Deloitte alisema.

"Klabu kubwa zimejipanga zenyewe kupata fedha licha ya kukumbwa na sakata la kudorora kwa uchumi, uwezo wa kutangaza mechi, na kuongeza vivutio kwa wawekezajki ndani ya klabu."

 
Nne zajihakikishia Ligi Kuu
Thursday, 10 February 2011 21:02

Burhab Yakub, Tanga na Calvin Kiwia
RHINO Rangers Tabora, Coastal Union Tanga, Oljoro JKT Arusha na Tanzania Prisons Mbeya zimejiweka katika nafasi nzuri ya kushiriki Ligi Kuu msimu ujao kutokana na kufanya vema na kushika nafasi nne za juu kwenye msimamo wa Ligi Daraja la Kwanza hatua ya Fainali zinazoendelea mkoani Tanga.

Timu hizi nne ndizo ambazo hazijapoteza mchezo hata mmoja kwenye ligi hiyo yenye ushindani.

Kwa mujibu wa TFF, timu nne ambazo zitashika nafasi ya juu kwenye msimamo wa ligi hiyo ndizo zitakazopanda ligi kuu msimu ujao na mbili kushuka kutoka ligi kuu lengo kuongeza idadi ya michezo na ushindani.

Morani FC, Manyara na Polisi Morogoro zimeonekana kuzidiwa mchaka mchaka wa ligi hiyo zikiwa hazijashinda mchezo hata mmoja na kushika nafasi za mwisho kwenye msimamo wa ligi hiyo.

Naye Burhani Yakub anaripoti kutoka Tanga kuwa wapenzi wa timu ya Coastal Union wamelalamikia kitendo cha kocha wa timu hiyo, Said Ally kushindwa kupanga kikosi cha ushindi
katika michezo ya mwanzo na kuwafanyia majaribio wachezaji wengine katika mechi muhimu.

Mashabiki hao walitoa shutuma hizo mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa baina ya
Polisi Moro na Coastal nion uliomalizika kwa suluhu.

"Huyu kocha nadhani ana ajenda ya siri ya kutaka tukose kupanda daraja,haiwezekani aache kikosi cha ushindi na apange wachezaji kwa majaribio katika mechi muhimu," alisema Mohamed Ali sabiki wa hapa.

Wakizungumza kwa nyakati mablimbali, mashabiki walisema katika mataifa ya Ulaya, timu zina vikosi vya kwanza na kingine kwa ajili ya kujazia inapotokea kikosi cha kwanza kina upungufu.

Katika mchezo,wachezaji wa Coastal walionyesha kuzidiwa na timu ya Polisi Morogoro ambayo ilicheza kasi huku mashambulizi mengi yakielekezwa upande wa lango la wapinzani wao

 
Airtel yatangaza zawadi tamasha la waandishi


na Samia Mussa


amka2.gif
KAMPUNI ya Airtel imetangaza rasmi zawadi za washindi wa michezo mbalimbali zitakazotolewa katika Tamasha la Wanahabari linalotarajiwa kufanyika keshokutwa Jumamosi kwenye viwanja vya TTCL Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo, Muganyizi Mutta, alisema wameandaa zawadi hizo kwa ajili ya kuongeza hamasa ya ushindani miongoni mwa vyombo vya habari vitakavyoshiriki tamasha hilo.
Mutta alizitaja zawadi hizo kuwa ni pamoja na mataji yenye thamani ya sh milioni 6 kwa washindi wa soka, netiboli, kuvuta kamba, kucheza dansi na kuimba, ambako pia kutakuwa na zawadi za papo kwa papo kwa michezo mbalimbali ya kubahatisha itakayochezeshwa na kampuni hiyo.
"Tumeandaa zawadi mbalimbali za kuvutia, katika kuongeza hamasa na ushindani kwa washiriki, lakini pamoja na hilo kutakuwa na zawadi za promosheni kwa michezo tofauti ya kubahatisha itakayochezwa na Airtel, ili washiriki waweze kuburudika kwa kiwango chake," alisema Mutta.
Alisema hii ni mara ya pili kwa kampuni hiyo kufanya tamasha kwa wanahabari, mara ya kwanza ikiwa mwaka jana, ambapo alisema la mwaka huu limeboreshwa zaidi na litapambwa na burudani kutoka bendi ya msondo Ngoma ‘Baba ya Muziki', ambayo imefanya maandalizi ya kutosha kwa ajili ya tamasha hilo.
Kwa upande wake, mratibu wa tamasha hilo kutoka Kampuni ya Capital Plus International, Mawazo Waziri, alisema maandalizi yamekamilika kila kitu na kinachosubiriwa ni siku yenyewe tu, ambako alitoa wito kwa washiriki kuwahi ili ratiba ya michezo iweze kwenda kama ilivyopangwa.


