Pastory Kimaryo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2018 Posts 967 Reaction score 668 Sep 15, 2020 #1 Habari wakuu, nahitaji kujua hivi hii michezo ya kubahatisha wamiliki ni akina nani manake imeibuka kuwa mingi sasa. Na pesa wanayokusanya inaweza kuwa nyingi hivi au kawaida? Pia huwa inaendeshwaje kwa maana ya kuchagua namba na mambo mengine.
Habari wakuu, nahitaji kujua hivi hii michezo ya kubahatisha wamiliki ni akina nani manake imeibuka kuwa mingi sasa. Na pesa wanayokusanya inaweza kuwa nyingi hivi au kawaida? Pia huwa inaendeshwaje kwa maana ya kuchagua namba na mambo mengine.