Michezo magazetini leo...

Michezo magazetini leo...

Status
Not open for further replies.
Yanga yaokoa waamuzi mikononi mwa Wahabeshi
Friday, 11 February 2011 20:46

kocha%20timbe.jpg
Kocha wa Yanga, Sam Timbe

Michael Momburi, , Addis Ababa

HUKU wachezaji wa Yanga wakilazimika kutembea kwa miguu kwenda mazoezini jana, klabu hiyo imewaokoa waamuzi Wanyarwanda watakaochezea mchezo wa leo walipokwama Uwanja wa Ndege wa Addis Ababa kwa saa kadhaa.

Kama ilivyokuwa kwa Yanga waliosota kwa saa nne uwanjani hapo, waamuzi nao walijikuta wakibaki uwanjani hapo kwa muda wa saa mbili na nusu bila kupokewa na wenyeji wao.

Ukiondoa kasoro hizo, wachezaji wa Yanga waliiambia Mwananchi mjini hapa licha ya kwamba walilazimika kutembea baada ya wenyeji wao, Dedebit kuchelewesha basi, lakini wanaamini mchezo wa leo utakuwa wa kufa au kupona na wameahidi mashabiki wao ushindi.

Katika tukio hilo la waamuzi, mwenyekiti wa klabu hiyo, Lloyd Nchunga na kiongozi wa msafara wa timu hiyo, Athuman Nyamlani ndio waliohangaika kupiga simu sehemumbalimbali ikiwemo kwenye Shirikisho la Soka la hapa (EFF) pamoja na klabu ya Dedebit ili waamuzi hao waondoke kwenye uwanja wa ndege wa hapa kuanzia majiraya saa moja usiku.

Waamuzi hao walitelekezwa kwa zaidi ya saa mbili na nusu wakiwa hawajui cha kufanya wale pa kwenda na hawana simu ya kiongozi yoyote.

Waamuzi hao ambao wote ni raia wa Rwanda ni yule wa kati MunyemanaHudu, wasaidizi wake, Niyitegeka Bosco na NdagijimanaTheogene ambao mashabiki wa hapa wamekuwa wakiwazungumzia kutokana na kutoka nchi moja.

Kocha wa Yanga, Sam Timbe alisema timu yake inahitaji ushindi wa ainayoyote ili kusonga mbele na hatafanya mabadiliko makubwa katika mchezo huo utakaoanza saa kumi na kuonyeshwa moja kwa moja natelevisheni ya taifa ya hapa.

Timbe ambaye timu yake ililazimisha sare ya mabao 4-4 awali, leo inahitajiushindi wowote au sare ya mabao 5-5, lakini alisema;

"Nimekaa naFred (Minziro) tumejadili upungufu ya timu yetu na sasa na tumepatasuluhisho hivyo sina wasiwasi, ninaamini ushindi upo na timu itachezamchezo mzuri."

"Sitaki kujihami kwa vile sitaki sare haitanisaidia, nimeamua
kuiachia timu icheze na kila mmoja awe huru kabisa.

Kipa Yaw Berko ambaye aliumia katika mchezo wa kwanza ataanza kwa vile tangu kocha wake ameeleza kuwa tangu aanze kufundisha amekuwa kwenye kiwango kizuri na haumwi na hata kiungo Ernest Boakye naye atacheza.

"Nimezungumza nao wapo vizuri kisaikolojia sina wasiwasi wowote,ingawa nina shaka na hali ya hewa ya hapa kwamba ni baridi na joto inaweza kusumbua wachezaji wangu, lakini tutaangalia cha kufanya ndani ya dakika 90 kila mmoja anaelewa umuhimu wa mchezo na atatumia nguvu zake zote naamini hivyo."
Kiingilio cha juu katika mchezo wa leo ni sh.7000
za Tanzania na cha chini ni 500 na tayari mashabiki wamepewa bendera 300 za kushangilia.

Ingawa kocha pamoja na viongozi wamelalamikia mapokezi mabovu pamoja hoteli ya nyota tatu ya Ras iliyo chini ya kiwango, Timbe amesisitiza kuwa akili zao zipo uwanjani kusaka ushindi leo na ana imani na wachezaji wake na kwamba hana majeruhi.

Rais wa Dedebit, Kanali Awel amesisitiza kuwa ana imani ya ushindi na kuiondosha Yanga leo ingawa na mashabiki mitaani hamasa imekuwa ndogo huku wengine hadi jana wakiwa hawajui kama kuna mechi hiyo.

Kikosi kinachoweza kuanza leo ni Yaw Berko, Shadrack Nsajigwa,Abuu Ubwa, Chacha Marwa, Nadir Harub, Ernest Boakye, Nsa Job, Godfrey Bonny, Davies Mwape, Jerry Tegete na Kiggi Makassi.
 
United v City ni vita kubwa Friday, 11 February 2011 20:37

LONDON, Uingereza
MCHEZO wa Ligi Kuu ya England baina ya Manchester United dhidi ya Manchester City kwenye Uwanja wa Old Trafford leo umeitwa kuwa vita ya muongo huu.

Mchezo huo unaweza kuchukuliwa kama ambao umekuja kwa wakati mbaya au mzuri kwa Man United.

Baada ya kuonja kipigo cha kwanza msimu huu kutoka kwa vibonde Wolves, United itaikaribisha City kwa ikiwa na mtazamo tofauti.

Timu hiyo inaikaribisha City ambayo inashika nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi hiyo, kitu ambacho kinaongeza ushindani kwenye mchezo huo ambao hata hivyo kila timu itapenda kuushinda na hatimaye kutwaa ubingwa wa kwanza wa ligi kwa msimu wa 2011.

Shinikizo lililopo mbele ya wachezaji wa timu zote mbili, zaidi linaonekana kuwakumba Man United ambao wanajiuliza mengi baada ya kipigo cha kushangaza cha mabao 2-1 kutoka kwaWolverhampton Wanderers.

Kiungo Darren Fletcher akizungumzia mchezo huo alieleza:
"Huu ni mchezo mgumu, lakini ni mechi hizo ambazo hatimaye zitatupa ubingwa." "Tunafurahia mechi kubwa, nasi Man United tupo tayari kwa changamoto."