h.sep3.gif


juu
 
Marmo akunwa na Tamasha la Pasaka


na Mwandishi wetu


amka2.gif
ALIYEKUWA Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge katika awamu ya kwanza ya Rais Jakaya Kikwete, Phillip Marmo, amelisifia tamasha la Pasaka kwamba malengo yake ni mazuri, kwani linasaidia jamii.
Tamasha la Pasaka la mwaka huu litakalofanyika Aprili 24, lengo lake kubwa kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi, Alex Msama, ni kwa ajili ya kuwasomesha watoto yatima na kuwasaidia mitaji ya biashara wanawake wajane.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Marmo alisema kwamba, amefarijika mno na muamko wa Msama Promotions ambao ndio waandaaji wa tamasha hilo, kwa kuangalia uwezekano wa kuwasaidia watoto yatima na wanawake wajane.
"Nimefarijika mno na muamko huu, kwa kweli huu ni mfano wa kuigwa, kwani ni watu wachache mno wanaoweza kuandaa matamasha kama haya na fedha zinazopatikana kuwasaidia watoto yatima na wajane," alisema Marmo.
Aidha, Marmo alisema kwamba, kwa kiasi kikubwa tamasha hilo pia litasaidia kupunguza tatizo la ajira kwa vijana, kwani wengi hivi sasa wameamua kujikita katika muziki wa injili kwa ajili ya kumuimbia Mungu na kujipatia kipato.
Tamasha kubwa la Pasaka linatarajiwa kufanyika Aprili 24 mwaka huu, siku ya Sikukuu ya Pasaka kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam na mjini Shinyanga Jumatatu ya Pasaka Aprili 25 na jijini Mwanza Aprili 26.
 
