Michirizi nyuma ya magoti ni ugonjwa wa Wanaume wengi

Mimi nikiona hiyo kitu sitasimamisha na ndio mwisho wangu na huyo mwanamke.
 
Wanaume wengine Mafura Sana yaani dah

Mnataka wadada waanze tena kuharibu ngozi zao Kwa sababu eti wanaume wengi wanapenda ngozi kupasuka Kwa sababu ya Mafuta kizidi chini ya ngozi

Hii hatari Sana Kwa afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…