"Tunatakiwa kucheza na Liverpool, Chelsea , kisha Arsenal na leo tunacheza na Man City," alisema Fletcher. "Tunafahamu ugumu wa mechi zilizoko mbele yetu, lakini sisi hatubweteki na kujisahau kwamba ligi imeisha. Tuna kazi kubwa mbele yetu, mechi ngumu.

"Lakini, tumejiandaa kwa ushindi, tunataka ubingwa. Hakuna mtu ambaye anaweza kupata ubingwa kirahisi."

Lakini, Man United itamkosa beki wa kati, Rio Ferdinand aliye majeruhi na ambaye aliikosa mechi dhidi ya Wolves, kitu ambacho kinampa nafasi mshambuliaji Carlos Tevez matumaini ya kupachika mabao dhidi ya timu karibu zote zilizoko juu katika msimamo wa ligi hiyo.

"Unapokuwa na mafanikio mazuri, kisha ukapoteza mchezo, kila kitu kinakuwa kigumu," alieleza beki wa Man City, Kolo Toure.
Lakini, Man City imeshinda mara moja tu kwenye Uwanja wa Old Trafford tangu mwaka 1974, lakini ilitoka suluhu ya 0-0 dhidi ya United msimu huu, pia ikapata suluhu kama hiyo dhidi ya Tottenham na Arsenal.

Mechi nyingine za leo zitakuwa baina ya Arsenal dhidi ya wabaya wa United, Wolves naTottenham walioko katika nafasi ya tano wakiwa na kumbukumbu nzuri ya kuilaza Sunderland huku Chelsea wakiikabili Fulham, Jumatatu.

Lakini, Arsenal haina budi kujihadhari na Wolves ambayo imezilaza United, Chelsea na Man City msimu huu.

Kama United, Chelsea pia inatakiwa kushinda Jumatatu baada ya kipigo cha bao 1-0 kwenye Uwanja waStamford Bridge dhidi ya Liverpool.

Mechi nyingine za leo zitakuwa: Stoke v Birmingham, Newcastle v Blackburn, Aston Villa v Blackpool, Wigan v Liverpool na West Ham v West Bromwich. Kesho, zitacheza Bolton v Everton.
 
Woods six shots adrift in Dubai
Tiger Woods falls behind playing partners Westwood and Kaymer as Rory McIlroy tops leaderboard at Desert Classic.

Last Modified: 10 Feb 2011 16:27 GMT




2011210162413737876_8.jpg
Woods, left, is playing in a three-ball with the world numbers one and two [GALLO/GETTY] An eagle on the 18th helped Tiger Woods save face on the opening day of the Dubai Desert Classic as the former world number one was upstaged by his successor Lee Westwood and number two Martin Kaymer as the world's top golfers played together in a three-ball.
Northern Irishman Rory McIlroy led the field at the end of Thursday's first round with a seven-under 65, ahead of Sergio Garcia and Thomas Aiken.
Briton Westwood and German Kaymer both shot three-under-par 69s to Woods's 71, though the 14-times major winner needed a brilliant second shot to just five feet at the par-five final hole for an eagle to rescue his round.
It was the first time in 17 years that the world's top three golfers have competed in a regular European Tour event and crowds flocked to see the trio walk the course together.
World number three Woods thrilled fans with a deft lob-wedge shot over a bunker at the 10th ahead of sinking a 20-foot birdie at the next hole before his eagle at the last.
Hard fight
"I needed that eagle at the last as it was one of those days I fought hard where unfortunately I went two-over par on two different occasions," he said after his round, to lie six shots adrift of early pacesetter McIlroy.
"I missed a lot of putts out there early on, as I had three easy looks and three bad putts.
"They were just terrible putts but for some reason I just managed to settle down and hit pure putts all day.
"But then I'm only six back, and tomorrow we have fresh greens and probably a bit less wind than what we had this afternoon, so hopefully I can do the same thing tomorrow morning," the 35-year-old added.
While Westwood is a familiar face to the American, it was the first occasion he had played in the company of Kaymer who can rise to number one in the world this week if he wins and Westwood finishes outside the top two.
"I'm very impressed with Martin and you can see why he's won so many tournaments over the last 18 months," said Woods of the 26-year-old 2010 US PGA Championship winner.
"He's very steady. Keeps his emotions in check. He plays some shots that kind of impressed me as to how far he can hit it, because I've not seen him hit a ball.
"I've only seen him on TV and TV doesn't really do justice sometimes. But he can move it out there."
Wearing a smile after a long day Woods hosted a clinic on the practice range for a large number of Emirati children after his round.
 
Unchanged England wary of Italy
England refuse to see Italians as easy targets in second Six Nations match as they gun for first trophy since 2003.

Last Modified: 10 Feb 2011 15:52 GMT





201121015503478436_20.jpg
Hendre Fourie has been added to the squad but England are set to field the same team against Italy [GALLO/GETTY] England coach Martin Johnson named an unchanged England team to play Italy at Twickenham as he looked to build on the good start made in their opening Six Nations victory over Wales in Cardiff last week.
The only change in the squad is the introduction of flanker Hendre Fourie on the bench for Joe Worsley after he recovered from a calf strain.
Friday's 26-19 win, England's first Six Nations success in Wales since 2003, has given them the ideal platform to push for their first title since their grand slam of that year.
With successive home games against Italy, France and Scotland, before a trip to Ireland to finish, they are well placed and Johnson said it was important to overcome the usual discussion that the Italian game on Saturday would be the easiest.
"There was big build-up for that Wales game and this isn't seen as the biggest match of the week but the way we are looking at it is that they are the only team who can beat us this week," Johnson said on Thursday.
"We have the same conversations year in, year out but with Italy but they are very tough games.
"They should have won last week and they put you under pressure.
"We know what they are about, they're quite good and then people say 'you didn't play very well did you?'."
Many people indeed said that last year after England, who haven't won the Six Nations since their 2003 Grand Slam months before their World Cup triumph, laboured to a desperately dull 17-12 win in Rome.
"Number one is to win, number two to avoid major injuries and then maybe worry about whether it was an entertaining game or not," Johnson said.
 
Sport Kubica out of intensive care Fellow drivers mark cars with message for Pole as he is transferred into trauma ward to await more surgery.

Last Modified: 10 Feb 2011 14:39 GMT





201121014254586876_20.jpg
Kubica had an operation to save his right hand and will miss some if not all of the F1 season [GALLO/GETTY] Robert Kubica was moved out of intensive care four days after his rally crash as his fellow Formula One drivers used a day of testing to send him a 'get well soon' message.
The teams started the second pre-season test at the Jerez circuit in southern Spain with the Polish message "Szybkiego powrotu do zdrowia Robert" (Get Well Soon Robert) on the sides of their cars.
A team spokeswoman said the Pole, who suffered serious arm, leg and hand injuries when his car crashed into a church wall in a minor rally near Genoa on Sunday, was expected to have further surgery on Friday after being transferred to a trauma ward.
The ASNA news agency reported that his condition was considered good enough to undergo a double operation on his leg and shoulder.
The 26-year-old underwent a seven hour operation involving two teams of surgeons on Sunday to save his right hand and stabilise his condition.
Kubica, one of Formula One's brightest prospects and tipped as a champion of the future, has been ruled out for at least the first two months of the season, and possibly all of it given the extent of the injury to his right hand.
Germany's Nick Heidfeld, without a drive since he left Sauber last year, has emerged as the frontrunner to replace him and will test for Renault in Jerez along with their official reserve Brazilian Bruno Senna.
Russian Vitaly Petrov, Kubica's regular teammate, was testing on Thursday.
 
City set for Old Trafford showdown
Man Utd host Man City with Alex Ferguson's men hoping to halt rivals' title charge after Liverpool court battle opens.

Last Modified: 10 Feb 2011 11:52 GMT





2011210113714188112_20.jpg
Tevez should be fresh for the clash at Old Trafford having been dropped by Argentina Manchester United have the chance to severely dent Manchester City's title chances when the bitter rivals meet at Old Trafford on Saturday, while Liverpool's former owners are doing battle with the club as the Reds take on less formidable opponents in the shape of Wigan Athletic.
United lost their first league game of the season to bottom club Wolverhampton Wanderers last week, but with Arsenal drawing and Chelsea losing, their position at the top of the Premier League was barely affected.
City did manage a 3-0 win over West Bromwich Albion but they remain in third place on 49 points, one behind Arsenal and five behind United having played a game more than the top two.
Since Ferguson made his "noisy neighbours" comment in September 2009 in the wake of United's last-gasp 4-3 league win, City have continued to invest heavily in their playing squad.
But their wait for a first title since 1968 looks certain to go on for at least another year while United are closing in on a record 19th – the tally Ferguson has long targeted to "knock Liverpool off their perch" as the country's most successful club in its domestic league.
United still have to play Chelsea home and away and to visit Arsenal so the title is far from in the bag but three points on Saturday brings it a little closer.
EPL fixtures Saturday February 12

sq.gif
Man Utd v Man City
sq.gif
Arsenal v Wolves
sq.gif
Birmingham v Stoke City
sq.gif
Blackburn v Newcastle
sq.gif
Blackpool v Aston Villa
sq.gif
Liverpool v Wigan
sq.gif
West Brom v West Ham
sq.gif
Sunderland v Tottenham

Sunday February 13

sq.gif
Bolton v Everton

Monday February 14

sq.gif
Fulham v Chelsea

"It's a terrific game for us now," Ferguson told MUTV.
"It's a massive game that we've got to look forward to. Unfortunately we have got international matches in midweek which in my view is crazy, but we have to get on with it."
Rooney unscathed
Wayne Rooney, starting to look more like the player who tore up the league a year ago, came through unscathed from his 45 minutes' duty in England's 2-1 win in Denmark.
City face similar demands on their multinational squad, though Carlos Tevez should be fresh having been left out of Argentina's game against Portugal in Geneva because of "attitude problems".
After their remarkable 2-1 win over United last week Wolves could hardly have had a tougher follow-up away to Arsenal.
Having blown a 4-0 first-half lead to draw 4-4 at Newcastle United last week Arsene Wenger's team are unlikely to be anything like as generous a second time.
Chelsea are not in action until Monday when they visit Fulham, giving Tottenham the chance to climb three points ahead of them into fourth place if they can win at Sunderland.
Sixth-placed Liverpool, on a run of four wins and four clean sheets, have a good chance of making it five of both at home to Wigan Athletic.
Should they do so the team who were 12th and three points above the relegation zone when Kenny Dalglish took over just a month ago, could move within three points of Chelsea.
Court battle
The bitter court battle over the sale of Liverpool resumed on Wednesday with the former American co-owners seeking approval to pursue a $1.6 billion damages claim for what they called a "giant swindle."
The case in London comes as Liverpool's fortunes on the pitch have been revived for the first time since Tom Hicks and George Gillett Jr were forced to sell the club against their will to the owners of the Boston Red Sox in October.
2011210114654160784_20.jpg
The wrangling over Liverpool's sale to New England Sports Ventures last year is still not over [EPA] Lawyers for Hicks and Gillett need a High Court judge to lift an order preventing them from pursuing damages against the Royal Bank of Scotland (RBS) and three then-club directors who approved the $476 million sale to New England Sports Ventures (NESV).
In October, Hicks and Gillett had to withdraw a temporary restraining order blocking the sale, which they had obtained in a Texas court, to avoid being declared in contempt of the London court.
"There is no settled decision by us to sue in England or abroad," Paul Girolami, representing Hicks and Gillett, told London's High Court on Wednesday.
Hicks has claimed "the British Establishment" conspired to sell the club for less than half of what it was worth to NESV, which is led by Red Sox owner John Henry.
RBS, which held the bulk of Liverpool's debt, wants to prevent the former owners from suing the bank in the United States, where the original suit was filed claiming the Liverpool board ignored other more lucrative offers and excluded the duo from takeover talks.
"RBS isn't seeking to stop Hicks, Gillett or any of their companies from suing," Richard Snowden, representing RBS, said in court.
"If they want to do so they are free to provided they do it in this jurisdiction (Britain)."
 
Ronaldo neutralised in Switzerland

201121071427543360_20.jpg
Ronaldo and Messi clashed on the international stage as club sides protested about the number of friendlies [EPA] Lionel Messi won his personal duel with rival Cristiano Ronaldo, lighting up Argentina's 2-1 win over Portugal by setting up one goal and scoring a late winner in a lively friendly in Switzerland.
Messi, FIFA's World Player of the Year for the last two years, and Ronaldo, who won the award in 2008, were both on the scoresheet on Wednesday night.
But Ronaldo, who came off after an hour, ended up on the losing side as Messi gave the South Americans victory, scoring from the penalty spot after 89 minutes.
Coincidentally the hugely entertaining match was played in Geneva, a little over 24 hours after Europe's most powerful clubs expressed their concerns at the amount of friendlies being played every year at their annual assembly in the Swiss city.
The managers of almost every important European club would have preferred this international date to have been dropped from the calendar, but more than 30,000 neutral Swiss braved a chilly night to watch one of more than 30 friendly matches which were being played around the world.
International results
sq.gif
Andorra 1-2 Moldova
sq.gif
Armenia 1-2 Georgia
sq.gif
Belarus 1-1 Kazakhstan
sq.gif
Greece 1-0 Canada
sq.gif
Iran 1-0 Russia
sq.gif
Latvia 2-1 Bolivia
sq.gif
Turkey 0-0 South Korea
sq.gif
Macedonia 0-1 Cameroon
sq.gif
Croatia 4-2 Czech Republic
sq.gif
Azerbaijan 0-2 Hungary
sq.gif
Israel 0-2 Serbia
sq.gif
South Africa 2-0 Kenya
sq.gif
Albania 1-2 Slovenia
sq.gif
Estonia 2-2 Bulgaria
sq.gif
Denmark 1-2 England
sq.gif
Luxembourg 2-1 Slovakia
sq.gif
Belgium 1-1 Finland
sq.gif
Malta 0-0 Switzerland
sq.gif
Netherlands 3-1 Austria
sq.gif
Poland 1-0 Norway
sq.gif
Scotland 3-0 N Ireland
sq.gif
Germany 1-1 Italy
sq.gif
Argentina 2-1 Portugal
sq.gif
France 1-0 Brazil
sq.gif
Spain 1-0 Colombia

The most high profile games capturing the spotlight were in Europe where international managers, in contrast to their club counterparts, were happy to use the games as preparation for next month's resumption of their Euro 2012 qualifiers.
World champions Spain swung back into action after the winter break with a 1-0 win over Colombia in Madrid thanks to a late winner from David Silva.
Poor run
The victory ended a poor run of form for the world champions who lost 4-1 to Argentina and suffered a 4-0 defeat to Portugal in friendlies.

But although David Villa failed to get the goal that would have taken him past Raul's all-time Spanish record of 44 goals, Silva came off the bench to score from close range in the 86th minute.

France continued their renaissance after their disappointing showing at the World Cup last year with a 1-0 win over Brazil in Paris in a re-match of the 1998 World Cup final which was also played at the Stade de France.

Karim Benzema scored the only goal 10 minutes after the break but Brazil played out the whole of the second half with 10 men after Anderson Hernandes was sent off shortly before half time after a wild kick high into Benzema's chest.
A re-match of another memorable World Cup match was played on
Wednesday too.

Nearly five years after Italy beat Germany 2-0 after extra time in the 2006 World Cup semi-final in Dortmund, the two sides played out a rather more tame 1-1 draw.
Miroslav Klose put Germany ahead after 16 minutes with his 59th goal for his country in 106 appearances, nine off Gerd Mueller's all-time German record.
But just when it seemed Germany might be on their way to beating Italy for the first time in 16 years, Italian substitute Giuseppe Rossi beat the offside trap nine minutes from time to equalise.

England, continuing to re-build after their dismal World Cup bounced back from their last outing when they lost to France when they came from behind to beat Denmark 2-1 in Copenhagen, their first win over the Danes since the 2002 World Cup finals and their first in Copenhagen since 1978.

Executed
Denmark took the lead at Parken Stadium, where the roof was closed, with Daniel Agger, one of five players in the Dane's starting line-up based in England, scoring with a superbly executed header after eight minutes.
England equalised two minutes later with a tap-in from Darren Bent, before his Aston Villa colleague Ashley Young scored his first goal for England after 68 minutes.
Ukraine, the co-hosts for next year's European Championship with Poland, also had a good day.
Earlier, FIFA and UEFA eased the threat of suspension against them after Ukraine's Football Federation (FFU), bowed to UEFA's demands for the local governing body to drop calls for the departure of its long-time president Hrigory Surkis.
Then its national team emerged victorious from the annual winter four-team tournament in Cyprus after a 1-1 draw with Sweden and a 5-4 penalty shootout success.
Ukraine's goal in normal time also came via a penalty, scored by Marco Devic who equalised Johan Elmander's early goal for Sweden.

Fellow hosts Poland also won, beating Norway 1-0 in a match played in Portugal with Robert Lewandowski scoring the only goal after 19 minutes against an otherwise well organised Norway defence.

Russia, who have been basking in the success of landing the right to stage the 2018 World Cup finals in recent weeks, were brought down to earth on the field, beaten 1-0 by Iran in Abu Dhabi, who had Mohammad Reza Khalatbari sent off for removing his shirt in celebration after scoring their last minute winner.
 
Ufunguzi Tamasha la Busara tafrani


na Andrew Chale, Zanzibar


amka2.gif
UFUNGUZI wa tamasha la Nane la Sauti za Busara ulianza visiwani hapa juzi kwa kuingia dosari ya aina yake na kusababisha kudorora kutokana na hali mbaya ya hewa iliyoambatana na kimbunga kikali na mvua.
Hali hiyo, ilisababisha kushindwa kuendelea kwa shughuli hiyo na kutishia amani ndani ya Ngome Kongwe na maeneo jirani.
Tukio hilo la kushtukiza, lilianza muda mfupi baada ya maandamano kufika ndani ya Ngome Kongwe, ambako kimbunga na hali ya mvua iliweza kuwakimbiza wananachi hasa baada ya upepo huo mkali sambamba na kuzimwa kwa umeme eneo hilo.
Tanzania Daima ilishuhudia wananchi mbalimbali wakikimbia ili kujificha na mvua sambamba na upepo huo maeneo mbalimbali.
"Halii hii ni ya hatari, hapa si pa kukaa, bora nijiokoe maisha yangu haya majengo yanayumba... mimi nakimbia," alisema mmoja wa wakazi hao waliokuwa wakikimbia kutoka ndani ya jengo hilo.
Maandamano ya ufunguzi wa tamasha hilo yalianzia eneo la Maisara hadi ukumbi wa Ngome Kongwe, huku yakichukua takribani saa mbili kufika mahali hapo, ambayo yalihusisha vikundi mbalimbali vya utamaduni, bendi shiriki pamoja na wananchi wa visiwani hapa na wageni kutoka mataifa mbalimbali.
Hata hivyo, kutokana na hali hiyo ya kukatwa kwa umeme, bendi mbalimbali ziliweza kupiga hivyo hivyo kwa shida, huku mara kwa mara muziki ukisimama ili kuweka sawa hali ya vyombo kutokana na mfumo wa umeme.
Bendi zilizopiga ni pamoja na ‘Tunaweza' (Tanzania), Les Freres Sissoko (Senegal), Mohamed Ilyas & Nyota Zameremeta wakiwa wamemshirikisha Bi. Kidude (Zanzibar), Wanyambukwa Group, Maulidi ya Homu huku Jahazi Modern wakifunga dimba.
Bendi zitakazopiga leo ni pamoja na Nyota Kali Band (Tanzania), Djaaka (Msumbiji), Lelelele Afrika (Kenya), Maureen Lupo Lilanda (Zanzibar), na Orchestre Poly Rythmo Deipata.
 
Wasanii kibao kumsindikiza Top C Bills


na Dina Ismail


amka2.gif
WASANII mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya nchini wanatarajiwa kusindikiza uzinduzi wa albamu ya msanii mwenzao ajulikanaye kama Top C iitwayo ‘Lofa' utakaofanyika Februari 14, Club Bilicanas jijini Dar es Salaam.
Meneja wa msanii huyo, Babuu Kisauji alisema jijini Dar es Salaam jana kwamba, maandalizi kwa ajili ya uzinduzi huo yanakwenda vizuri, ambako pamoja na uzinduzi wa albamu, msanii huyo pia atazindua video ya wimbo wake ‘Usiniumize' aliyowashirikisha Diamond na Sam wa Ukweli.
Kisauji aliwataja wasanii watakaosindikiza kuwa ni pamoja na Sam wa Ukweli, H-Baba, Diamond, Q-Chillah, Mr. Chocolate na wengineo, ambako wasanii wote wataimba nyimbo zao ‘live' .
Aliongeza kuwa, mashabiki 100 wa kwanza kuingia ukumbini watazawadiwa fulana yenye nembo ya msanii huyo, ambako kiingilio kitakuwa sh 10,000 tu.
Albamu hiyo ni ya kwanza kwa msanii huyo, ambako ndani yake kutakuwa na nyimbo 10 zikiwemo ‘Usiniumize', ‘Unanichunia', ‘Mama' aliomshirikisha Q- Chillah, ‘Safari siyo Kifo', ‘Nalia', ‘Najua Haya', ‘Kwaherini' na ‘Lofa' uliobeba albamu.
 
Miaka mitano Kalunde Band, Valentine's Day sambamba


na Khadija Kalili


amka2.gif
RAIS wa bendi ya muziki wa dansi ya Kalunde, Deo Mwanambilimbi amewataka mashabiki na wadau wa muziki kujitokeza katika onyesho lao la Siku ya Wapendanao ‘Valentines Day' litakalokwenda sambamba na kusherehekea miaka mitano ya bendi hiyo.
Akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO), jijini Dar es Salaam jana, Mwanambilimbi almaarufu kama ‘Mzee wa Goba' alisema kuwa, mambo yote kwa ajili ya onyesho hilo siku hiyo yako bambam.
Alisema, siku hiyo wamepanga kusherehekea kwa mtindo wa kipekee kwenye ukumbi wa Rain Bow Kawe jijini.
Aliwahimiza mashabiki wajitokeze kwa wingi, ili kufaidi uhondo wa vibao vikali kama ‘Itumba Igwegwe', ‘Nataka Kuzaa na Wewe', ‘Fikiria', ‘Naomba Uniambie', ‘Umenigusa' na nyinginezo, bila kusahau kusakata mtindo wa ‘Lukelembuke'.
Naye Kiongozi wa bendi hiyo, Junior Gringo alisema, onyesho hilo ni maalum kwa mashabiki wao pamoja na bendi.
Gringo alisema, pia watambulisha nyimbo zao mpya nane ambazo ni ‘Nyemo' ilioyoimbwa kwa lugha ya kabila la Kigogo ukiwa ni utunzi wa Sarafina Mshindo, ‘Gloria' uliotungwa na Shehe Mwakichui, ‘Ndoto' ukiwa ni utunzi wake mwenyewe na ‘Masumbuko' ikiwa ni kazi ya Mwanambilimbi.
Pia watatambulishwa wanamuzi wapya pamoja na wanenguaji wake, ambao waliokuwa Muscat Oman, wakiwamo Remmy Gius na mwingine anayekwenda kwa jina la Edson.
Aidha zawadi mbalimbali zitatolewa kwa mashabiki watakaofika, ambako wasanii maarufu wa filamu nchini, Ray Kigosi 'Ray' na Steven Kanumba 'The Great' watatoa zawadi kwa mashabiki.
 
