Michirizi nyuma ya magoti ni ugonjwa wa Wanaume wengi

Ila wanaume mnatuchanganya jamani [emoji23][emoji23][emoji23] mana mnavyovipenda kila siku mnaibua vipya ...Kama ndo ivyo basi Shemeji yenu amebahatika
[emoji4]ilo Ni jambo jema sana[emoji106]
 
Mistari ya dhambi...
Usinambie..,
IMG_20210311_125802.jpg
 
Mwanaume uliyekamilika ukipishana na mwanamke wa hivi, lazima shingo yako igeuke. Hasa ukute ndo kavalia kanga moja, ndo katoka kuoga mnapishana koridoni[emoji39]

Au umkute kavalia suti yenye sketi fupi anaokota faili lililodondoka ofsini[emoji39]. Au kajilaza TU kwa uchovu kifudi fudi kitandani na kanga moja tu kifuani[emoji39]. Au kavalia dera anajaribu kukatiza mfereji wenye maji mengi akivuta vuta dera lake juu ya magoti lisiloe na maji[emoji39]

Ila kinachonisikitisha zaidi kwa Sasa, utakuta wanawake wanahangaika Kwenye saluni na mahospitalini kuondoa hii michirizi[emoji39]

KWAKWELI MUNGU NI FUNDI SANA

View attachment 1985658View attachment 1985659View attachment 1985660View attachment 1985661
Hii mifereji ya suez ndo ugonjwa wangu.
 
Umezid sana kuelezea DeepPond mara yupo anafanya hivi mara ana okota karatasi mara amejilaza kwa uchovu utatufanya tunaosoma tusisimuke mwishoe tunapiga nyeto🤣🤣🤣
 
Mwanaume uliyekamilika ukipishana na mwanamke wa hivi, lazima shingo yako igeuke. Hasa ukute ndo kavalia kanga moja, ndo katoka kuoga mnapishana koridoni[emoji39]

Au umkute kavalia suti yenye sketi fupi anaokota faili lililodondoka ofsini[emoji39]. Au kajilaza TU kwa uchovu kifudi fudi kitandani na kanga moja tu kifuani[emoji39]. Au kavalia dera anajaribu kukatiza mfereji wenye maji mengi akivuta vuta dera lake juu ya magoti lisiloe na maji[emoji39]

Ila kinachonisikitisha zaidi kwa Sasa, utakuta wanawake wanahangaika Kwenye saluni na mahospitalini kuondoa hii michirizi[emoji39]

KWAKWELI MUNGU NI FUNDI SANA

View attachment 1985658View attachment 1985659View attachment 1985660View attachment 1985661
Jamaa hili swala hata mimi linanitesa kuna Jimama hapa mtaani linataka kuvunja hadi ndoa yangu kisa hii michilizi linayo kama yote
 
Back
Top Bottom