Michezo ya Watu wa Makabila Madogo yafanyika wilayani Rongjiang mkoani Guizhou China

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Agosti 25, wanariadha wanafanya maonesho ya kusafiri mtoni kwa mashua ya mwanzi mmoja kwenye Michezo ya 10 ya Watu wa Makabila Madogo ya Mkoa wa Guizhou, iliyofanyika katika wilaya ya Rongjiang.


 
Aahhh mwanangu kideli wachina na sarakasi hata wakati wa kuchapa nyapu watakuzungusha hewani mwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…