Ngassa aibeba Stars mbele ya Palestina


na Ruhazi Ruhazi


amka2.gif
MSHAMBULIAJI mwenye kasi wa Azam FC, Mrisho Ngasa, jana aliipatia timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars' bao pekee lililoizamisha Palestina katika mechi ya kimataifa ya kirafiki iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Ngasa alifunga bao hilo dakika ya 61 akimalizia gonga safi kati yake, Mohammed Banka na Mussa Hassan ‘Mgosi'.
Hata hivyo katika kipindi cha kwanza, wachezaji wa Stars waliendelea kuwakera na kuwakatisha tamaa mashabiki wanaojitokeza kuwashangilia kwa kucheza soka isiyoridhisha.
Stars ilianza kupoteza nafasi katika dakika ya nne pale Mgosi alipoachia shuti kali lililopanguliwa na kipa Abdallah Alsidawi, lakini akakosekana mmaliziaji.
Kosa kosa hizo ziliendelea huku viungo walioanza wakishindwa kabisa kutengeneza mashambulizi mazuri ya kuweza kuwapatia bao.
Wachezaji John Bocco, Jabir Azizi na Ramadhani Chombo ‘Redondo', hawakuonekana kuwa katika kiwango chao, kwani licha ya kupata nafasi kadhaa lakini walionekana kuwa na papara na kupiga ovyo.
Katika dakika ya 27 Bocco alishindwa kuunganisha krosi ya Ngassa badala yake akaushika mpira huo kwa nia ya kufunga kwa mkono, lakini mwamuzi Oden Mbaga akamuona na kumzawadia kadi ya njano.
Stars waliendelea kukosa mabao kwa nafasi chache walizoweza kuzitengeneza na kulifikia lango la wapinzani wao ambao wako katika nafasi ya 178 katika viwango vya ubora vya Shirikisho la Kimataifa (FIFA), wakati Stars iko nafasi ya 123, Palestina ipo nafasi ya 138.
Stars ilishindwa kabisa kutumia faida ya uwanja wake wa nyumbani kuwapa furaha mashabiki wake, huku ikikubali kwenda mapumziko wakiwa sare ya bila kufungana.
Baada ya kuanza kipindi cha pili, Kocha wa Stars Jan Poulsen alimtoa nahodha wake Shadrack Nsajigwa na kumuingiza Haruna Shamte, kabla ya dakika ya 56 kumtoa Chombo na kumwingiza Mohammed Banka, mabadiliko yaliyoleta uhai mkubwa katika idara ya kiungo, ambako aliweza kujenga mashambulizi.
Banka ndiye aliyeanzisha shambulizi lililozaa bao pekee lililopoza hasira za mashabiki, ambao baadhi walishaanza kukata tamaa ya kuibuka na ushindi huku wakimtolea lawama kocha.
Poulsen alimtoa Ngasa baada ya kufunga bao hilo na kumuingiza Julius Mrope, ambaye licha ya kuwa na makeke lakini hakuweza kuwa na madhara kwa Palestina kama ilivyokuwa kwa Ngasa, kisha akamtoa Mgosi na kumwingiza Godfrey Bonny na Bocco akampisha Mbwana Samata.
Kocha wa Palestine, Bezaz Moussa, naye alifanya mabadiliko kwa kuwatoa Shatrit Mohammed Ali, Hisham Salhi na Mohammed Jebreel na kuwaingiza Jamal Alwisat, Shadi Alwisat na Ahmed Keshkesh. Lakini hadi mwisho Stars iliibuka na ushindi wa bao hilo moja.
Stars: Shaban Kado, Shajigwa/Shamte, Juma Jabu, Nadir Haroub, Aggrey Morice, Shaban Nditi, Ngassa/Mrope, Aziz, Bocco/Samata, Chombo/ Banka na Mgosi/Bonny.
Palestine: Abdallah Alsidawi, Samer Mahmoud, Abdalatif Salbahdari, Jarun Belal, Shatrit Mohammed/Jamal Alwisat, Ahmed Mahajna, Khader Abuhammad, Hisham Salhi/Shadi Aliwisat, Atef Abubelal/Hani Abubelal, Ahmed Keshkesh na fahed Attal.


h.sep3.gif

 
Chuji, Mbuna, Kimathi nao watemwa Yanga


na Dina Ismail


amka2.gif
WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho (CAF), wanatarajiwa kukwea pipa leo kwenda Ethiopia, huku nyota wengine Athuman Idd ‘Chuji' , Fred Mbuna na kipa Nelson Kimathi nao wakiachwa.
Juzi Yanga ilitangaza kuwaacha Stephano Mwasyika na Nurdin Bakari ambao ni majeruhi.
Msemaji wa Yanga, Louis Sendeu, alisema jijini Dar es Salaam jana kwamba, wachezaji hao na wengine wameachwa kutokana na mapendekezo ya Kocha Mkuu wa timu hiyo, Sam Timbe.
Sendeu alisema msafara wa watu 26 wakiwemo wachezaji 18 na viongozi wanane utaondoka kwa ndege ya Shirika la Ethiopia tayari kwa mechi yao ya marudiano dhidi ya Dedebit ya huko itakayopigwa Jumamosi kwenye Uwanja wa Addis.
Aliwataja wachezaji watakaondoka kuwa ni pamoja na Yaw Berko, Ivan Knezevic, Shadrack Nsajigwa, Abuu Ubwa, Isaac Boakye, Chacha Marwa, Job Ibrahim, Godfrey Bonny na Davis Mwape.
Wengine ni Iddi Mbaga, Juma Seif, Yahya Tumbo, Omega Seme, Kiggi Makassy, Nsa Job, Nadir Haroub ‘Canavaro' na Ernest Boakye.
Kwa upande wa viongozi ni pamoja na Mwenyekiti wa Yanga, Lloyd Nchunga, Timbe, Kocha Msaidizi Fred Felix ‘Minziro', Meneja Salvatory Edward, Daktari Juma Sufiani, mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Charles Mugondo, Sendeu na Makamu wa Kwanza wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Athuman Nyamlani, ambaye atakuwa mkuu wa msafara.
Sendeu aliongeza kuwa, timu imejiandaa kikamilifu kuhakikisha inashinda mechi hiyo na hivyo kuvuka hatua ya pili ambako watakutana na Haras El Hodoud ya Misri.
Yanga inahitaji ushindi katika mechi hiyo ili kusonga mbele, kwani katika mechi ya kwanza iliyopigwa nyumbani, timu hizo zilitoka sare ya mabao 4-4.
 