Manji ageukwa Jangwani
• Wanachama wasema ni tatizo

na Samia Mussa


amka2.gif
BAADHI ya wanachama wa Yanga, wameibuka na kusema mfadhili na Mjumbe wa Bodi ya Udhamini, Yusuf Manji, ndiye kiini cha tatizo katika klabu yao.
Kwa mujibu wa wanachama hao waliojitambulisha kutoka tawi la Tandale kwa Mtogole, Dar es Salaam, Manji ndiye chimbuko la mivutano yote katika klabu hiyo.
Akizungumza kwa niaba ya wenzake katika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO), jijini Dar es Salaam jana, Waziri Jitu mwenye kadi namba 001732, alidai Manji ndiye anayewagawa Yanga makundi.
Akiungwa mkono na wenzake aliokuwa ameambatana nao kwenye mkutano huo, Jitu alisema, mbali ya kuwagawa wanachama, Manji amekuwa akijipachika vyeo bila ridhaa yao.
Akifafanua zaidi, Jitu alisema, kati ya mambo ambayo Manji aliyafanya pasipo hata ridhaa ya uongozi, ni kumteua Francis Kifukwe kufufua kampuni.
"Manji hakuishia hapo, wakati yeye bado kuthibitishwa rasmi katika nafasi ya Ujumbe wa Bodi ya Udhamini, anajipa kazi ya kumteua Abbas Mtemvu kwa kigezo cha ubunge," alisema Jitu.
Jitu alidai, kasumba hiyo ya Manji kushinikiza mambo, amekuwa nayo tangu uongozi uliopita chini ya Imani Madega baada ya kuonyesha msimamo.
Alisema, kinachowasikitisha wao wanachama hadi kuamua kusema, ni hatua ya Manji kuzidi kushinikiza mambo kiasi cha kuibuka mgawanyiko ndani ya Kamati ya Utendaji.
Jitu alidai, uongozi wa Lloyd Nchunga ukiwa na siku 60 tu, Manji alianza kuwakoroga kwa kuwachonganisha baadhi ya viongozi, akiwemo Davis Mosha na wachezaji.
Jitu alisema, hatua ya kuwataka wachezaji wapige kura kupitia vikaratasi kwamba ni kiongozi gani tatizo ndani ya uongozi wa Yanga, ni uthibitisho mwingine.
"Manji amekuwa kama mmiliki wa Yanga, anathubutu kutuchagulia sisi wanachama hata viongozi wa kutuongoza, hili haliwezekani ndiyo maana tunasema ni heri Manji aondoke," alisema Jitu huku akiungwa mkono na wenzake.
Jitu alisema, pamoja na kufanya mazuri ndani ya klabu hiyo tangu alipotia mguu kwa mara ya kwanza mwaka 2006, lakini kwa sasa Manji amekuwa si mfadhili tena bali mmiliki wa Yanga.
"Sisi wanachama kwa kuona kuwa staili hii ya Manji inaweza kuipoteza Yanga, tunadhani sasa ni heri Manji aondoke atuachie viongozi na Yanga yetu," alisema Jitu na kuongeza: "Manji kwa sasa si mfadhili tena wa Yanga bali ni mfadhiliwa Yanga…. mfadhili gani anatoa fedha kisha atake kurejeshewa? Alihoji Jitu.
Naye Juma Kassu (kadi namba 006876), alidai sababu kubwa ya Manji kusigana na Madega, ni baada ya kuwa kikwazo cha yeye kumiliki Yanga.
Kassu alikwenda mbali na kutuhumu kuwa hata kujiuzulu kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa klabu hiyo, Lawrence Mwalusako, ni shinikizo.
"Kama kweli Mwalusako aliacha kazi kwa matatizo ya kiafya, vipi siku tatu baadaye ajiriwe kwenye ofisi za Manji, sisi wanachama sio wajinga kiasi hicho," alisema Kassu.
Kassu alisema awali, ufadhili wa Manji ulikuwa wenye manufaa kwa klabu yao, kwani ulionekana kwa macho, lakini sasa amebaki kama mfadhiliwa ndani ya Yanga.
Juhudi za kumpata Manji kupitia kwa msaidizi wake ili kupata ufafanuzi kuhusu madai ya wanachama hao, ziligonga ukuta baada ya simu zote mbili kuita bila kupokelewa.
 
Yanga kitaeleweka leo?


na Dina Ismail


amka2.gif
WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya kombe la Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF), Yanga leo inashuka katika dimba la Addis kukipiga na Dedebit ya Ethiopia huku ikiwa na tahadhari kubwa.
Mechi hiyo ya marudiano inatarajiwa kuwa na ugumu na hasa ikizingatiwa kila timu inahitaji kusonga mbele kwenye michuano hiyo.
Ofisa habari wa Yanga Louis Sendeu aliyeambatana na timu hiyo alisema jana kwamba pamoja na hila wanazokumbana zao ili kuwatoa katika hali ya kimchezo, wamejiandaa kikamilifu.
"Pamoja na fitna za hapa na pale tulizozikuta hapa, tumeachana nazo na kuelekeza akili zetu katika mechi yetu ya kesho (leo)...timu ipo vizuri na mwalimu amefanya kazi yake, tunasubiri muda wa kushuka uwanjani," alisema.
Aliongeza kuwa, baada ya kuwasili wachezaji wamefanya mazoezi kwa siku mbili, hivyo anaamini wataibuka na ushindi na hivyo kuvuka hatua ya pili.
Yanga iliyowasili juzi mjini humo ilikumbana na adha kadhaa ikiwemo kugandishwa kwa saa nne katika uwanja wa Addis Ababa kabla ya kupelekwa katika hoteli isiyo na hadhi.
Kwa upande wa wapinzani wao, Rais wa Dedebit FC, Kanali Awel Abdurahim na Meneja na Mkurugenzi wa Ufundi, Yohannes Sahle wamewataka mashabiki wote wa soka wa Ethiopia kuipa sapoti timu yao ambayo inacheza mchezo wake wa kwanza wa kimataifa katika uwanja wa nyumbani leo.
Kanali Awel alisema, sapoti ya mashabiki ni muhimu kwa mafanikio ya timu na kuitakia pia mafanikio mema mahasimu wao, St. George katika mchezo wao kesho wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Recreativo de Calaa ya Angola.
Kwa upande wake, Yohannes alisema timu yake imejiandaa vema na wachezaji wote wako katika afya njema na kusisitiza, wanahitaji sapoti ya umma kuisadia kusonga raundi inayofuata.
Katika me3chi ya awali jijini Dar es Salaam timu hizo zilikwenda sare ya mabao 4-4.
 
Hatimaye wapinzani wa Simba watua Dar


na Mwandishi wetu


amka2.gif
WAPINZANI wa Simba katika ligi ya mabingwa Afrika, Elan de Mitsoudje ya Comoro imewasili jana tayari kwa mechi yao ya marudiano kesho kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Wacomoro hao ambao ilikuwa wawasili tangu Jumatano, ilishindikana kutokana na matatizo ya usafiri nchini kwao hivyo kufanya wapitie Mombasa, Kenya.
Ofisa habari wa Simba, Clifford Ndimbo alisema jijini Dar es Salaam kwamba, pamoja na timu hiyo pia waamuzi kutoka Rwanda na Kamishna anayetoka Zambia pia waliwasili jana hiyo hiyo.
Alisema, maandalizi kwa ajili ya mechi hiyo yanaenda vema huku wachezaji wa Simba waliopiga kambi hoteli ya Lamada wanaendelea na mazoezi ya kujiandaa katika mechi hiyo.
Ndimbo alisema, wachezaji wote wapo katika hali nzuri na wana ari kubwa ya kushinda mechi hiyo ili kusonga mbele katika michuano hiyo, huku baadhi ya majeruhi wakianza mazoezi.
"Timu ipo katika hali nzuri na hata wachezaji waliokuwa majeruhi Emmanuel Okwi, Joseph Owino na Rashid Gumbo wameshaanza mazoezi hivyo kucheza ama kutocheza inategemeana na maamuzi ya daktari", Alisema.
Ndimbo aliongeza kuwa, wanafahamu kuwa mechi hiyo itakuwa ngumu na hasa ikizingatiwa kwamba, mshindi atasonga raundi ya kwanza, lakini wamejiandaa kikamilifu ili kuweza kushinda mechi hiyo.
Katika mchezo wa kwanza uliopigwa mjini Moroni, timu hizo zilikwenda sare ya bila kufungana.
 
Iran stun Russia in friendly
Second consecutive defeat for 2018 World Cup hosts after shock 1-0 loss to Iran in Abu Dhabi.

Last Modified: 09 Feb 2011 22:49 GMT





201129221032952876_20.jpg
The result was Russia's second defeat in a row after losing to Belgium on home soil last year [AFP] Mohammad Reza Khalatbari was the hero as he scored a last-minute winner to power Iran to a shock 1-0 victory in a friendly played in Abu Dhabi.

Russia dominated for most of the game, and piled the pressure on Iran, but rarely troubled goalkeeper Mahdi Rahmati.

Khalatbari sprung the offside trap before evading two Russian defenders and beating goalkeeper Igor Akinfeyev with a rising shot from close range with one minute left in a rare Iran counterattack.

After scoring the goal, Khalatbari was given a second yellow card for removing his jersey, leaving his side to defend their lead with 10 men.
It was Iran's first ever win over the European stars after three defeats, the last of which came in 1985.
Potential coach
International results
sq.gif
Andorra 1-2 Moldova
sq.gif
Armenia 1-2 Georgia
sq.gif
Belarus 1-1 Kazakhstan
sq.gif
Greece 1-0 Canada
sq.gif
Iran 1-0 Russia
sq.gif
Latvia 2-1 Bolivia
sq.gif
Turkey 0-0 South Korea
sq.gif
Macedonia 0-1 Cameroon
sq.gif
Croatia 4-2 Czech Republic
sq.gif
Azerbaijan 0-2 Hungary
sq.gif
Israel 0-2 Serbia
sq.gif
South Africa 2-0 Kenya
sq.gif
Albania 1-2 Slovenia
sq.gif
Estonia 2-2 Bulgaria
sq.gif
Denmark 1-2 England
sq.gif
Luxembourg 2-1 Slovakia
sq.gif
Belgium 1-1 Finland
sq.gif
Malta 0-0 Switzerland
sq.gif
Netherlands 3-1 Austria
sq.gif
Poland 1-0 Norway
sq.gif
Scotland 3-0 N Ireland
sq.gif
Germany 1-1 Italy
sq.gif
Argentina 2-1 Portugal
sq.gif
France 1-0 Brazil
sq.gif
Spain 1-0 Colombia

Former Portugal and Real Madrid coach Carlos Queiroz watched the game, amid local media reports which named Queiroz as a potential next coach of Iran, replacing Afshin Ghotbi who departed to join Japanese side Shimizu S-Pulse following Iran's elimination at last month's Asian Cup.
The match was played inside a near-empty Sheikh Zayed stadium and defeat will add pressure on coach Dick Advocaat after many Russian football experts had questioned the wisdom of playing Iran in the Gulf region.
Advocaat defended his decision, saying his players lacked match fitness but that it was still a good test for his team before they resume their Euro 2012 qualifying campaign.
"Most of our players are only getting ready for their season and they train twice a day, therefore some of them looked really tired in the second half," the Dutchman told a news conference.
"I tried to do as many substitutions as I could at half-time but it didn't help much. Unfortunately, people in Russia will remember this match as one big disappointment."
Igor Denisov and Alexander Kerzhakov drew saves from Rahmati early in the game but with the Russian league on an almost four-month winter break, and most players on practice camps, the team lacked fluency.
The match was Russia's last warm-up ahead of their Euro 2012 away qualifier against Armenia on March 26. Russia lead the Group B standings with nine points from four games.
Armenia, Ireland and Slovakia are tied for second two points behind.

 
Drogba returns for Cote d'Ivoire
Chelsea striker makes first international appearance since World Cup as Cote d'Ivoire beat Mali 1-0.

Last Modified: 08 Feb 2011 22:37 GMT





201128221333433954_20.jpg
Drogba makes his return to international football for the first time since last year's World Cup [AFP] Cote d'Ivoire star Didier Drogba made a winning return to international football as Les Elephants beat Mali 1-0 in a friendly in France on Tuesday.

Didier Ya Konan's third-minute goal, and first international goal, won the game for Cote d'Ivoire, who were celebrating the return of Drogba for the first time since last year's World Cup after he requested time away from the international game.

Ya Konan earned a starting place in Francois Zahoui's team after an impressive tally of 10 goals in 19 Bundesliga games, but was one of two players who later left the pitch on a stretcher as a result of some violent tackling.
Attacking formation
Zahoui chose an ambitious attacking formation with Ya Konan and Gervinho playing off Drogba as the central striker.
Drogba almost got his 46th international goal when he volleyed narrowly over from inside the penalty area in the 35th minute.
Drogba's Chelsea teammate Salomon Kalou almost made it 2-0 early in the second half when he weaved past three players but clipped his shot just over from 10 yards out.
Mali missed a penalty in the second half.
Results Tuesday February 8

sq.gif
Cyprus 0-2 Sweden
sq.gif
Romania 2-2 Ukraine
sq.gif
Ireland 3-0 Wales
sq.gif
Peru 1-0 Panama
sq.gif
Ghana 4-1 Togo
sq.gif
Cote d'Ivoire 1-0 Mali

The game had to be briefly stopped 12 minutes from the end when a fight broke out among the players. The match was then brought to a close two minutes early when the lights went out at the stadium in Valence.
Drogba made the relatively short trip from London to southeast France after last playing for his country in a 3-0 win over North Korea in the group stage in South Africa last year under former coach Sven-Goran Eriksson.
Zahoui included Kolo and Yaya Toure of Manchester City and Emmanuel Eboue of Arsenal in a strong squad.
Former Real Madrid midfielder Mahamadou Diarra, now with Monaco, made his 61st appearance for Mali.
The sides were using the match to prepare for next month's resumption of the qualifiers for the 2012 African Nations Cup.
Tuesday also marked the start of two friendly tournaments.
In the Cyprus event, the hosts lost 2-0 to Sweden and Ukraine beat Romania 4-2 in a penalty shootout.
The contest between the British Isles nations, without England, started with Ireland beating Wales 3-0.

 
Simba kukipiga na Vodacom All Stars


na Deus Bugaywa


amka2.gif
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kimeandaa mchezo maalum wa soka kati ya mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba ya jijini Dar es Salaam na timu ya wachezaji nyota 16 wa ligi hiyo.
Katibu Mkuu wa TASWA, Amir Mhando, alisema jijini Dar es Salaam jana kuwa, mchezo huo utafanyika Aprili 16 mwaka huu, Uwanja wa Uhuru.
Alisema, wamekubaliana kuwa asilimia 10 ya mapato ya mchezo huo yatapelekwa kwenye wodi ya wazazi ya hospitali ya Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani.
"TASWA kama wadau wakubwa wa michezo, tumeona ni vyema nasi tushirikiane na jamii katika masuala ambayo yatakuwa na msaada mkubwa, hivyo kwa kuanzia tumeamua kuandaa mchezo huu.
Tunaamini utakuwa mchezo mzuri, kwani wachezaji hao nyota 16 watatoka timu mbalimbali zinazoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom na timu itaitwa Vodacom All Stars," alisema Mhando.
Alisema, Kamati ya Utendaji ya TASWA imewateua wanachama wake wawili ambao wana taaluma ya ukocha, Ally Mkongwe na Ibrahim Masoud kusimamia timu hiyo.
Alisema, Masoud na Mkongwe ndiyo watakuwa na jukumu la kutafuta wachezaji bora hao 16 kwa ajili ya timu hiyo na kuwa wanatakiwa wakamilishe kazi hiyo Machi 30 mwaka huu, ambaKo Ligi Kuu itamalizika Aprili 10.
Aprili mwaka juzi, TASWA iliwahi kuandaa mchezo wa hisani kati ya Simba na timu ya Taifa ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes' ambao ulikuwa maalum kupinga
mauaji dhidi ya albino.

Kabla ya mchezo wa Simba na Zanzibar Heroes uliofanyika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kulifanyika mchezo wa utangulizi kati ya TASWA FC na Albino FC.
 
World Cup vote-selling bans upheld
Football's world governing body FIFA rejects appeals from Reynald Temarii and Amos Adamu over World Cup bid corruption.

Last Modified: 04 Feb 2011 17:39 GMT





201124172633888965_20.jpg
FIFA's Blatter announced Russia and Qatar as the respective hosts of the 2018 and 2022 World Cups [GALLO/GETTY] FIFA has rejected appeals from Reynald Temarii and Amos Adamu, the suspended executive committee members who were at the heart of a corruption scandal which marred the contest to host the 2018 and 2022 World Cups.
Football's governing body said on Friday that Nigerian Adamu, who was found guilty of bribery, remained banned from all football-related activities for three years.
A $10,444 fine was upheld.
Temarii, head of the Oceania Football Confederation (OFC) at the time, remains banned for one year following this week's hearing by the appeals committee. A $5,200 fine was unaltered.
"The FIFA appeal committee has confirmed the decisions taken on Nov. 17 regarding the bans on Reynald Temarii and Amos Adamu - who were at the time FIFA vice-president and FIFA executive committee member - for a breach of the FIFA code of ethics," said the governing body in a statement.
The pair allegedly offered to sell their votes in the hosting contest to reporters from Britain's Sunday Times newspaper posing as lobbyists for an American consortium.
As a result of their suspensions, only 22 members of the executive committee voted when in December Russia were chosen to host the 2018 World Cup and Qatar for 2022.
Sepp Blatter, the FIFA president, said at the time that he was unhappy both with the Sunday Times report and with the actions of the two committee members.
FIFA reduced the bans and fines for three other officials found guilty of unethical behaviour, Slim Aloulou, Amadou Diakite and Ahongalu Fusimalohi.
A fourth official, Ismael Bhamjee, did not appeal.
 
interview: Mohamed Bin Hammam



The man expected to challenge Sepp Blatter for FIFA presidency tells Al Jazeera that World Cup 2022 must be in summer.

Last Modified: 31 Jan 2011 11:02 GMT





The most powerful man in Asian football tells Al Jazeera that "FIFA and the World Cup could be killed" if the Qatar 2022 tournament is moved to the winter.
Mohamed Bin Hammam also called for "fresh blood" at the world governing body, and said that FIFA president Sepp Blatter was no longer able to defend the organisation.
Andy Richardson reports.
Broadcast on January 27, 2011.

 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom