Michirizi nyuma ya magoti ni ugonjwa wa Wanaume wengi

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
41,728
Reaction score
103,997
Mwanaume uliyekamilika ukipishana na mwanamke wa hivi, lazima shingo yako igeuke. Hasa ukute ndo kavalia kanga moja, ndo katoka kuoga mnapishana koridoni[emoji39]

Au umkute kavalia suti yenye sketi fupi anaokota faili lililodondoka ofsini[emoji39]. Au kajilaza TU kwa uchovu kifudi fudi kitandani na kanga moja tu kifuani[emoji39]. Au kavalia dera anajaribu kukatiza mfereji wenye maji mengi akivuta vuta dera lake juu ya magoti lisiloe na maji[emoji39]

Ila kinachonisikitisha zaidi kwa Sasa, utakuta wanawake wanahangaika Kwenye saluni na mahospitalini kuondoa hii michirizi[emoji39]

KWAKWELI MUNGU NI FUNDI SANA



 
mimi hata sijui matumizi yake!

SHIDA YANGU HUWA KIBOX TU KIDOGO KILE CHA MBELE.......!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…