Elan de Mitsoudje yatua kwa kificho


na Dina Ismail


amka2.gif
WAKATI wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa barani Afrika, timu ya soka ya Simba wakiingia kambini, wapinzani wao Elan de Mitsoudje ya Comoro, walitarajiwa kuwasili jana.
Ofisa Habari wa Simba, Clifford Ndimbo, alisema jana kwamba maandalizi ya mechi hiyo ya marudiano itakayopigwa Jumapili Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam yamekamilika.
Ndimbo alisema, pamoja na wapinzani wao hao kuwasili, lakini hawana taarifa ya idadi ya msafara huo kutokana na ukweli kwamba wamekuja bila kutoa taarifa rasmi.
Alisema kikosi cha Simba kipo katika hali nzuri na wachezaji waliopo katika timu ya taifa ‘Taifa Stars' walitarajiwa kujiunga na wenzao kambini katika Hoteli ya Lamada mara baada ya mechi yao ya jana dhidi ya Palestina.
Katika mechi ya kwanza iliyopigwa ugenini, timu hizi zilitoka sare ya bila kufungana, ambako mshindi kati yao atakutana na mabingwa watetezi TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).


h.sep3.gif


juu
blank.gif

blank.gif
blank.gif




blank.gif
 
Polisi kuondoa vijiwe kupitia michezo


na Mohamed Said Abdullah


amka2.gif
JESHI la Polisi Zanzibar limeamua kuvunja vijiwe vya vibaka kwa kuanzisha mashindano yatakayoshirikisha vijana kutoka maeneo mbalimbali ya mikoa mitano ya visiwani hapa katika kufanikisha mpango wa ulinzi shirikishi.
Akizungumza na Tanzania Daima katika uwanja wa Ziwani uliopo makao makuu ya jeshi hilo, Mkuu wa Kitengo cha Polisi Jamii Zanzibar, Mrakibu wa Polisi (SP), Asha Mohamed Juma, alisema mpango huo tayari umeishafanyiwa tathmini na Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mussa Ali Mussa, kwa mikoa ya Unguja na Pemba, ambako umeonekana una nafasi kubwa ya kukuza michezo na kuwaunganisha vijana.
SP Asha alisema, Kamishna Mussa alitoa ahadi ya kuzipa jezi na mipira shehia zote za Unguja na Pemba zitakazoanzisha timu za michezo mbalimbali, lengo kuu likiwa ni kuwaunganisha vijana na kufanikisha mpango wa ulinzi shirikishi.
"Kuna vijana walikuwa wakijihusisha na vitendo vya wizi wa kuku, uporaji, wengine madawa ya kulevya, sasa wote wameamua kuachana na vitendo hivyo na kuunda timu za michezo, sambamba na vikundi vya ulinzi shirikishi," alisema SP Asha.
Naye Makamu Mwenyekiti wa Kikundi cha Ulinzi Shirikishi katika Shehia ya Kwa Alinato, Mussa Majura, alisema michezo ni nguzo kubwa ya kuwaunganisha vijana na ina nafasi ya kuwaepusha kujishirikisha na vitendo vya uhalifu.
Alisema kupitia michezo, vijana wengi watatumia muda mwingi katika michezo na kujiepusha na kukaa vijiweni bila ya kuwa na kazi maalumu, mambo ambayo yamechangia kujiingiza katika vitendo vya uhalifu.
Naye mchezaji wa timu ya soka ya Wataalamu inayokusanya vijana mbalimbali wa Soko Kuu la Darajani Tawaqal, Rashad Khamis alisema mpango huo umeanza kuleta faida, kwa vile vijana waliokuwa wakijihusisha na vitendo visivyofaa wameweza kuunda timu yao na kujadili mambo ya maendeleo ikiwemo michezo na suala zima la ulinzi shirikishi.
Katika mchezo wa kirafiki uliopigwa kwenye uwanja huo, timu ya Polisi Bridge ya Mkoa wa Kusini Unguja iliibuka na ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya Wataalamu, ambapo katika mpango huo, mlezi wa timu ya Polisi Makao Makuu, Mohamed Ussi kwa niaba ya Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar, alikabidhi zawadi ya jezi na mipira kwa timu hiyo ya Wataalamu ikiwa ni ahadi yake aliyoitoa ya kuzipatia vifaa vya michezo shehia zote zitakazoanzisha timu za michezo mbalimbali.


