Kumeibuka wimbi la michezo ya kamali katika vyombo vya habri hapa Tz mfano BUTUA PESA (REDIO FREE & KISS FM) MCHONGO PESA (CLOUDS MEDIA GROUP) CHEZA PESA (BONGO FM) katika vyombo hivyo vya habri watangazaji wamekuwa.
wakisisitiza wasikilizaji wait wacheze pesa na watashinda lakini kinacho onekana ni wizi mtupu maana wanaocheza ni wengi lakini wanao shinda nchi nzima hawazidi watu wawili.
Tunaomba mamlaka zinazohusika ziingilie kati maana Sasa watu hawafanyi kazi wanakaria kucheza pesa kwenye vyombo vya habari na mwisho wa siku hakuna wanachokipata.