h.sep3.gif

 
TASWA kumpata mchezaji bora Mei 6


na Ruhazi Ruhazi


amka2.gif
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kimepanga kumtangaza mchezaji bora wa mwaka 2010, Mei 6 mwaka huu jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa TASWA, Amir Mhando, alisema kuwa, hafla za utoaji wa tuzo hiyo itafanyika kwenye ukumbi wa NSSF Water Front.
Alisema, kuna mabadiliko ya uendeshaji wa zoezi la kumpata mchezaji bora, ambako katika hatua za awali kila chama cha mchezo kimetakiwa kutuma majina matatu ya wachezaji wake bora.
Mhando alisema kuwa wamewapa nafasi viongozi wa vyama hivyo kutuma majina hayo, kwa vigezo vya wachezaji waliofanya vema katika mashindano ya kitaifa na kimataifa mwaka jana.
Akifafanua zaidi alisema kuwa, wachezaji wote watakaopendekezwa na vyama, watapata vyeti vya kutambuliwa pamoja zawadi ndogo ndogo.
Alisema kuwa maandalizi yote yameshakamilika na kwamba mdhamini wa tuzo hizo ameshapatikana na atawekwa hadharani wiki ijayo.
Katika hatua nyingine, Mhando alisema kuwa, TASWA imemteua Meneja wa zamani wa klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, Suleiman Said Yassin, ambaye kwa sasa ni Injinia Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, kuwa mlezi wa chama hicho.
 
Mchezo wa kuteleza wazinduliwa Dar


na Samia Mussa


amka2.gif
MCHEZO mpya wa mpira wa kuteleza ‘Roll ball' umezinduliwa jana katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), jijini.
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, ulioambatana na mafunzo, mwezeshaji wa mafunzo hayo Samwel Litaba kutoka Kenya, alisema kuwa mchezo huo ni mpya hapa nchini.
Alisema kuwa mchezo huo ulianzishwa kwa mara ya kwanza mwaka 2003 huko Pune India, ambako 2006 Waafrika wa kwanza kucheza walikuwa ni kutoka Kenya wachezaji wanne, Tanzania mmoja na saba kutoka Uganda ambao walipata mwaliko na kwenda kushiriki mashindano ya kirafiki nchini humo.
Aidha, Litaba alisema, mwaka jana yaliandaliwa mashindano ya kirafiki tena nchini Uganda yakiwa maalumu kuutambulisha, ambako walikuja wachezaji kutoka India.
Alisema kuwa ili kuhakikisha Tanzania inashiriki katika mashindano ya Championship yanayotarajiwa kufanyika Aprili 16 hadi 23 mwaka huu huko India, wametoa mafunzo kwa wachezaji 27 waliojitokeza ya nadharia na vitendo .
Litaba alisema mchezo huo huchezwa kwa kuvaa vitairi miguuni vinavyowezesha kuteleza huku wachezaji wakirushiana mpira kwa kutumia mikono, ambako huchezwa na jumla ya wachezaji 12 tu uwanjani.
 
Dalglish hopeful over Gerrard




11 comments »

Updated Feb 10, 2011 6:46 AM ET
Liverpool manager Kenny Dalglish is hopeful of having captain Steven Gerrard available at the weekend.
The 30-year-old withdrew from Fabio Capello's England squad that defeated Denmark after Sunday's win at Chelsea in order to have treatment at the club's Melwood training ground all week.

Sat., Feb. 12
Man United vs. Man City
Arsenal vs. Wolverhampton
Liverpool vs. Wigan Athletic
Blackburn vs. Newcastle
West Brom vs. West Ham
Birmingham vs. Stoke City
Blackpool vs. Aston Villa
Sunderland vs. Tottenham
Sun., Feb. 13
Bolton vs. Everton
Mon., Feb. 14
Fulham vs. Chelsea
BPL Scores | Table | Fixtures


Dalglish would like to have Gerrard available for Saturday's visit of Wigan as his side look for a fifth successive victory but he will not decide until closer to kick-off.
"It's only Thursday so we'll find out when we get nearer the weekend - obviously we hope he will be," said the Reds boss. "At the moment there is no-one on international duty that is coming back with injury problems.
"Martin Skrtel travelled (with Slovakia) and then came back so we'll have to assess him as well.
"We are not training until later today so we'll see when everyone gets in."
Liverpool are likely to be without 18-year-old midfielder Jonjo Shelvey at the weekend after he sustained an injury.
"Jonjo Shelvey got a bit of bad news on his knee so we will just wait to get that finally diagnosed and see what has to be done," added Dalglish.
"He has done well so it is a disappointment for everyone."
Liverpool are still without the services of club record signing Andy Carroll, with the £35million striker continuing his rehabilitation from a thigh problem sustained while he was still at Newcastle.
"Andy is progressing very well. We never gave a date and we won't put a date on it - we just said it would be a few weeks," added Dalglish.
"As long as we are patient and Andy is patient we'll be okay but we won't be rushing him back."
 
Kolarov: City closing the gap




46 comments »

Updated Feb 10, 2011 11:21 AM ET
Aleksandar Kolarov insists that Manchester City are closing in on Manchester United ahead of Saturday's derby.
The Serbia left-back is set to get his second taste of the Manchester derby this weekend as Roberto Mancini's side head to Old Trafford.

Sat., Feb. 12
Man United vs. Man City
Arsenal vs. Wolverhampton
Liverpool vs. Wigan Athletic
Blackburn vs. Newcastle
West Brom vs. West Ham
Birmingham vs. Stoke City
Blackpool vs. Aston Villa
Sunderland vs. Tottenham
Sun., Feb. 13
Bolton vs. Everton
Mon., Feb. 14
Fulham vs. Chelsea
BPL Scores | Table | Fixtures


Kolarov is almost certain to be included in City's starting XI after finding his form in recent weeks, including a spectacular free-kick against Birmingham City.
The 25-year-old played just 11 minutes of the corresponding fixture against United and the defender claims the Lazio-Roma and Red Star Belgrade-Partizan Belgrade derbies are fiercer.
"In Manchester, there is more humour," Kolarov said in The Telegraph. "In Rome or in Belgrade, it is different. Here, the fans just want to win, but they don't think bad.
"The fans just want to support their teams to the maximum and this is good. I like this."
City trail Premier League leaders United by five points but Kolarov insists the Eastlands outfit are still in touch with the pace-setters.
He said: "We have had some very good results and we are not too far from United. We are third now, so we want to try to win the Premier League, but we also have the FA Cup and the Europa League.
"We will see in the end, but we are a very strong team and we want to win things."
Kolarov, a £19million signing from Lazio last July, has overcome a three-month ankle injury lay-off during the autumn to become a fixture at left-back in Mancini's side.
And the full-back insists his traumatic childhood when he experienced the Nato bombings in Belgrade in 1999 has helped form his character and determination to succeed in England.
"Everybody from my country has a story from when they are young," said the Serbia international. "When I was young, my story is that I had two wars, but maybe you have to grow up quicker.
"Maybe that is why Vidic is captain of Manchester United and why Dejan Stankovic plays for 10 years in Italy and wins everything."
 
Anderson hoping for Hulk arrival









19 comments »

Updated Feb 10, 2011 5:52 AM ET
Manchester United midfielder Anderson admits he would love to play with Porto striker Hulk in the Premier League, saying: "He has quality."
Anderson left Hulk's current club in 2007 to join the Red Devils and the 22-year-old is keen for his Brazilian colleague to follow suit.

TRANSFER SPECIAL

Keep up with all the biggest moves around the globe with our 2011 January transfer gallery.

"He has quality, would suit English football and I think he is good enough to do well at a big club," said the United midfielder.
"If it was my decision then I would sign him but Sir Alex Ferguson signs the players and his knowledge would mean he knows all about the player."
Hulk has been linked with a move to the Premier League in the last 12 months, with many of England's leading sides reported to be monitoring the powerful 24-year-old.
Manchester City are said to be strong admirers of the £20million rated centre-forward, while London duo Chelsea and Arsenal are also believed to have expressed an interest.
 
Toon gaffer ties up Kuqi coup


RivalsDM



PRINT RSS

0 comments »

Updated Feb 10, 2011 5:30 AM ET
Newcastle boss Alan Pardew has signed Finland striker Shefki Kuqi until the end of the season - and he could face Blackburn on Saturday.

TRANSFER SPECIAL

Keep up with all the biggest moves around the globe with our 2011 January transfer gallery.

The 34-year-old, who was a free agent after his contract with Championship Swansea was terminated by mutual consent last month, could go straight into the squad for Saturday's Premier League trip to Blackburn Rovers, one of his former clubs.
He has been drafted in to provide back-up to strikers Leon Best, Peter Lovenkrands and Nile Ranger following the £35million departure of Andy Carroll to Liverpool, Xisco's loan move to Deportivo la Coruna and Shola Ameobi's fractured cheekbone
 
Rovers reveal failed Fabiano bid


storypage_APlogo_01.png





http://msn.foxsports.com/rssfeeds


2 comments »

Updated Feb 10, 2011 10:25 AM ET
Blackburn have revealed they tried to sign Sevilla forward Luis Fabiano in January - but will not try again for the Brazilian in the summer.

TRANSFER SPECIAL

Keep up with all the biggest moves around the globe with our 2011 January transfer gallery.

Rovers have confirmed that talks took place between the two clubs to sign the 30-year-old Brazil international, but the deal never materialised.
Blackburn had previously tried to sign Fabiano's compatriot Ronaldinho.
However, a Rovers spokesperson has now hinted that the club are looking to bring an up-and-coming name to Ewood Park, rather than a marquee signing.
"We did talk with Sevilla about Fabiano," the spokesperson told the Lancashire Evening Telegraph.
"It was after we did not sign Ronaldinho, but we are not interested in signing Fabiano now. We want to sign a young striker.
"But there are no plans for transfers now. We still have more time."
 
Spartak open to Pav return



5 comments »

Updated Feb 10, 2011 5:37 AM ET
Spartak Moscow have made it clear they would welcome back Tottenham frontman Roman Pavlyuchenko at the right price.
The Russia international has fallen out of favour with Spurs manager Harry Redknapp of late, featuring in just four of the club's last nine Premier League encounters.

TRANSFER SPECIAL

Keep up with all the biggest moves around the globe with our 2011 January transfer gallery.

Fellow strikers Peter Crouch and Jermaine Defoe have climbed Redknapp's pecking order, with Pavlyuchenko finding regular first-team action limited.
The 29-year-old last week voiced his frustration at warming the White Hart Lane bench, revealing he would be open to a move away from north London in the summer.
And Russian giants Spartak, the club Pavlyuchenko departed for Tottenham in 2008, are keen to re-sign him if they can agree an appropriate fee with Spurs, admitting they failed with a bid for his signature last year.
Club director Dmitri Popov told Championat.ru: "Roman Pavlyuchenko is a top-class player.
"In the Russian championship he has (previously) scored goals consistently, plus he has a Russian passport. In addition he has played for the club.
"Therefore you can understand why we are interested.
"The thing will be the price that Tottenham want. Last year we made an official offer and never received a reply."
 
Blues can survive, roars Bentley



3 comments »

Updated Feb 10, 2011 6:09 AM ET
Birmingham loan star David Bentley is confident they are strong enough to avoid relegation from the Premier League this season.
Bentley, who is on loan at St Andrews from Spurs until the end of the season, believes there is enough quality in the Blues squad to stay up.

Sat., Feb. 12
Man United vs. Man City
Arsenal vs. Wolverhampton
Liverpool vs. Wigan Athletic
Blackburn vs. Newcastle
West Brom vs. West Ham
Birmingham vs. Stoke City
Blackpool vs. Aston Villa
Sunderland vs. Tottenham
Sun., Feb. 13
Bolton vs. Everton
Mon., Feb. 14
Fulham vs. Chelsea
BPL Scores | Table | Fixtures


The England international admits he is enjoying his time at St Andrews after finding himself frozen out of things at White Hart Lane.
"We've got more than enough to stay up. The ability is here and we've got some good technical players," Bentley told The Mirror. "We're a fit team but we have two massive home games coming up.
"We need to go out there and battle for the three points because they are so precious at this level. There's a very positive mental attitude here that's really good to be a part of.
"To come in and play is great. The lads have made me feel welcome, as have the management and all the fans.
"It's the kind of dressing room I like to be involved in, there are some good characters in there.
"I am really enjoying it and we showed the kind of spirit we need to get a result at West Ham and hopefully it has set us up for Saturday."
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom